MziziMkavu hiyo itakua kitu ya Dar, huku Zenji kitu inakaangwa, hilo serwa linatengenezwa pembeni sosi na madikodiko kibao. Hata mimi mwanzoni nilikua nipo kama
King'asti, nilikua sitaki hata kuwaona, ila siku hizi wamenikolea. kuna jamaa anaitwa msomali maeneo ya kiembe samaki ni specialist kabisa tena certified wa kuandaa hii kitu....acha bwana. Ukimaliza unashushia na juice ya miwa!