Chaji kuisha mapema

Chaji kuisha mapema

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Msaada. Natumia Galaxy SII. Nikiwasha asubuhi hadi saa kumi na moja jioni..inaanza kuonyesha low battery. Nifanyeje ili battery iwe na charge kwa muda zaidi. Any altenative..
 
Hamna alternative dada yangu
sio wewe tu ndivyo simu zilivyo... Yaani ww ushukuru sana tena sana kama inafika mpaka saa kumi.....
Hawa smart phones tuwasamee tu kwenye battery
.
Ila we jitahidi unapokuwa kwenye motion
mfano umepanda gari basi ukiweza zima simu yako mana ndipo charge huisha kwa haraka zaidi mana simu ina change waves kwa speed kidogo
.
Regards
C++
 
Usiweke simu yako katika 3g au zima kabisa data ka haina ulazima kutumika kwa wkt huo. Pia unaweA punguA mwanga wa kioo.
 
Asantenii

Kwanza kabisa..set simu yako kwenye power saver mode, pili..unapokuwa hutumii internet na apps kama viber pendelea kuiset iwe inafanya kazi katika 2g na sio 3g...tatu usiache on apps zote zinazo run on background...

Ukifuata hayo utaenjoy simu yako...
 
Mh simu yako inajitahidi sana,muda wote huo! anyway inabidi kuiset simu isiwe inafanya autosync ya data. Hiyo itazuia baadhi ya apps ambazo zinatumia data kufanya kazi muda wote,zaidi zitafanya kazi pale wewe utakapotaka kuitumia.

In auto-sync mode hata ukiweka simu pembeni utakuta charge imeisha sana. Kama wengine walivyosema,disable data kama huitumii au weka 2G. Kwa simu za Xperia, data huwa disabled kama hujaigusa simu kwa dk10 au zaidi, sijui kama ipo kwenye Samsung pia.
 
asante mkuu kwa ushauri . je iphone 5 haina hiyo problem ya chaji kuisha mapema????
 
Back
Top Bottom