CHADEMA Zanzibar wamtangaza mgombea ubunge Kiembe Samaki

CHADEMA Zanzibar wamtangaza mgombea ubunge Kiembe Samaki

Huyu Bwana Hamis Juma Rashid ni wa marangu, machame, kiraracha au rombo?
Mkuu, huyo anaitwa James Philemon Muro. Ni mchaga wa Marangu. Amebadili jina kwa lengo tu la kugombea ubunge ili naye aonekane kama ni Mzanzibara. Nasikia pia hao waliopiga kura ni wachagga tu
 
Kamati Kuu ya Chadema itaketi lini kumuidhinisha?
 
ni kujitaka kujitoa ufahamu tu kusema hadharani kuwa CHADEMA tutakuwa hata wa pili huko zenji. unauma ukweli huu lakini inabidi tuseme tu.
 
Mkuu, wengine ni deal tu la kupiga mkwanjq. Hapo utasikia Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe akikikopesha chama shilingi milioni 200

Vipi umesahau na ile kasumba yao ati wameibiwa kura we subiri tu
 
ni kujitaka kujitoa ufahamu tu kusema hadharani kuwa CHADEMA tutakuwa hata wa pili huko zenji. unauma ukweli huu lakini inabidi tuseme tu.

Ni kama vile CCM inavyojipa matumaini na Uchaguzi wa Madiwani hasa kule Sombetini, Bunda na Njombe
 
We as cdm we know what we do, to loose or to win are just results. Go hon. Juma with fully of blessing frm cdm members. All the best.
 
Back
Top Bottom