Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Mkuu Mshana jr, inawezekana tunafahamiana. Mimi nimeishi mitaa hiyo hiyo miaka tangu 1986 mpaka 2002. Upande huo huo wa huyo mama ntilie ,lakini kule chini kuelekea Msewe.
 
Sasa huku ndio uwanja wako ulipo sio ishu za Dr slaa
 
Haya mkuu.. Ila heshima yako sana mkuu, visa ulivyopitia sio mchezo kabisa [emoji119] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji115] [emoji122] [emoji123] [emoji109]
 
Na kujua Kiswahili kwangu kote ila sijui maana ya chuma ulete. Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…