Chagua JINA la Kumpa huyu CHALIEE, MAKUBWA Haya!!!!!!!!!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
311333_484347058282902_872788512_n.jpg
 
Hawa wasaka noti tu hata hawampendi wala kuipenda iyo rangi! Ila wanaturudisha nyuma saana.
 
hii inatokana na kutokuwa na elimu ya uraia maana angekuwa emeelewa hali halisi ya nchi yake iko wapi na inaelekea wapi sasa masikini unakuta bkapewa tu 10,000 basi ndiyo mpaka mwisho

Na hii ndiyo wanaitumia sana wanaccm kuwarubuni watu wote waaina hii ambo wapo wengi sanasana huko vijijini
 
jijana huyu 2na mwita kilaza.....2na mwita lilaza pesa wala wengine yeye anaishia kujichafua 2na mwita kilaza
 
Ukitaka kumtawala vzuri mtu mnyime elimu.Huyu anatumika kama tissue paper au ped hana lolote.Hakuna ktu kbaya kama njaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom