Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Ungesema mji Mdogo,siyo mji!
 
Sasa ni saa 4 kasoro usiku,
CCM tunawakumbusha na kuwaomba wapiga kura wetu wote msisahau kuweka Net kuzuia Mbu-Malaria-Kifo, baada ya 2020 ruhusa hata ukitaka kulala kwenye karavati.
 
Chalinze ni kama Maganzo tu ikijitahidi sana ni kama Ushirombo.
 
Write your reply...
kwa bukoba nakuunga mkono
bukoba imechakaa hasa ukisikia mbwembwe za wahaya kumbe nothing,fika kule kagondo,kashai uone
bukoba mjin vijumba vina mabati yamechakaa vipo mjini mfano kata ya kitendaguro,stand yao ni kituko tosha kijistendi kimebabukaa utadhan wanachezea dansi
magofu mengi unayakuta mjini maajabu
Hahahaha
 
Chalinze hii hii ninayoishi mimi au nyingine?
 
Mkuu, kama upoupo tu kizembezembe wala hutembei na mikoa mingi ya watu unafanya kuisikia tu basi achana na hzo tafiti zako,

Naomba hyo Mtwara huiondoe Mara moja.. Acha ukazuzu uliotukuka..
Nimetembea mikoa zaidi ya 10 Tz bara hii...huwezi fananisha kimji cha chalinze na mji wa pesa kama Mtwara
Sasa wewe umetembea mikoa 10 tu ,wengine tumemaliza mikoa yote ya bara na visiwani
 
Ninaamini wewe hata mikoa 15 ya Tanzania hujafika ndani ya hii miaka 2. Kuna mikoa iko chini zaidi ya uliyoiweka hapa.
 
Mtoa mada ni ama hajatembea au kaamua kwa makusudi ili kuanzisha debate. Yaani kweli mtu na akili zake,anaweza kufananisha Chalinze na Mtwara? Tena mtu timamu kabisa! Chalinze hadhi yake ni Mji mdogo wa Nanyamba,Mahuta,Ikwiriri(tena Ikwiriri iko vizuri zaidi),Mlandizi,Dumila,Gairo,Ilula nk. Siyo tu haina ubavu hata robo kupambana na Mtwara bali hata Masasi,kwa sababu Masasi hupambana na Njombe,Korogwe,Bunda,Tarime,Nzega na hata Kahama au Geita.
Mtwara sasa inakula sahani moja na Moshi,Morogoro,Iringa nk.
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
 
ila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
Bro point kubwa sana hiyo na tungefuata hivyo Tanzania huko mikoani kungekuwa kuzuri sana. Sasa mtu unajenga nyumba zuri ila njia hamna na ukinunua hata gari unapaki sehemu za kulipia kwa kuwa nyumbani kwako gari hiingii
 
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
Hakuna kitu kama hicho. Mzunguko kwa sababau ya kuuza packs za Korosho kwenye mabasi? Yaani mzunguko wa hela kwa sababu ya vurugu za wamachinga kwenye mabasi? Hivi unajuaa maana ya mji na mapato kweli?
Unachekesha sana.
Chalinze ni sawa na Kitongoji kimoja tu pale Mjini Mtwara yaani barabara kuu ya Mtwara-Dar eneo la Magomeni kuanzia Round about hadi Magomeni mwisho (Nkana Red) na pana vurugu sana kama hizo za Chalinze.
Key indicators zako siyo sahihi kabisa
 
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
Maelezo yako yako hivi:-
1. Kwa Mzunguko wa Fedha
2. Maendeleo
3. Majengo
Hivyo vitu vitatu,kweli Chalinze ina ubavu wa kupambana hata na Masasi?
Logical Thinking and Reasoning yako inanipa mashaka.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Labda kwa kuuza mananasi
 
Back
Top Bottom