Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Tuwasiliane nikupeleke chimbo la mapochopocho ya ukweh...!raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
Nenda Mokka City Cafe and Lounge MOKA CITY CAFE AND LOUNGEraha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
hili chimbo ni noma mkuu usiponipa namba nakurogaTuwasiliane nikupeleke chimbo la mapochopocho ya ukweh...!View attachment 409779View attachment 409780
asante sana mkuu chakula gani kitamu maana majina ya kizungu naweza agiza tena kitu sikijui kumbe makande tenaNenda Mokka City Cafe and Lounge MOKA CITY CAFE AND LOUNGE
Wana chakula kizuri sana na kwa bei nafuu (relatively) ukilinganisha na migahawa yenye hadhi kama hiyo na iliyo katikati ya mji.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Tuwasiliane nikupeleke chimbo la mapochopocho ya ukweh...!View attachment 409779View attachment 409780
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]hili chimbo ni noma mkuu usiponipa namba nakuroga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kitamu cha wizi tuu. Kama vipi miye nipo ready kutoa kila sababu za kuruhusiwa kutokuwepo hadi J2 jioni. Upo tiyari??
Njoo Twende Break Point Kinondoniraha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli
leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku nadanganya wali samaki
wapi dar wanapika chakula kizuri na kitamu iwe hoteli ,mgahawa au mama ntilie
naombeni ramani wadau
Mzee hao samaki adimu saana...wanapatikana wapi???[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kwa kiswahili nitakutafutaI will find you ....
Yap......ila hao samaki...dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kwa kiswahili nitakutafuta
kila mtu analipia chake au utalipia vyote?Ni pm nikupeleke sehemu ambayo hutajutia. Nitajilipia mwenyewe usije kuona nataka kukutia short.
Tuwasiliane nikupeleke chimbo la mapochopocho ya ukweh...!View attachment 409779View attachment 409780
Kaka wewe sio mtu wa mchezo mchezo, ndege tunduni hiyohili chimbo ni noma mkuu usiponipa namba nakuroga