Chaguo la Msomaji.

Na dedicate hii kwa Neiwa na kwa yeyote yule ambae anaupenda..

 
Last edited by a moderator:
TANMO ungemdediketia wimbo kwa kiswahili......................By the way na mimi nadediketi nyimbo za zamani tu...

1. Hiki masikitiko
nauliziaaa jojina ni lini utarudi.................Jojina wa mamaa

4. Huu unaitwa Jogoo la shamba wa Mbaraka Mwishehe pia nadediketi kwa Bishanga

Hiloo ooh ulijidai mbabe sana
leo umepigwa na kijana mdogo aibu imekutokaa

Ulipotoka shamba kuingia mjini ulianza kudharau wenzako
Leo umepigwa na kijana mdogo aibu imekutokaa

Spesho dedication kwa platozoon na TANMO:
Angurumapo simba (ie bishanga) mcheza nani?
Anguruma,guruma guruma....
Source: Twanga pepeta.
 
Last edited by a moderator:
Asante sn Smiling Saint kwa huo wimbo wa mwaitege wa kufanyiwa maombi,naomba ongeza na kufunga maana kuna mtu namdai alafu anizingua mbaya! Mie nakudediketia wimbo wa UTAMU WA YESU wa Rose mhando ukufikie popote ulipo swaiba!
 
Last edited by a moderator:
Namdediketia mme wangu mpnz Rejao wimbo wa U STILL THE ONE wa Shania Twain,mda huu akiwa amepumzika baada ya kumpa cha asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Halafu niliwaona mida fulani na Asprin wanakatisha posta ya zamani sijui walikuwa wanaenda ile bar ya feri lol
Wamefulia km muuza banana a.k.a Bishanga

Hawakwenda bar walikuwa wanajiita eti watalii wa ndani.

Ila walikuwa wamependeza coz dreva alikuwa Kongosho na Asprin kakunja kishoka macho juujuu kwa wajukuu wanaongoja usafiri
Bibie Kongosho, hebu amka kuna watu wanajiita Erickb52 na Mamndenyi wanatufanyia umbea.....

Kama kawaida ibuka na kibao cha kepten John Komba "Ndugu watanzania, mwalimu katutoka..... hatutamwona tena mwalimu Nyerere".
 
Last edited by a moderator:
baisho I love u bebi....naudediketi kwa yoyote atakaeupenda
 
Namdediketia mme wangu mpnz Rejao wimbo wa U STILL THE ONE wa Shania Twain,mda huu akiwa amepumzika baada ya kumpa cha asubuhi!

Swahiba habari ya uzima wako? Umenisusaje? Hebu pokea kitu Shauri yako (waimbaji siwajui bana)
 
Last edited by a moderator:
Bibie Kongosho, hebu amka kuna watu wanajiita Erickb52 na Mamndenyi wanatufanyia umbea.....

Kama kawaida ibuka na kibao cha kepten John Komba "Ndugu watanzania, mwalimu katutoka..... hatutamwona tena mwalimu Nyerere".
Naona mshamaliza shughuli teh Kongosho hoii na si kawaida yake inaonekana jana ulitoka kivingine musee...sasa jioni ile mlikuwa mnaenda feri kufanyaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom