hii inatokana na kutokuwa na elimu ya uraia maana angekuwa emeelewa hali halisi ya nchi yake iko wapi na inaelekea wapi sasa masikini unakuta bkapewa tu 10,000 basi ndiyo mpaka mwisho
Na hii ndiyo wanaitumia sana wanaccm kuwarubuni watu wote waaina hii ambo wapo wengi sanasana huko vijijini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.