CHADEMA yatoa tamko kali kuhusu uhuni wa kuzuia uchaguzi wa Meya DSM

Ku practice democracy in Africa ni kujidanganya.... Mbadala unahitajika sana kwa viongozi wababe wenye kupenda sifa za kijinga....

Anajidai mzee wa kutumbua majipu huku ukweli anatafuta sifa za kitoto

mnafanya makosa makubwa sana kutegemea kwamba,Makufuli atajiingiza ili kuleta haki kati ya ccm na vyama vingine kila mara mara nawaambia sura kamili ya Makufuli mtaifahamu pale panapotakikana haki kati ya ccm na vyama vingine, kwa nini hamtaki kufahamu hilo? mnakuwa kama wana ccm
 
Back
Top Bottom