Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Unaongelea hii Chalinze ya Wakwele wanaocheza ngoma na shule hawajui wakawazidi Maprofessor wa Bukoba? Hawa wnaonalala kwenye vibanda, nenda Kagera tena migombani huone majumba, Lini Chalinze kielimu wameanza kwenda shule? Ebu acha utani
Pale Chalinze mjini hakuna cha ngoma,ni watu kusaka fedha tu.
 
Hii app iko Jf tu. Ili post yako iwekwe pumulia hewa yako toka mdomo sehemu ya sim yako kwenye kamera .
Hii itasaidia Post za WALEVI kama hii zisiwekwe.
App hii inapima kiwango cha kilevi kilichopo mwilini. Ni app mpya
 
Pole mkubwa,naona jiwe gizani limefanya kazi yake.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Ivi chalinze sio mkoani
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
HUYU mzaramo nadhani kala mahindi ya ruvu hivi chalinze kuna kitu gani cha kuifananisha na Mtwara.
chalinze haina hospitl kubwa, haina miundombinu ya road evenround about hawana, haina hata stand gari zinapark road tu,no soko eti ufananishe na Mtwara looh, chumba uswahili ni 5000/mwezi. hamna hata uwajna wa mpira
 
Umevuta bangi ambayo bado haijakauka,ila pole mkubwa naona jiwe gizani limefanya kazi yake
 
Mkuu, kama upoupo tu kizembezembe wala hutembei na mikoa mingi ya watu unafanya kuisikia tu basi achana na hzo tafiti zako,

Naomba hyo Mtwara huiondoe Mara moja.. Acha ukazuzu uliotukuka..
Nimetembea mikoa zaidi ya 10 Tz bara hii...huwezi fananisha kimji cha chalinze na mji wa pesa kama Mtwara
Mtwara (ntwala)
 
Shinyanga na chalinze wapi na wapi! Chalinze si kijiji kabisa, hizo ni dharau kiongozi
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
shinyanga ana mtoto wake anaitwa kahama nadhani chalize ni uchochoro flani pale kahama mjini
 
Umevuta bangi ambayo bado haijakauka,ila pole mkubwa naona jiwe gizani limefanya kazi yake
hapa nipo chalinze niambie kilichopo hapa, stand, soko, au kitu gani hivi chalinza ingekuwa nafuu si ingepata umanispaa. kwa taarifa yako chalinze inasubiri kwa Masasi ya Mtwara.
 
Mi sijaitaja kahama,nimeitaja shinyanga mjini
umeandika upuuzi gani hapa.shinyanga ni mkoa ,kahama ipo ndani ya shinyanga.ukisema shinyanga unamaanisha kahama pia.
 
umeandika upuuzi gani hapa.shinyanga ni mkoa ,kahama ipo ndani ya shinyanga.ukisema shinyanga unamaanisha kahama pia.
We ni kilaza rudia kusoma upya thread,nilisema nalinganisha mji wa Chalinze na makao makuu ya mikoa,sasa iyo kahama yako ni makao makuu ya mkoa gani.
 
We ni kilaza rudia kusoma upya thread,nilisema nalinganisha makao makuu ya mikoaa,sasa iyo kahama yako ni makao,makuu ya mkoa gani.
we ndio una upupu kichwani ,unalinganisha makao makuu ya mikoa halafu unaitaja chalinze,kwahiyo chalinze ni makao makuu ya mkoa gani hapa tanzania
 
Back
Top Bottom