CHADEMA Zanzibar wamtangaza mgombea ubunge Kiembe Samaki

kibacha

Member
Nov 14, 2013
50
26
Ndugu wanajf kuna watu walikuwa wanakesha humu na kuimba ngonjera kuwa CDM hawata simamisha mgombea kule kiembe Samaki... Habari rasmu ni kuwa Bwana Hamis Juma Rashid amepwndekezwa na chama cha chadema wilaya ya magharibi kupeperusha Bendera ya chama hicho kwenye kiti cha baraza la wawakilisha.

Mkutano mkuu wa jimbo la kiembe samaki ulikaa 13.01.2014 na kuhudhuriwa na wajumbe 136 huku mgombea huyo akipata kura 129 na kura 7 zikimkataa.

Hivyo chadema imesimamisha mgombea na ushindi ni lazima
 
Ni mapambano tu,mpaka kieleweke.

Hata kama kaburi unayafuata mfisadi ya lu.mumba a kuyatwanga.
 
kiembe samaki nina marafiki kule akina Makame,Faki,Jecha
ngoja nianze kampeni
 
Ndugu wanajf kuna watu walikuwa wanakesha humu na kuimba ngonjera kuwa CDM hawata simamisha mgombea kule kiembe Samaki... Habari rasmu ni kuwa Bwana Hamis Juma Rashid amepwndekezwa na chama cha chadema wilaya ya magharibi kupeperusha Bendera ya chama hicho kwenye kiti cha baraza la wawakilisha.

Mkutano mkuu wa jimbo la kiembe samaki ulikaa 13.01.2014 na kuhudhuriwa na wajumbe 136 huku mgombea huyo akipata kura 129 na kura 7 zikimkataa.

Hivyo chadema imesimamisha mgombea na ushindi ni lazima
wapinzani wake walikuwa akina nani?
 
Back
Top Bottom