Story: Graduates

Just Nana

JF-Expert Member
Jul 27, 2023
500
1,001
Tuvute pumzi kidogo wakati tunaisubiria 'The Godfather'....

Baada ya kuhitimu chuo kila mtu alikua na matarajio yake, wapo waliojindaa kuyafikia hayo matarajio hata kabla hawajatoka chuo, wapo walisubiri wamalize kwanza ndio wapambanie ndoto zao, wapo kina John Kisomo walioona kua shahada moja haiwatoshi wakaamua kuendelea zaidi, wapo walioahirisha kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kiafya, dada zetu walishindwa kuhitimu baadhi sababu ya kukimbilia kuanzisha familia mapema , wapo walioshindwa kumaliza sababu ya kufeli na nyingine nyingi...

Hao walioshindwa kumaliza tuwaachie kwanza, leo acha tujadili hawa waliofanikiwa kumaliza ...tuna graduates sita, kila mmoja atasimulia kisanga chake, mimi si ndio nimewakusanya bwana, acha nianze kusimulia kisha watafuatia...

IAM TONY...

Ukija nyumbani ukaulizia Tony utakesha sana, wazazi waliamua niitwe Anthony, ila washkaji zangu wakaona Tony litawasaidia kuokoa mda, nikachekecha nikaona limekaa kinyamwezi, nikaishi nalo tuuu, sina story ya kuogofya sana, ila hawa raia hawatosimulia story zao nisipojitoa muhanga...

Story inaanzia nilipokua mwaka wa pili, si ndio nishazoea life la chuo nini, tumekaa canteen usiku tunacheki watoto wakaleeeee wa first year, hata ujifanye star canteen utaingia tuuu, kwaio sehemu ya kwanza kuwacheki hawa watoto ilikua canteen, wakaja pale nini, Mungu fundi bwana, ule mwaka palikua na visu balaa, nikamuona mtoto mmoja hivi kisu cha kwenda, nikasema mwamba naishi nae huyu.

Yule manzi alikua anaitwa Angel, kisu ndugu msomaji, nikisema kisu naomba uelewe, nikamfatilia mtoto mzuri nikajua block anayokaa , hadi room, nikasema kwa leo inatosha. Nikawa sikakauki kwa viunga vya Ile block, hiyo siku natoka zangu room naenda pindi, mtoto huyu hapa, kawaka balaa, nikasema dammmn, huyu manzi nammudu fala mimi, mbona kama Kim kadarshian fulani hivi, ila mi mbishi, nikamuungia.

Malaika wema nao hawakunitupa mkono , mtoto mzuri alikua peke ake, nikasema acha nijaribu bahati yangu, akinimwaga fresh tuu, nikamsogelea kibaharia nini, nikaomba namba, dem akachomoa daah, nikachek kushoto kulia amani, nikasepa.

Ikapita kama wiki ivi tunatoka kufanya group assignment na kundi langu, kuna gari ikawa imepack mbele ya block ya kina Angel, ndinga ya maana , hapo kumbuka hata jina simfahamu yaani, alikua na nyodo yule manzi balaa, si unazijua pisi za Arusha kwa pozi. Ilikua kama bahati tu, mlango wa Ile gari ukafunguliwa, sijui hata nini kilinisibu nikachungulia kwa ile gari , si nikamuona yule mtoto mzuri, nikahisi kama baridi hivi imepita mwilini.

Angel alikua amekaa siti ya nyuma na huyo aliekua nae kwa gari, Angel akashuka kwa gari , jamaa nae akashuka wakawa kama wanabishana hivi, jamaa akamkumbatia Angel akawa kama anambembeleza, sikuhitaji mkalimani kuniambia kua yule ni sponsor wa Angel. Nikazipiga hatua maana washkaji walikua wameniacha kiaina , mi si nilijifanya FBI kufatilia maisha ya watu bwana, niliingia room akili kama imestuck, ile siku ndio nilijua kua mempemda yule mtoto, lakini kwa ile competition ntachomoa kweli?

Nilipambana kumzoea Angel lakini daaaah, ngoma ngumu...mtoto kakazaaa, nikaona isiwe kesi, nikabadili mbinu, nikachek kwa circle yake nani anazoeleka, nikaona kuna kamoja kapo machachari , nikasema huyuhuyu atafanikisha misheni yangu, mi sio mtu wa kushindwa yaani, nashindwaje kwa mfano. Nikaanza kumlia timing rafiki ake Angel, siku moja tu akajaa, yaani ningetaka ningepiga kabisaaaa, daaah...kuna madem jau sana,nikamwambia yooo slow down, nataka file la yule mwenzio, akaanza kuvimba pale, nikachomoa mwekundu akapoa.

Akanambia Yule utakesha humpati, kasema hataki watoto wadogo, 'I was like what? Yaani huyu dem anajikuta nani yaani, huwezi amini kasi ya kumsaka Angel ikazidi, yaani kama nipo kwa mashindano hivi, nikaapia huyu dem lazma nimpate, na siku nikimpata ataenda kusimulia wenzie.

Chawa wa Angel akanipenyezea ubuyu kua jumamosi watakua club, akanitajia jina la club maarufu tu pale Dom, nikasema hawa naishi nao mbona, subiri waone. Nikamchek bro wangu mmoja hivi yupo mkoa alinambiaga ukiwa Dom Kama una shida kuna mshikaji wangu atakusaidia, mwanangu sana, nikamwambia bro niko na shida ya usafiri weekend hii, si nishajua weakness ya Angel wanaume wenye magari, nikasema tutaenda sawa tuu mbona.

Bro wangu sio mtu wa mambo mengi,simu moja tuu nikaelekezwa kwa rafiki ake nikachukue gari Nkuhungu. Kifedha sikua mchovu kiivo za kuwalewesha wale madem usiku mmoja nisingekosa, nikatimba club waliyopo kina Angel nikakuta wameshaanza kuwaka, nikawaongeza drinks pale halafu nikapozi siti nyingine nikamuachia chawa afanye kazi yake.

Hata dakika kumi hazikuisha wakaniomba niwajoin, nikasema aliyeumba hela alaaniwe, mtoto kaisha huyu walahi...tukapiga gambe pale hadi mida ya wanga, Angel kawaka mbaya, mara anilalie mara anibusu, aiseee sikuamini kama ndie yule Angel ananikaziaga vile chuo. mda wa kusepa nikawakodia tax wale wengine nikasepa na Angel.

Ule usiku sikufanya makosa, nilijua tu naweza nisipate Ile nafasi tena, huyu dem wa wenye nazo kwaio lazma niache alama. Nikamwambia tuingie kuoga kwanza ma mtu, she was drunk ni kama kila kitu nilifanya mwenyewe yaani, nisiwachoshe sana nilichapa Ile manzi hadi ikaniambia Ton naomba nioe, niko kuoana tena jamani...mi nasoma mwenzio, sikuuza mechi wadau ,mi sio fala kiivo, kwa life style la Angel dizaini wanapita wengi, ila ile fahari nimekula manzi mkali daaah.
 
DULLAH...

Ukiniita Dullah itakua poa, hayo mambo ya kuitana Abdalah tunapotezean mda wadau, bandari inauzwa huko, tuokoe mda. Mi sio msimuliaji mzuri kiivo bandugu, ila sio mbaya nitapambana mnielewe. Tony mwanangu sana, akanishtua baharia unaonaje tukiweka kumbukumbu ya maisha yetu ya chuo, tulikichafua dom mbaya...Nikasema kiaje blood, akanipa mchongo, mi sinaga kazi za ofa, kwaio nikimaliza hapa nafata maokoto yangu kwa Tony, ananijua kabisa yaani, basi twende sawa...

Mi mchaga, mbishi, naijua pesa ,sina mda wa kuchelewa yaani, wakati Tony kaona fursa kuwala watoto wazuri wa ule mwaka wa akina Angel, mi nikaona fursa nyingine adhimu...nikaona pesa wanangu, yaani aliefanya udahili wa wale watoto ule mwaka daaah, ana kiti chake mbinguni, wale watoto kila unaemuangalia mzuri yaani...nikasema hela hii mangi fanya kitu...

Watoto wa kike wana tamaa kinoma, Tony kawala sana, mwanangu yule zipu hajuagi kufunga, kwa ile mipunga mzee wake alikua anamtumia mi ningekua nashusha makontena uturuki huko saa hii, mshamba anahonga yule hatariii.

Dom si ndio bunge lilipo wadau, nikasema hapahapa, lazma nitoke niko njema. Nikaanza mazoea na watoto wazuri , nilihakikisha wanajua uwepo wangu yaani, kila birthday lazma nihudhurie, nikanote viherehere woteee, nikawaweka kwenye rada na Angel akiwemo.

Nikaanza kupita kwa zile club kubwa na maeneo ambayo wabunge wanapatikana, kuna bar moja hivi hapo ukienda lazma uwakute wanapata michemsho, nikaweka mazoea na mabar meid, nikaomba wanikutanishe na madereva wa wabunge, dereva wa mbunge kama chawa tu asie rasmi. Mkono mtupu haurambwi, wale mabar meid nilikua nawatoa kiania kwa hiyo assignments zangu zikawa zinafanyika.

Nikawa na ukaribu na madereva wa wabunge kama wanne hivi, nikawapa idea yangu, nawaonesha picha kabisa, nawaambia hawa watoto wa first year bado hawajajanjaruka , hawana mambo mengi, ukimpa bata kidogo unapiga, mi nikawa nataka 50 kwa kila kichwa, anahongwa ngapi na mbunge juhudi zake.

Nilipiga zile mishe daaah, watoto wa kike wanapenda bata sana, wanapenda mambo makubwa, enzi hizo iPhone ndio zinaingia yaani waliliwa kama kuku, waheshimiwa walipenda huduma yangu, si nawaletea watoto wabichi, jina langu likakua kwa kasi, nikaanza kusambaza upendo na vyuo jirani, unataka iPhone ,mcheki Dullah, maisha yakasonga kiivo yaani.

Si unajua hela haitoshi eeh, ukipata dili la laki utatamani ufanye la milioon, nikachekecha nifanye mishe gani nitoboe fasta, nilishasoma ramani mtaani pagumu, kwaio nilitaka nikitoka nina mtaji wa maana nifanye biashara wakati nasaka ajira, zipo sasa hizo ajira.

Nikagundua kuna baadhi ya watoto wa kishua wanasmoke, nikaona fursa hii wanangu, nikapeleleza nikajua machimbo yote pale town, ukiishi kaskazini halafu ukawa boya daah, mwambie mzee akupime DNA. nikaanza kupiga mishe za kuuza ganja kwa watoto wa kishua, nilihakikisha nina mzigo pure Ile ya Arusha yenyewe OG...

Katika kupiga mishe nikapata wadau wa ngada, hao ndio walinipa hela sasa, nilipiga hela kinoma noma...watu wanalamika boom limekata mi nawachora tuu, nilikua nina mzigo wa maana bank, yaani ningepata hilo wazo mapema hata mkopo nisingeomba.
 
WARDA...

Tony mshikaji wangu sana tena sana, yule kaka kanisaidia sana kipindi cha chuo, Tony dizaini wakishua ingawa anakataaga kuitwa wa kishua, ila mi nikimchek kwa simu lazma nimuite wa kishuaaaa, hapo jiandae na matusi balaa, we fala nani wa kishua .... ukitoa weakness yake ya kupenda chini ila alikua mtu poa sana, Tony ana huruma vibaya, mnooo...

Katika wale tuliofurahia na kushangilia boom kuongezeka hadi asilimia 65 mi nilikuwepo, familia yangu ya chini sana , kuna mda wa kufungua chuo nauli tu utata, nilikua na boy friend wangu ndio alikua ananitoa wakati mwingine, ile michezo ya Dulla niliishtukia na Dulla alinilengesha sana ila niliweka nadhiri kua nitajiheshimu, nilikua naogopa sana magonjwa.

Ukiwa umetoka familia za chini, maisha ya chuo lazma yakuchape yaani, isingekua Tony daaah sijui ingekuaje... Tony ni mtu wa bata sana, nilikua namuokoa kwenye assignments, na nilikua nahakikisha kua nimepangwa nae group moja ili nimuokoe, kuna muunganiko
fulani ivi ulikua unakuja kati yangu na Tony maisha yakawa yanasonga kiaina hiyo.

Nikiwa mwaka wa pili ikabidi nibuni biashara ambayo walau itafanya maisha yawe mepesi kwa aina fulani, nikaanza kuuza mikate na sausages, blocks zetu zilikua mpya kwahiyo kuna kipande hadi ufike madukani. Nikawa nanunua mikate kwa bei ya jumla kiwandani mitaa ya Nyerere square kwa nyuma kule, napita maduka ya jumla nanunua sausages...

Sausages nazichemsha kwenye majagi ya umeme, nawauzia na mkate kwa bei ya rejareja, skonsi moja mia mbili, sausage jero. Mungu mwema walau nikawa namudu mahitaji yangu madogomadogo bila ya kumtegemea Tony . Nilikua nawaona mabinti wanavyozuzuka na maisha ya anasa daaah, Dullah alijua kuwauza watoto wa watu, ila it's free world and free market, everything is business , hopefully wapo na maisha bora kwa sasa.

Kale ka boyfriend kakaniletea mambo ya kipuuzi, narudi nyumbani naambiwa story zake , nikaona huyu hanijui nikapiga chini. Nikakomaa na chuo maana najua nikifeli sina kaka anafanya TRA kama Tony wa kuniconnect popote, nilipiga kitabu kama chizi yaani.

Siku hazigandi tukamaliza chuo, mtaa ukatupokea, nyumbani wanakuvumilia mwezi wa kwanza tuu, wa pili wanaanza kukuuliza mbona hutafuti ajira, daah wanafikiri siku hizi ni kama zamani unatembea na bahasha eeh, nikapambana kufanya applications wapii, nikaanza kuomba hadi temporary jobs za kufundisha shule za karibu, naambiwa hapo walipo wana walimu kama wanne wanajitolea, nikaona hii tena balaa.

Nikaanza kuchekecha kichwa, hapo nimeshapotezana na Tony na wadau wengine wa chuo, kila mtu anapambana na hali yake, nasikia tu Tony kashatoboa sio mwenzenu. wakishua yulee, kalamba dume TRA daaah,mi si ndio nilikua namfanyiaga assignments yule, mzee wa bata katoboa .

Nikapambana nikapata nafasi ya kujitolea mahala, nikafanya kama mwaka hivi, yaani pale unaenda kwa nauli yako unarudi kwa nauli yako, maisha ya dar si mnayajua, usafiri changamoto, mjini lazma uwe na hela ya lunch pamoja na breakfast, nikasema hapa nikijifanya mlokole sitoboi, kuna mbaba akajiweka, aliniwekea bill ya breakfast na lunch, walau maisha yakawa na unafuu, ila si unajua mkono mtupu haurambwi, mzee akaanza kudai mzigo, mi kutoa mzigo naogopa magonjwa, nikamuomba tukapime mzee akaruka, kwani huniamini au? nikasema huu ufala nimeukwepa ukimwi udom nije niupate kifala hivi, hapana...nikamkazia mzee.

Hakuna rangi sikuona, mzee alinifanyia figisu yulee balaa, akaanza kugawa ofa kwa rafiki angu, rafiki angu hajuagi kuacha fursa akapita nae, usumbufu ukazidi kwa yule mzee nikakaza. Kuna anko wangu alikuja kwetu kwa ajili ya matibabu Muhimbili, Ni mtu ana vihela walau, nikaona acha nijaribu bahati yangu maana sijawahi kumuomba hata mara moja . Nikamuelezea mazingira yangu ya kazi, nikampa wazo langu pale kua kama ningepata mtaji walau laki moja niwe nafata mashuka Tandika , nayafua, nayapasi , nawauzia watu pale kazini, Mungu tu alikua upande wangu akanipa, maana ana kaubahili balaa.

Walau maisha yakaanza kua na nafuu, nikajiongeza jumamosi nadamkia Karume napoint viatu vya wadada na vya watoto, navifua fresh ,jumatatu huyooo na mizigo yangu kama mwehu , kazini wakawa wanaiita machinga, ni kama Mungu alinipa tu kibali cha kukubalika walahi, nikaanza kuingiza pesa , kinamama wa kazini wakawa wananiunga mkono sana, miezi michache baadae nikapata ajira rasmi, aiseee Mungu acha aitwe Mungu tuu, hachelewi wala hawai.
 
SARAH:

Warda shoga angu sana, kuteseka chuo alitaka mwenyewe tuu, mi ningepata japo robo ya uzuri wa warda wabunge kitu gani ningehakikisha nachukua mawaziri kabisa. Hivi, nishawaambia jina langu eeeh, acha nirudie twende sawa, naitwa Sarah...uzuri sina , sura majaaliwa ila najua kumfanyia mwanaume adate, usiniulize maswali mengi ndugu msomaji, kwetu Tanga, waja leo waondoka leo inahusu.

Nilikua namsumbua Dullah aniconnect na wabunge wake.
ananichomolea, ananambia mwanangu we kaa tule mafao hupati kichwa huko, wale wanataka watoto wakaleee, nikaona huyu Dullah ataniwekea usiku, nikatumia umafia, hiyo siku tumetoka club na kina Dulla , kama kawaida Tonny alikua kasepa na kadem , Angel alishamwagwa kitaaambo, si alikua analeta wivu kwa Tony anataka kuolewa bhana...ila Angel aliingia cha kike walahi, Tony ndio mwanaume wa kumpenda sasa na yeye daah, Tony alipita na marafiki wa Angel woote hakuacha mtu.

Tumefika chuo saa saba hiyo, nikamwambia Dullah mi siendi room kwangu nalala kwenu, akanambia lala tuu, si alinichukulia poa yule nilitaka kumuonesha ujuzi wangu, yaani nilitaka kumfanyia interview ya kibabe. Nikamuacha hadi ameanza kukoroma, nikaingia kwa blanket lake, Dom Kuna baridi kinoma usiku, nikaanza kumfanyia massage , nikaanzia mgongoni nikashuka taratiibu, akashtuka akaniuliza we, unafanya nini? Nikamwambia massage baba nimeona umechoka sana.

Dullah si akanogewa bhana, nilijua tu atanogewa labda sio mie Sarah niliefundwa na bi Sandra, akawa anatoa miguno pale, nikashuka taratiibu na maeneo mengine, baadae nikamwambia lala chali nikufanyie massage ya mabega na kiuno, si akageuka bhana, alijuuuuta....nilihakikisha anasimamisha, mission complete, saa ngapi nisiitie ile kitu mdomoni , anauliza we hiyo nayo massage, nikamwambia tuliaaa mangi nikupe mambo,tuliaaaaa.

Nilipoona Dulla anazidi kuweweseka nami nikaongeza kasi ya kunyonya ile kitu, nikawa nachezea pale kwenye kichwa pale, saa ngapi wazungu haoooo...Dullah mjanja wa bure tu daah, akawa anaweweseka kama anataka kukata roho, nikaikalia pale, nikampa mauno ya bi Sandra hadi akawa ananambia basi Sarah utaniuaa, shenzi zake ....game imeisha nikamuuliza kwa wabunge natoboa sitoboi...eti we kiboko mama, kesho nakupeleka tukapige kazi...

Nilikula vichwa kama sina akili nzuri, sikua fala, condom muhimu, baba weeee, maradhi yako kafe nayo mwenyewe. Life la chuo likasonga, swala la ajira kua ngumu hakuna mwanachuo alikua hajui, sikufanya uzembe, nikafungua saloon kubwa tu pale Dom mjini, kuna mbunge alinielewa akanambia tulia Sarah nataka kukuoa...nikamwambia tunapima ukimwi tena nachagua hospitali, sikutaka ujinga kabisa nawajua mambo yao wale, kama kalala na mimi kupitia Dullah kashawalala kibao, tukapima tukawa fresh, akatoa posa mapema tu kabla ya graduation nikawa nishaolewa, umalaya umenipa mume babu, unashangaa ...mjini hapa.
 
Tuvute pumzi kidogo wakati tunaisubiria 'The Godfather'....

Baada ya kuhitimu chuo kila mtu alikua na matarajio yake, wapo waliojindaa kuyafikia hayo matarajio hata kabla hawajatoka chuo, wapo walisubiri wamalize kwanza ndio wapambanie ndoto zao, wapo kina John Kisomo walioona kua shahada moja haiwatoshi wakaamua kuendelea zaidi, wapo walioahirisha kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kiafya, dada zetu walishindwa kuhitimu baadhi sababu ya kukimbilia kuanzisha familia mapema , wapo walioshindwa kumaliza sababu ya kufeli na nyingine nyingi...

Hao walioshindwa kumaliza tuwaachie kwanza, leo acha tujadili hawa waliofanikiwa kumaliza ...tuna graduates sita, kila mmoja atasimulia kisanga chake, mimi si ndio nimewakusanya bwana, acha nianze kusimulia kisha watafuatia...

IAM TONY...

Ukija nyumbani ukaulizia Tony utakesha sana, wazazi waliamua niitwe Anthony, ila washkaji zangu wakaona Tony litawasaidia kuokoa mda, nikachekecha nikaona limekaa kinyamwezi, nikaishi nalo tuuu, sina story ya kuogofya sana, ila hawa raia hawatosimulia story zao nisipojitoa muhanga...

Story inaanzia nilipokua mwaka wa pili, si ndio nishazoea life la chuo nini, tumekaa canteen usiku tunacheki watoto wakaleeeee wa first year, hata ujifanye star canteen utaingia tuuu, kwaio sehemu ya kwanza kuwacheki hawa watoto ilikua canteen, wakaja pale nini, Mungu fundi bwana, ule mwaka palikua na visu balaa, nikamuona mtoto mmoja hivi kisu cha kwenda, nikasema mwamba naishi nae huyu.

Yule manzi alikua anaitwa Angel, kisu ndugu msomaji, nikisema kisu naomba uelewe, nikamfatilia mtoto mzuri nikajua block anayokaa , hadi room, nikasema kwa leo inatosha. Nikawa sikakauki kwa viunga vya Ile block, hiyo siku natoka zangu room naenda pindi, mtoto huyu hapa, kawaka balaa, nikasema dammmn, huyu manzi nammudu fala mimi, mbona kama Kim kadarshian fulani hivi, ila mi mbishi, nikamuungia.

Malaika wema nao hawakunitupa mkono , mtoto mzuri alikua peke ake, nikasema acha nijaribu bahati yangu, akinimwaga fresh tuu, nikamsogelea kibaharia nini, nikaomba namba, dem akachomoa daah, nikachek kushoto kulia amani, nikasepa.

Ikapita kama wiki ivi tunatoka kufanya group assignment na kundi langu, kuna gari ikawa imepack mbele ya block ya kina Angel, ndinga ya maana , hapo kumbuka hata jina simfahamu yaani, alikua na nyodo yule manzi balaa, si unazijua pisi za Arusha kwa pozi. Ilikua kama bahati tu, mlango wa Ile gari ukafunguliwa, sijui hata nini kilinisibu nikachungulia kwa ile gari , si nikamuona yule mtoto mzuri, nikahisi kama baridi hivi imepita mwilini.

Angel alikua amekaa siti ya nyuma na huyo aliekua nae kwa gari, Angel akashuka kwa gari , jamaa nae akashuka wakawa kama wanabishana hivi, jamaa akamkumbatia Angel akawa kama anambembeleza, sikuhitaji mkalimani kuniambia kua yule ni sponsor wa Angel. Nikazipiga hatua maana washkaji walikua wameniacha kiaina , mi si nilijifanya FBI kufatilia maisha ya watu bwana, niliingia room akili kama imestuck, ile siku ndio nilijua kua mempemda yule mtoto, lakini kwa ile competition ntachomoa kweli?

Nilipambana kumzoea Angel lakini daaaah, ngoma ngumu...mtoto kakazaaa, nikaona isiwe kesi, nikabadili mbinu, nikachek kwa circle yake nani anazoeleka, nikaona kuna kamoja kapo machachari , nikasema huyuhuyu atafanikisha misheni yangu, mi sio mtu wa kushindwa yaani, nashindwaje kwa mfano. Nikaanza kumlia timing rafiki ake Angel, siku moja tu akajaa, yaani ningetaka ningepiga kabisaaaa, daaah...kuna madem jau sana,nikamwambia yooo slow down, nataka file la yule mwenzio, akaanza kuvimba pale, nikachomoa mwekundu akapoa.

Akanambia Yule utakesha humpati, kasema hataki watoto wadogo, 'I was like what? Yaani huyu dem anajikuta nani yaani, huwezi amini kasi ya kumsaka Angel ikazidi, yaani kama nipo kwa mashindano hivi, nikaapia huyu dem lazma nimpate, na siku nikimpata ataenda kusimulia wenzie.

Chawa wa Angel akanipenyezea ubuyu kua jumamosi watakua club, akanitajia jina la club maarufu tu pale Dom, nikasema hawa naishi nao mbona, subiri waone. Nikamchek bro wangu mmoja hivi yupo mkoa alinambiaga ukiwa Dom Kama una shida kuna mshikaji wangu atakusaidia, mwanangu sana, nikamwambia bro niko na shida ya usafiri weekend hii, si nishajua weakness ya Angel wanaume wenye magari, nikasema tutaenda sawa tuu mbona.

Bro wangu sio mtu wa mambo mengi,simu moja tuu nikaelekezwa kwa rafiki ake nikachukue gari Nkuhungu. Kifedha sikua mchovu kiivo , za kuwalewesha wale madem usiku mmoja nisingekosa, nikatimba club waliyopo kina Angel nikakuta wameshaanza kuwaka, nikawaongeza drinks pale halafu nikapozi siti nyingine nikamuachia chawa afanye kazi yake.

Hata dakika kumi hazikuisha wakaniomba niwajoin, nikasema aliyeumba hela alaaniwe, mtoto kaisha huyu walahi...tukapiga gambe pale hadi mida ya wanga, Angel kawaka mbaya, mara anilalie mara anibusu, aiseee sikuamini kama ndie yule Angel ananikaziaga vile chuo. mda wa kusepa nikawakodia tax wale wengine nikasepa na Angel.

Ule usiku sikufanya makosa, nilijua tu naweza nisipate Ile nafasi tena, huyu dem wa wenye nazo kwaio lazma niache alama. Nikamwambia tuingie kuoga kwanza ma mtu, she was drunk ni kama kila kitu nilifanya mwenyewe yaani, nisiwachoshe sana nilichapa Ile manzi hadi ikaniambia Ton naomba nioe, niko kuoana tena jamani...mi nasoma mwenzio, sikuuza mechi wadau ,mi sio fala kiivo, kwa life style la Angel dizaini wanapita wengi, ila ile fahari nimekula manzi mkali daaah.
Thank u love
 
SARAH:

Warda shoga angu sana, kuteseka chuo alitaka mwenyewe tuu, mi ningepata japo robo ya uzuri wa warda wabunge kitu gani ningehakikisha nachukua mawaziri kabisa. Hivi, nishawaambia jina langu eeeh, acha nirudie twende sawa, naitwa Sarah...uzuri sina , sura majaaliwa ila najua kumfanyia mwanaume adate, usiniulize maswali mengi ndugu msomaji, kwetu Tanga, waja leo waondoka leo inahusu.

Nilikua namsumbua Dullah aniconnect na wabunge wake.
ananichomolea, ananambia mwanangu we kaa tule mafao hupati kichwa huko, wale wanataka watoto wakaleee, nikaona huyu Dullah ataniwekea usiku, nikatumia umafia, hiyo siku tumetoka club na kina Dulla , kama kawaida Tonny alikua kasepa na kadem , Angel alishamwagwa kitaaambo, si alikua analeta wivu kwa Tony anataka kuolewa bhana...ila Angel aliingia cha kike walahi, Tony ndio mwanaume wa kumpenda sasa na yeye daah, Tony alipita na marafiki wa Angel woote hakuacha mtu.

Tumefika chuo saa saba hiyo, nikamwambia Dullah mi siendi room kwangu nalala kwenu, akanambia lala tuu, si alinichukulia poa yule nilitaka kumuonesha ujuzi wangu, yaani nilitaka kumfanyia interview ya kibabe. Nikamuacha hadi ameanza kukoroma, nikaingia kwa blanket lake, Dom Kuna baridi kinoma usiku, nikaanza kumfanyia massage , nikaanzia mgongoni nikashuka taratiibu, akashtuka akaniuliza we, unafanya nini? Nikamwambia massage baba nimeona umechoka sana.

Dullah si akanogewa bhana, nilijua tu atanogewa labda sio mie Sarah niliefundwa na bi Sandra, akawa anatoa miguno pale, nikashuka taratiibu na maeneo mengine, baadae nikamwambia lala chali nikufanyie massage ya mabega na kiuno, si akageuka bhana, alijuuuuta....nilihakikisha anasimamisha, mission complete, saa ngapi nisiitie ile kitu mdomoni , anauliza we hiyo nayo massage, nikamwambia tuliaaa mangi nikupe mambo,tuliaaaaa.

Nilipoona Dulla anazidi kuweweseka nami nikaongeza kasi ya kunyonya ile kitu, nikawa nachezea pale kwenye kichwa pale, saa ngapi wazungu haoooo...Dullah mjanja wa bure tu daah, akawa anaweweseka kama anataka kukata roho, nikaikalia pale, nikampa mauno ya bi Sandra hadi akawa ananambia basi Sarah utaniuaa, shenzi zake ....game imeisha nikamuuliza kwa wabunge natoboa sitoboi...eti we kiboko mama, kesho nakupeleka tukapige kazi...

Nilikula vichwa kama sina akili nzuri, sikua fala, condom muhimu, baba weeee, maradhi yako kafe nayo mwenyewe. Life la chuo likasonga, swala la ajira kua ngumu hakuna mwanachuo alikua hajui, sikufanya uzembe, nikafungua saloon kubwa tu pale Dom mjini, kuna mbunge alinielewa akanambia tulia Sarah nataka kukuoa...nikamwambia tunapima ukimwi tena nachagua hospitali, sikutaka ujinga kabisa nawajua mambo yao wale, kama kalala na mimi kupitia Dullah kashawalala kibao, tukapima tukawa fresh, akatoa posa mapema tu kabla ya graduation nikawa nishaolewa, umalaya umenipa mume babu, unashangaa ...mjini hapa.
Mwanamke unapozidi kulala na wanaume wengi uwezo wako wa kutengeneza bond na mme wako baada ya ndoa unapungua, kwa maneno mengine inakuwa ngumu sana kutengeneza bond na mme wako wa ndoa.
 
Mwanamke unapozidi kulala na wanaume wengi uwezo wako wa kutengeneza bond na mme wako baada ya ndoa unapungua, kwa maneno mengine inakuwa ngumu sana kutengeneza bond na mme wako wa ndoa.
Sarah atakushangaza my dear...sio kila anaefanya ufuska anadhamiria, Sarah was the smartest one
 
Sarah atakushangaza my dear...sio kila anaefanya ufuska anadhamiria, Sarah was the smartest one
Hakudhamiria?? Dhamira ni nn??

"The smartest one" kwa sababu alitumia hela alizopata kwa kujishusha hadhi yake na familia yake kufungulia saloon, haya bhana mi ngoja nii-enjoy story nipite zangu
 
ADRIAN...

Hakuna jina nilikua nalichukia kama John kisomo, ila sasa jina ukiwa unalichukia ndivyo linavyozidi kushamiri, ilikua ni lazma nipende shule maana hadi kufika hapo ni juhudi zangu, kwa kifupi tu ni kua nimejisomesha. Kuishi bila wazazi , kulelewa na bibi baada ya mama kunitelekeza na kutokomea mjini kulinikomaza sana, mama anarudi baada ya miaka mingi akiwa mgonjwa taabani, kwa elimu yangu ya kidato cha tatu wakati huo haikuhitaji vipimo kujua kua mama alikua mwathirika wa virusi vibaya vya Ukimwi.

Tulimuuguza mama lakini haikua ridhiki mama akatutoka, msiba wa familia maskini hauna mbwembwe, hata mchungaji hakujisumbua kuja, alitumwa mwinjilisti kuongoza ibada ya mazishi nae ni sababu ya heshima ya bibi na jinsi ameishika imani, unataka nifike chuo nianze kufanya ubishoo, kwa lipi hasa, pamba zenyewe ukiona nimelipuka ujue ni Tony kanifaa anataka tuongozane nisije mtia aibu. Mashati yangu halali yalikua mawili, moja la kitenge ,na lingine jeusi, kwangu yalikua yananitosha sana , suruali zangu mbili zote nyeusi, life la chuo likasonga kiivo.

Hadi nafika chuo na kuja kukutana na kina Ton, hakuna kazi sijafanya, nimekata nyasi za ng'ombe, nimelima miraba, nimefyatua matofali, nimebeba mizigo stendi, nimeuza karanga , nimezibua vyoo , nimetembeza mitumba , nimefundisha tuition , hakuna kazi iliyo halali sijafanya ndugu zangu.

Nakumbuka kuna siku nilienda kuomba kibarua cha kufyatua tofali, ujira ulikua elfu tatu, nipo kidato cha nne hapo, natakiwa nipambane nilipe hela ya Mock exam, nikapiga kile kibarua hadi jioni, narudi nyumbani namkuta bibi yupo hoi kitandani, bibi ndio alikua baba na mama hapa duniani, hadi wakati huo tayari nilikua nimetimiza hela inayotakiwa kulipia ule mtihani, ilitakiwa nifanye maamuzi magumu, kati ya maisha ya bibi au mtihani wa Mock, nisiwafiche nilichagua kuokoa maisha ya bibi, nikaita pikipiki tukampeleka bibi hospitali, nikiwa hospitali ndio nawaza sasa natoa wapi pesa ya kulipia mtihani, nililia kama mtoto mdogo , umaskini mbaya sana ndugu zangu, acha nisome tuuu, acha waniite John kisomo.

Kuna watu tunaishi nao ni malaika Mungu amewaweka duniani kwa makusudi maalumu, kuna mwalimu wa kike mtu mzima alikua anauguza mgonjwa wake pale hospitali pia, yule mama aliniona nimeinama nalia, akanifata akaniita Adrian, nikashtuka nani ananifahamu maeneo haya, akanitoa pale akanipeleka eneo la chakula, nikala nikawa katika utulivu maana tangu nilipokula jana mchana kibaruani makande ya jero sikua nimetia kitu mdomoni, nimerudi jioni si ndio namkuta bibi kazidiwa, hamu ya kula ningeitoa wapi sasa.

Kuanzia Ile siku yule mama akafanyika baraka sana, alilipa ile pesa ya Mock na akawa anakuja mara kwa mara kututembelea na bibi, alikua analeta chakula na akaniambia nipunguze kufanya vibarua nikazane na shule mitihani ilikua imekaribia, kwa mbinde nikamaliza form four , nikafaulu palepale dodoma na kuingia advance.

Kwa msaada wa yule mama na juhudi zangu nikafanikiwa kufika chuo, aliebuni kujengwa kwa chuo kikuu cha dodoma abarikiwe sana maana ilitupa fursa wengi kupata elimu ya juu. Maisha ya boom sio mepesi asikwambie mtu, kwangu lilikua ndio kila kitu yaani, nikaona acha nilifanyie kitu, nikanunua printer used ambayo inatoa na copy, nikanunua na desk top, kuna amount pia Tony alinikopesha, yule jamaa ana roho ya ajabu sana. Nikageuza room yetu stationery bwana, kuamka saa kumi na moja kulala saa nane, hapo una assignments za watu unatakiwa uwaprintie , wengine wazee wa bata wamekuachia assignments hata kutype hawajatype yaani, mi si nataka hela ndugu zangu, nikatumia fursa, ndio jina sasa la John kisomo likazidi kupaa, hadi room ikawa inaitwa room ya kina John kisomo daaah, maana kila wakija wananikuta nipo macho.

Shule ikaisha, nikaona jinsi stationery ilivyo na hela, nikaongea na Dullah, si ashakua tajiri tayari, ila yule ndugu hapana kabisa, nikamwambia niko na wazo la kufungua stationery pale chuo, tuhakikishe tuna vifaa vya kisasa, kazi ukiprint zinatoka clear, maana mashine nyingi zilikua zimechoka unapeleka kuprint kazi zinatoka nyeusi. Ukitaka kuelewana na Dullah mpe michongo ya hela, yule mtu anapenda hela bwana, sijawahi ona, Dullah akasema haina shida, nakuaminia kwa mambo za stationery uko poa ,tukajichanga na Dullah tukafungua stationery za kisasa kabisa haijawahi tokea, hadi Ac tukaweka , wanafunzi wanavyopenda mambo mazuri sasa...

Hadi nakuja kupata ajira nilikua njema sana mfukoni, tulikua na stationery tatu kwa college tatu tofauti za pale udom. Hadi wakati huo sikua na mpenzi, sikutaka kuhangaika nayo kabisa, nilipambania ndoto zangu, nilimchukua bibi nikaishi nae. Yule mama mwalimu alifariki nikiwa chuo mwaka wa pili, Mungu ni mwema alinipa familia mpya ambayo ni yule mwalimu na Tony.
 
Back
Top Bottom