Chaguo la Msomaji.

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,511
11,271
Wakuu, wana chi-chat, Mabibi na Mabwana: poleni na majukumu ya wiki nzima.
Ili kupunguza machovu ya mihangaiko basi nawakaribisha mjichagulie nyimbo ile enye mnapenda na mui-dediketi kwa wale wote muwapendao.
Ikiwa ni muendelezo wa Kauli mbiu yetu ya kushea Mapendo, Kwa hisani ya watu wa Oldonyo Sambu pamoja na Oldonyo Lengai..

Basi TANMO naanza na wimbo huu: "Love Will Turn You Around" wa Kenny Rodgers
Naudediketi kwa wanachit chat wooote popote mlipo, Mbinguni na Duniani...
Ujumbe: Tukumbukane kupitia JF Chit Chat..

BTW: Mkuu Bishanga pole kwa msuto uliokufika wiki hii..





You can run
You can hide
Never let it inside
Keep livin' your life in the dark
But sooner or later that gentle persuader
Is gonna catch up with your heart
Make you a dreamer, believer
Believin' in love

Right when a man's doin' all that he planned
And he thinks he's got just what he needs
Life will deliver a shock that will shiver
And drive him down to his knees
Make him start givin', livin'
Livin' again

Well it's your mind
That tricks you in believin' every time
Love will turn you around
Turn you around
Well, its your heart
That talks you into to stayin'
Where you are
Love will turn you around
Turn you around

Out of the blue she reaches for you
And you tell her you don't have the time
So you move away fast
But you know it won't last
'Cause you can't get her off of your mind
Thoughts are burnin', turnin'
They're turnin' around

How do you know when to stay or to go
And how do you know when it's real
You don't need a sign to make up your mind
You got your heart at the wheel
You wanna start sharin', carin'
Carin' again

Well it's your mind
That tricks you in believin' every time
Love will turn you around
Turn you around
Well, its your heart
That talks you into to stayin'
Where you are
Love will turn you around
Turn you around

Love will turn you around
Turn you around
Love will turn you around
Turn you around
Turn you around
Mapendo.
TANMO
 
Last edited by a moderator:
TANMO ungemdediketia wimbo kwa kiswahili......................By the way na mimi nadediketi nyimbo za zamani tu...

1. Hiki ni kipande cha wimbo wa Mbaraka Mwishehe Mwaluka.....Nadediketi kwa Mwali

Kwa nini watafuta dawa ya mapenzi kwa waganga
Wajua waweza kumuumiza mwenzio ewe mamaa

Kwanza jiulize kwa hupendeki siku hizi mamaa
Bembeleza bwana'ako muishi pamoja usitumie dawaa

2. Hiki ni kipande cha wimbo wa Mbaraka Mwishehe nadediketi kwa kipipi

Kila apitapo nyumbani kuelekea kazinii
Sura yake ya kijapani na umbo lake lanitia wazimuuu

Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoaa

3. Huu ni wa Marijani Rajabu unaitwa Georgina nadediketi kwa charminglady

Oooh Jojinaa,..siku uliyoondoka uliniacha nalia na machozi
Umekwenda kuishi mbali nami jojina wa maaaaa

Sipati usingizi nikikumbuka tulivyoishi nami jojinaa
Ooh jojinaaaaaa............ umekwenda mbali jojina umeniachia masikitiko
nauliziaaa jojina ni lini utarudi.................Jojina wa mamaa

4. Huu unaitwa Jogoo la shamba wa Mbaraka Mwishehe pia nadediketi kwa Bishanga

Hiloo ooh ulijidai mbabe sana
leo umepigwa na kijana mdogo aibu imekutokaa

Ulipotoka shamba kuingia mjini ulianza kudharau wenzako
Leo umepigwa na kijana mdogo aibu imekutokaa
 
Last edited by a moderator:
1. Hiki ni kipande cha wimbo wa Mbaraka Mwishehe Mwaluka.....Nadediketi kwa Mwali

Kwa nini watafuta dawa ya mapenzi kwa waganga
Wajua waweza kumuumiza mwenzio ewe mamaa

Kwanza jiulize kwa hupendeki siku hizi mamaa
Bembeleza bwana'ako muishi pamoja usitumie dawaa

Khaaaaaa! unaumwa wewe, Nimekukasirikia
Tafuta wimbo wa kunibembeleza harakaaaa! :angry:
 
Khaaaaaa! unaumwa wewe, Nimekukasirikia
Tafuta wimbo wa kunibembeleza harakaaaa! :angry:

Kuna ukweli? Pole Mwali....najua umenuna, ila bahati nzuri maktaba yangu kichwani haiishiwi nyimbo za zamani...........hii hapa ya Mbaraka mwishehe na Super Volcano inaitwa "esta" ila tamka "mwali"

Mwalii wangu sikiliza thamani ya mapenzi ni kusikilizana
Na mimi leo ndiyo mwisho wangu niliyotenda kwako kweli yanatoshaa...

Na haya yote niliyoyafanya ya kukuudhi wewee samahani sana mpenzi wanguu


 
Last edited by a moderator:
nadedicatel wimbo love should brought you home, wa toni braxton kwa TANMO..........
 
Last edited by a moderator:
...hii ni Club la raha leo shoooooooooow..!!
Shoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooowwwwww.....
Halafu nina dedikesheni yako pia Arifu.
Ngoja nitarudi..
Khaaaaaa! unaumwa wewe, Nimekukasirikia
Tafuta wimbo wa kunibembeleza harakaaaa! :angry:
I expected this reaction..
Ila Mwali msamehe bure Bana...

Mke Mwema... nadediketi kwa TANMO
Mkuu huu wimbo umeimbwa na nani?
Hebu nipe lyrics zake, manake kweli niko bize sana saa hii nasaka "Mke mwema"
 
bebi....nakudediketia wimbo wa Chidi Benzi na Khadija Kopa...jina sijui....uwaendee wote wanaotuonea kijicho....

Preta hujambo Dada?
Jimama anakuuliza lini utakuja kumtembelea?
 
Kuna ukweli? Pole Mwali....najua umenuna, ila bahati nzuri maktaba yangu kichwani haiishiwi nyimbo za zamani...........hii hapa ya Mbaraka mwishehe na Super Volcano inaitwa "esta" ila tamka "mwali"

Mwalii wangu sikiliza thamani ya mapenzi ni kusikilizana
Na mimi leo ndiyo mwisho wangu niliyotenda kwako kweli yanatoshaa...

Na haya yote niliyoyafanya ya kukuudhi wewee samahani sana mpenzi wanguu



Pamoja sana. (source: AshaDii)
:hug:
 
platozoom, nashukuru kwa dedikeshen. nami nakurudishia wimbo wa AKUDO IMPACT - Safari co kifo. . . . na wimbo HANDS ACROSS THE WORLD - One 8 uwafikie wana Chit Chat wote wote!
Ujumbe: Salam kupitia Chit Chat ni nusu ya kuonana na Chit Chat ni Stress free zone. anaepinga anyooshe kidole juu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wote ambao wako katika harakati za kutongoza wa kwao unaitwa PLEASE BABY LOVE ME PLease baby luv me ,..wakimwani ooh please baby luv... sikuluv why don't u luv me .,never want too.. ooh please baby sikiliza no Anelika.ooh please kiss me simanyile ,..ok iam going away..ok by by go
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom