CHADEMA yatoa tamko kali kuhusu uhuni wa kuzuia uchaguzi wa Meya DSM

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Taarifa kwa Umma juu ya Uchaguzi wa Meya Jiji la DSM .

Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25.10.2015 na wananchi wa Jiji la DSM Waliamua kuongozwa na UKAWA na ndio maana walichagua Madiwani na Wabunge wengi kutoka UKAWA.

Kati ya Majimbo 10 ya Uchaguzi katika Jiji la DSM CCM ilipata Majimbo 3 tu baada ya kuchakachua na UKAWA ilipata yaliyosalia.Hali ni hiyo hiyo kwenye kata .Wananchi Waliamua kuipumzisha CCM kwa kuwa Walikua wamechoshwa na uendeshaji mbaya wa Jiji la DSM .

Tangu Uchaguzi umalizike mpaka Leo wananchi wanakosa huduma za Jiji kwa sababu CCM ilitaka kushinda Umeya wa Jiji kwa staili ileile waliyozoea ya goli la mkono. Mara wakaletwa wapiga kura feki kutoka Zanzibar huku Wakijua wazi kuwa TAMISEMI sio jambo la Muungano.

Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI Mhe. JOHN POMBE MAGUFULI hajawahi kutoa kauli wala kukemea hali hiyo hata siku moja huku akijua wazi kuwa vitendo hivyo vilikua ni kinyume Cha sheria za Nchi.

Leo tarehe 26.02.2016 tumeshuhudia Uchaguzi ukiitishwa na baada ya wajumbe Kuwasili wakakutana na kilichoitwa zuio la Mahakama la Tangu tarehe 05.02.2016 .

Jambo hili limetokea baada ya Taarifa kusambaa jana tarehe 25.02.2016 kuwa CCM walipeleka shauri mahakamani la kuweka zuio na kuwa shauri hilo lilitipiliwa Mbali. ...

Nini kinafichwa Jiji la DSM ?
Tuna taarifa kuwa ni Ufisadi mkubwa uliofanywa na viongozi wa Jiji waliopita na wakishirikiana na Viongozi wa CCM kupora Mali za Jiji kama vile UDA,Mali za soko la Kariakoo ,Viwanja na majengo ya Jiji.
Pili tuna Taarifa kuwa hawataki majipu ya Jiji yatumbuliwe kwani kuna vigogo wakubwa wa CCM watatumbuliwa kutokana na kushiriki kwenye Ufisadi mkubwa ndani ya Jiji la DSM .

Mipango iliyopo.
1. Mkutano wa Uchaguzi Leo uliitishwa pamoja na kuwepo hicho kinachoitwa zuio la Mahakama kwa lengo la kuwaudhi Madiwani wa UKAWA ili waonekane kuwa wanafanya fujo .
Hii ni kutokana na Ukweli kuwa kama zuio lipo Tangu siku CCM wanaadhimisha miaka39 ya kuzaliwa kwake ni kwani ni Mkurugenzi aliitisha mkutano wakati akijua Mahakama imeweka zuio ?

Mpango huu umesukwa ili kuhakikisha kuwa Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI Mhe.John Pombe MAGUFULI anatengenezewa sababu za kuweza kuvunja Halimashauri ya Jiji la DSM na kuunda Tume ya kuongoza Jiji.

Ni vyema tukaweka angalizo mapema kuwa Mafisadi wana mikakati mingi sana ya kuhakikisha kuwa hawatumbuliwi Majipu.

Kama Rais ambaye ndio Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI hakubaliani na mbinu hizi za Mafisadi ,aingilie Kati Mara moja na kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Meya unafanyika na kazi ya kutumbua majipu ya Jiji inaendelea kama ambavyo imeshaanza katika Manispaa za I lala na Kinondoni zinazoongozwa na UKAWA .

Imetolewa na John Mrema.
Mkurugenzi wa Bunge na Halimashauri CHADEMA.
 
Chama cha Mapinduzi ni janga katika Nchi hii. Kama kweli Kassim Majaliwa na Dr. Magufuli wana nia ya dhati ya kutumbua majipu katika nchi hii (na sio mbwembwe na visasi...) basi wana haja ya kutia mkono haraka mno katika jambo hili. Haingii akirini uchaguzi huu upigwe danadana kwa mara ya 4 sasa.

Imagine CCM wamekomaa kwa jiji tu la Dar es Salaam. Zanzibar hawatokaa waiachie kamwe wa kupitia sanduku la kura.
 
Kama meya wa jiji LA arusha na madiwani wake wameibua ufisadi wa bil 22.2 wa kodi ya pango tu je kwa dar nahisi kutakuwa na tsunami ya ufisadi.It's very shame and bad and painful kwa ufisadi huu wa kutisha unao ibuliwa hata wazungu wanatushangaa we are least developed country but our citizen are very rich.
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Taarifa kwa Umma juu ya Uchaguzi wa Meya Jiji la DSM .

Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25.10.2016 na wananchi wa Jiji la DSM Waliamua kuongozwa na UKAWA na ndio maana walichagua Madiwani na Wabunge wengi kutoka UKAWA.

Kati ya Majimbo 10 ya Uchaguzi katika Jiji la DSM CCM ilipata Majimbo 3 tu baada ya kuchakachua na UKAWA ilipata yaliyosalia.Hali ni hiyo hiyo kwenye kata .Wananchi Waliamua kuipumzisha CCM kwa kuwa Walikua wamechoshwa na uendeshaji mbaya wa Jiji la DSM .

Tangu Uchaguzi umalizike mpaka Leo wananchi wanakosa huduma za Jiji kwa sababu CCM ilitaka kushinda Umeya wa Jiji kwa staili ileile waliyozoea ya goli la mkono. Mara wakaletwa wapiga kura feki kutoka Zanzibar huku Wakijua wazi kuwa TAMISEMI sio jambo la Muungano.

Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI Mhe. JOHN POMBE MAGUFULI hajawahi kutoa kauli wala kukemea hali hiyo hata siku moja huku akijua wazi kuwa vitendo hivyo vilikua ni kinyume Cha sheria za Nchi.

Leo tarehe 26.02.2016 tumeshuhudia Uchaguzi ukiitishwa na baada ya wajumbe Kuwasili wakakutana na kilichoitwa zuio la Mahakama la Tangu tarehe 05.02.2016 .

Jambo hili limetokea baada ya Taarifa kusambaa jana tarehe 25.02.2016 kuwa CCM walipeleka shauri mahakamani la kuweka zuio na kuwa shauri hilo lilitipiliwa Mbali. ...

Nini kinafichwa Jiji la DSM ?
Tuna taarifa kuwa ni Ufisadi mkubwa uliofanywa na viongozi wa Jiji waliopita na wakishirikiana na Viongozi wa CCM kupora Mali za Jiji kama vile UDA,Mali za soko la Kariakoo ,Viwanja na majengo ya Jiji.
Pili tuna Taarifa kuwa hawataki majipu ya Jiji yatumbuliwe kwani kuna vigogo wakubwa wa CCM watatumbuliwa kutokana na kushiriki kwenye Ufisadi mkubwa ndani ya Jiji la DSM .

Mipango iliyopo.
1. Mkutano wa Uchaguzi Leo uliitishwa pamoja na kuwepo hicho kinachoitwa zuio la Mahakama kwa lengo la kuwaudhi Madiwani wa UKAWA ili waonekane kuwa wanafanya fujo .
Hii ni kutokana na Ukweli kuwa kama zuio lipo Tangu siku CCM wanaadhimisha miaka39 ya kuzaliwa kwake ni kwani ni Mkurugenzi aliitisha mkutano wakati akijua Mahakama imeweka zuio ?

Mpango huu umesukwa ili kuhakikisha kuwa Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI Mhe.John Pombe MAGUFULI anatengenezewa sababu za kuweza kuvunja Halimashauri ya Jiji la DSM na kuunda Tume ya kuongoza Jiji.

Ni vyema tukaweka angalizo mapema kuwa Mafisadi wana mikakati mingi sana ya kuhakikisha kuwa hawatumbuliwi Majipu.

Kama Rais ambaye ndio Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI hakubaliani na mbinu hizi za Mafisadi ,aingilie Kati Mara moja na kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Meya unafanyika na kazi ya kutumbua majipu ya Jiji inaendelea kama ambavyo imeshaanza katika Manispaa za I lala na Kinondoni zinazoongozwa na UKAWA .

Imetolewa na John Mrema.
Mkurugenzi wa Bunge na Halimashauri CHADEMA.
FURAHA YA CCM NIKUONA DAMU YA WATANZANIA INAMWAGIKA
 
mnafanya makosa makubwa sana kutegemea kwamba,Makufuli atajiingiza ili kuleta haki kati ya ccm na vyama vingine kila mara mara nawaambia sura kamili ya Makufuli mtaifahamu pale panapotakikana haki kati ya ccm na vyama vingine, kwa nini hamtaki kufahamu hilo? mnakuwa kama wana ccm
 
chama cha demokrasia na maendeleo,jioni hii kimetoa rasmi taarifa yake kwa umma.juu ya suala la uchaguzi wa meya ya jiji dar es salaam
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom