Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Hivi hiyo mirangi myekundu wanaongezea rangi ya ubuyu ama ni natural colour ya pweza?
Mie sili vitu vyenye sura zisizoeleweka.
..mimi silagi haya makitu aisee!!
Halafu kinaongeza genye kwa wingi km una gemu unawweza kula na ugali safi sana.muungano oyeeeeeeee
..mimi silagi haya makitu aisee!!
akiwa mbichi ana rangi nyeupe ukishamtia kwenye moto tu ndio anakuwa hivyo haongezewi rangi huyo.hiyo kitu ni tamu sana mdada don darehivi hiyo mirangi myekundu wanaongezea rangi ya ubuyu ama ni natural colour ya pweza?
Mie sili vitu vyenye sura zisizoeleweka.
jana kwenye besidei ndo niliwatayarishia watu hiki chakula.....ungekuja ingekula kwako
akiwa mbichi ana rangi nyeupe ukishamtia kwenye moto tu ndio anakuwa hivyo haongezewi rangi huyo.hiyo kitu ni tamu sana mdada don dare
Ni rangi yao.....hawaongezi rangi wala nini...........
Mbona hii nyeupe? Au huyu pweza likuwa albino?
![]()
Hiko chakula sikuwezi hakiyamama bora nikae na njaa yangu tu