- Thread starter
- #41
Singida naijua,pole (jiwe gizani)We andazi kweli unaijua singida au unaisikia. Makao makuu siyo issue kikubwa upatikanaji wa fursa mkoawide.
Singida naijua,pole (jiwe gizani)We andazi kweli unaijua singida au unaisikia. Makao makuu siyo issue kikubwa upatikanaji wa fursa mkoawide.
Kuna sehemu nimeitaja Kibaha?kwa maana hiyo.chalinze imeipita hadi makao makuu ya mkoa Kibaha?
Kweli mkubwa,ila pole(jiwe gizani)Una malaria kali sana..
hakuna lakini hebu tu compareKuna sehemu nimeitaja Kibaha?
Kweli mkubwa,ila pole(jiwe gizani)
Bora hujaigusa Chattle
Lengo la uzi huu ni Chalinze vs makao makuu ya mikoa minginehakuna lakini hebu tu compare
apart na hayo maeneo .tuanze na ndani ya mkoa
Mbeya ni Moja ya miji inayokera sana umefinyana Finyana angalau wangejifunza Kwa wenzao sumbawangaila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
Upo sahihi.Write your reply...
kwa bukoba nakuunga mkono
bukoba imechakaa hasa ukisikia mbwembwe za wahaya kumbe nothing,fika kule kagondo,kashai uone
bukoba mjin vijumba vina mabati yamechakaa vipo mjini mfano kata ya kitendaguro,stand yao ni kituko tosha kijistendi kimebabukaa utadhan wanachezea dansi
magofu mengi unayakuta mjini maajabu
Chalinze ipi?Hii tuijuayo au ni ipi?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Musoma pako vizuri,Chalinze hata ziwe tatu,Musoma pako juu kwa kila Idara.Mi nimeongelea makao makuu ya mikoa ,ndio maana nimeitaja Musoma na wala sijailinganisha Chalinze na Tarime au Sirari.
Tupe figure na source ya information...,Hakuna cha ushabiki
Mtoa mada ni ama hajatembea au kaamua kwa makusudi ili kuanzisha debate. Yaani kweli mtu na akili zake,anaweza kufananisha Chalinze na Mtwara? Tena mtu timamu kabisa! Chalinze hadhi yake ni Mji mdogo wa Nanyamba,Mahuta,Ikwiriri(tena Ikwiriri iko vizuri zaidi),Mlandizi,Dumila,Gairo,Ilula nk. Siyo tu haina ubavu hata robo kupambana na Mtwara bali hata Masasi,kwa sababu Masasi hupambana na Njombe,Korogwe,Bunda,Tarime,Nzega na hata Kahama au Geita.Mkuu, kama upoupo tu kizembezembe wala hutembei na mikoa mingi ya watu unafanya kuisikia tu basi achana na hzo tafiti zako,
Naomba hyo Mtwara huiondoe Mara moja.. Acha ukazuzu uliotukuka..
Nimetembea mikoa zaidi ya 10 Tz bara hii...huwezi fananisha kimji cha chalinze na mji wa pesa kama Mtwara
Ndo hapo sasa mkuu... Huyo jamaa naona yupoyupo kjjn alikozaliwa so anasikiaga tu miji ya watuMtoa mada ni ama hajatembea au kaamua kwa makusudi ili kuanzisha debate. Yaani kweli mtu na akili zake,anaweza kufananisha Chalinze na Mtwara? Tena mtu timamu kabisa! Chalinze hadhi yake ni Mji mdogo wa Nanyamba,Mahuta,Ikwiriri(tena Ikwiriri iko vizuri zaidi),Mlandizi,Dumila,Gairo,Ilula nk. Siyo tu haina ubavu hata robo kupambana na Mtwara bali hata Masasi,kwa sababu Masasi hupambana na Njombe,Korogwe,Bunda,Tarime,Nzega na hata Kahama au Geita.
Mtwara sasa inakula sahani moja na Moshi,Morogoro,Iringa nk.