Chakula hiki jamani ni kitamu sana

Chakula hiki jamani ni kitamu sana

Mmmmmh.... Mpaka nimeloose appetite. Nahisi kutapika!!!! Khaaaaaa......!!!!!!
 
MziziMkavu hiyo itakua kitu ya Dar, huku Zenji kitu inakaangwa, hilo serwa linatengenezwa pembeni sosi na madikodiko kibao. Hata mimi mwanzoni nilikua nipo kama King'asti, nilikua sitaki hata kuwaona, ila siku hizi wamenikolea. kuna jamaa anaitwa msomali maeneo ya kiembe samaki ni specialist kabisa tena certified wa kuandaa hii kitu....acha bwana. Ukimaliza unashushia na juice ya miwa!

Nasikia yule anatia na unga wa VIAGRA.......

article-1390195-00661B7200000578-124_468x301.jpg
 
Kalamari na pweza is a no no! Yaani kwa sababu hizo nikila nje nataka samaki mzimaaa nimuone na kichwa chake mezani. Mambo ya fish fingers sijui fish fillet ndo haya! Samaki gani ana sura ya ajabuuu!
mzima hummalizi pia ni ghali sana ,kipande kidooogo kinauzwa mia watu wanavila kwa hamu tu.mimi navifuataga baharini wananisaidia kumpiga piga analainika wanamtoa na hiyo wino(huyu unayemwona hapo juu ana gland ambayo inakuwa na wino sasa sijui ndio nyongo yake na wino huo hutumika kuchorea tatoo haufutiki )na akivuliwa anakuwa mgumu wanampigaweeee kwenye mawe piga kweli kweli analainika anachemshwa anatoa supu ndio ile watu wanakunywa kwaajili ya kuboost mashine zao,then anakaangwa ndio unaona anauzwa vipande
 
JAMANI HUYO PWEZA MWEUPE AMENIOGOPESHA KWAKWELI , KHA! LADBA UMLE UKIWA UMEFUMBA MACHO,

:A S 27::fear:
 
Nilikua naona kinyaaa mwanangu mtu wa tanga mambo yao hayo akaniambia faida zake nikajaribu weeee noma sana mambo ikawa mambo siku izi naifuata kigamboni mwenyewe na pale mbagala karibu na ACB Kuna mgahawa Ipo pweza ya ukweli sana
 
Mamma weeee chakula nikipendacho mwenyewe kwa uchache nakula mara 3 kwa wiki...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom