DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,184
- 2,597
Acha kulinganisha Chalinze na huo uchafu wa shinyanga
Huijui shy mkuu, tembea ujionee..kahama kwenyewe ni zaidi ya chalinze
Acha kulinganisha Chalinze na huo uchafu wa shinyanga
We ni kilaza rudia kusoma upya thread,nilisema nalinganisha mji wa Chalinze na makao makuu ya mikoa,sasa iyo kahama yako ni makao makuu ya mkoa gani.
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
We ni kilaza,ndio ushangae sasa Chalinze sio makao makuu ya mkoa lakini inawapiga fimbo kwa mbali,sasa nikiwashindanisha na makao makuu ya mkoa (Kibaha)nitakuwa ninawaonea.we ndio una upupu kichwani ,unalinganisha makao makuu ya mikoa halafu unaitaja chalinze,kwahiyo chalinze ni makao makuu ya mkoa gani hapa tanzania
KWA KIGEZO GANI?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Duh kwa kweli ubongo umejaa kutu,hujaelewa mantiki ya kulinganisha Chalinze ni kamji kakuu ka mkoa wako ako.we ndio una upupu kichwani ,unalinganisha makao makuu ya mikoa halafu unaitaja chalinze,kwahiyo chalinze ni makao makuu ya mkoa gani hapa tanzania
Hii koro-show huwa nachekaga sanaOhooooo wenzio wa lindi na mtwara washauza koro-show,waondoe kwenye list
Uku mbuzi wanakula pilauKwa kwetu Ntwara umetuonea bahh ! Kwani huko chalinze mbuzi ziliwahi kunywa bia?
Wavulana Wa mikoani ndo akina naniKwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Write your reply...
kwa bukoba nakuunga mkono
bukoba imechakaa hasa ukisikia mbwembwe za wahaya kumbe nothing,fika kule kagondo,kashai uone
bukoba mjin vijumba vina mabati yamechakaa vipo mjini mfano kata ya kitendaguro,stand yao ni kituko tosha kijistendi kimebabukaa utadhan wanachezea dansi
magofu mengi unayakuta mjini maajabu
Write your reply...
kwa bukoba nakuunga mkono
bukoba imechakaa hasa ukisikia mbwembwe za wahaya kumbe nothing,fika kule kagondo,kashai uone
bukoba mjin vijumba vina mabati yamechakaa vipo mjini mfano kata ya kitendaguro,stand yao ni kituko tosha kijistendi kimebabukaa utadhan wanachezea dansi
magofu mengi unayakuta mjini maajabu
Mkuu kusoma sio tatizo. suala hapa huo usomi umesaidia nini Kagera yako? hata stand ni vumbi tupu sasa unawezaje kujisifia elimu hapaUnaongelea hii Chalinze ya Wakwele wanaocheza ngoma na shule hawajui wakawazidi Maprofessor wa Bukoba? Hawa wnaonalala kwenye vibanda, nenda Kagera tena migombani huone majumba, Lini Chalinze kielimu wameanza kwenda shule? Ebu acha utani