The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,280
Sikuamini kama juliana anaweza kuwayumbisha kiasi hiki vijana wa bavicha wameshindwa kujadili mada na kuanza kutukana kama wagonjwa.
Nakusamehe, umejiunga na JF juzi. Mimi ni moja wa watu waliokuwa wakiilaumu Chadema kwa kuwakumbatia hao wasaliti kwa muda mrefu kwani nilijua walivyorubuniwa toka mwanzo.Una maana ulikuwa unamkubali sana SHONZA, basi subiri 2015 utaona athari za SHONZA na MWAMPAMBA kutoka CHADEMA.
Ha ha haaa! Ninavyojua toka wajitoe, Chadema imezidi kujiimarisha...je unahitaji ushahidi au takwimu? Chagua mwenyewe!Utambue pia kuna mambo mengi sana ambayo pengine yametokea kwa sababu ya hawa vijana kuondoka CHADEMA.
Ebo, kumbe! Wanga huingia kazini usiku lakini siku ya kufa nyani ikifika, hujikuta jua limewawakia tena mchana kweupee!1.Kugundulika kwa unyama wa WIFRED LWAKATARE
Ahaa! Siri hubakia ya mtu moja, ikizidi hapo si siri tena. Asante Enzizamwalimu, mtaumbuana bila kujua.2. ZITTO kabwe kukosa morari ya kujihusisha na masuala ya chama
Sijui ughaibuni gani unaouongelea! Je huko ughaibuni wanapiga kura?3. Nguvu ya CDM Ughaibuni kupungua kwa asilimia kubwa
Chadema wakatumia pesa nyingi hadi kuishinda serikali! Chadema kumbe kiboko!4. matumizi ya nguvu na pesa nyingi sana katika uchaguzi mdogo katika mji wa arusha pamoja na kwamba CHADEMA walisema hata wangesimamisha jiwe na CCM lingeshindwa
Sidhani Chadema wanaweza kwenda that low. Yaani Chadema iwafukuze halafu iweke watu maalum kukabiliana nao mitandaoni! Idiocy should be made of sterner stuff, pole sana Enzizamwalimu.5.CHADEMA kuwa na watu maalum wa kukabiliana na SHONZA na MWAMPAMBA kwenye mitandao ya kijamii na majukwaani
Yale yaleee! Nani ahangaike na Juliana Shonzi kama si vijana wa UVCCM ambao hawakuweza kuzuia hisia zao hawa wasaliti kukumbatiwa na wao kusahaulika, ja umesahau?6.Tukio la JULIANA SHONZA kutaka kushambuliwa na watu walioaminika kuwa wafuasiwa CHADEMA kwa kisingizio cha ujambazi pale DODOMA.
Nadhani hapa unakosea, wanaokosa usingizi kweli unashindwa kuwatambua!...mithread kibao isiyo na kichwa wala miguu; mara Chadema imekimbiwa na katibu mwenezi wa kata, really? Enzizamwalimu, it is a pity umeamua kiasi hiki kulidhalilisha jina la Baba wa Taifa? Ni Samsung za Makamba zinazowakosesha watu usingizi...wow!Yapo mambo mengi ambayo kwa hamtaki kukubali kuwa hawa vijana wanawanyima usingizi na hayoni baadhi tu.
... we July huyo jamaa ni mchumia tumbo kama wewe, angalia kauli yake eti "nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia mpaka nikasaidiwa na ccm" unategemea mtu kama huyu atakaa chadema..!!?? sisi tunasaidia chama sio chama kugawa misaada, kwani imekuwa ccm ? yaani huyu asingetoka mwenyewe tungemtimua kama tulivyokufanya wewe...
Ama kweli mkuki kwa nguruwe...Wewe umewaambia wanalala na bundi,sasa ulitaka wakwambie unalala na nani?mods hii inadhalilisha Jukwaa..,kama mnafikiri inanidhalilisha mimi tu endeleeni kuwaacha hawa watu kisha mtaona mwisho wake. Ondoeni hawa wapuuzi humu.
Julie mdogo wangu hii sio issue. Kuhama na kujiunga na chama ni kama kufa na kuzakiwa. Taarifa hii ingenoga kama ungetupa idadi ya wanachama wanaoondoka dhidi ya wanaobaki. Pia wanaojiunga ni wangapi. Pia ingesisimua endapo mtu mkubwa kama Prof. Mkumbo lakini kapuku wenzangu tunahama mradi nikipigwa ulabu na finyango moja ah tunaona timefanikiwa.Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

Kumbe katibu mwenezi wa kata ha!ha!ha!

Ndio Maana ya Demokrasia. Kuhama chama kingine ni haki yake, na wala sio ushujaa. Tumejikita kivipa vyama heshima kuliko yako na heshima na utu wa mtu.Mwanachama na kiongozi yeyote katika ngazi yoyote iwe katika chama ama serikali ni muhimu, kwa taarifa yako. Kila chama kijichunguze kwa nini kinapoteza wanachama ama viongozi. Kikipata majibu kijirekebishe ili moto wa kuwaletea wananchi maendeleo uendelee kuwaka.
Chadema hakuna wauza sembe, wangoa kucha mafisadi, matahira, wapumbavu, majangili....Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Hakuna hoja ya kujadiliwa. Kuna mkusanyiko tu wa maneno; empty words.
Hicho kifo ni majibu ya
Mungu kwa CCM Bwana alitoa hakutwaa, CCM ndiyo iliyotwaa. Sasa
tekelezeni Plan B.