Chaguo la Msomaji.

Hahahaa maisha ya zamani yalikuwa very fun kwa kweli...hakuna maisha poa km ya utoto

sana tu, bt watoto wa cku hz hawafaidi make wanaanza kindagaten,engl medium hawachez kombolela wala mdako! ce enz zile tulicheza michezo yote!
 
me love you all
nawadedicate wimbo wa Angela Chibalonza( RIP)Ebeneza uwaburudishi
kiafya siko powah leo lakini nawamiss nimepita kuwacheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom