CHADEMA yatoa tamko kali kuhusu uhuni wa kuzuia uchaguzi wa Meya DSM

Chama kinachoongoza kihuni, lazima kitoe serikali ya kihuni. Pote duniani demokrasia ni njema sana huwezi kushindwa tena kwa idadi yawazi ukalazimisha kutaka kushinda!

Wale watumishi wanaoshiriki ugolo huu wanawalakini kichwani mwao

Tangu 1961-2014 zoezi la kumpata Meya wa jiji la Dar haikuwahi kuchukua miezi minne, na kwa mujibu wa barua ya zuio inasogeza miezi sita baadae!

Katika utawala bora huwezi kuvunja kanuni moja kisha ukajidai ni mfuasi wa utawala bora

Huwezi kupambana na rushwa, uzembekazini, matumizi mabaya ya madaraka na uwajibikaji iwapo tu unawafunza watumishi kupindisha taratibu.

Wanaokusaidia kupindisha kanuni, ni haohao watatumia udhaifu wako kufanya yao serikalini

Majipu yanayotumbuliwa yamelishwa blue band, asali na matunda ndio yanayojaribu kukuza mengine kama haya!

Kutawaliwa si tatizo, tatizo no kuongozwa na chama kisichona mwelekeo
 
Chama cha Mapinduzi ni janga katika Nchi hii. Kama kweli Kassim Majaliwa na Dr. Magufuli wana nia ya dhati ya kutumbua majipu katika nchi hii (na sio mbwembwe na visasi...) basi wana haja ya kutia mkono haraka mno katika jambo hili. Haingii akirini uchaguzi huu upigwe danadana kwa mara ya 4 sasa.

Imagine CCM wamekomaa kwa jiji tu la Dar es Salaam. Zanzibar hawatokaa waiachie kamwe wa kupitia sanduku la kura.
Ndugu hao uliowataja ndio wapishi wa haya
 
Magufuli alihamishia ofisi ya TAMISEMI ikulu ili aongoze nchi kwa matakwa yake ya ajabu ajabu!! Hilo ni jambo la kihuni lisilo kubalika!!
Niliwai kusema Magufuli ndio amekuja kuimalizs ccm watu walinibishia wachache wameanza kunielewa kwa haya Mazingaombwe anayofanya
 
Chama kinachoongoza kihuni, lazima kitoe serikali ya kihuni. Pote duniani demokrasia ni njema sana huwezi kushindwa tena kwa idadi yawazi ukalazimisha kutaka kushinda!

Wale watumishi wanaoshiriki ugolo huu wanawalakini kichwani mwao

Tangu 1961-2014 zoezi la kumpata Meya wa jiji la Dar haikuwahi kuchukua miezi minne, na kwa mujibu wa barua ya zuio inasogeza miezi sita baadae!

Katika utawala bora huwezi kuvunja kanuni moja kisha ukajidai ni mfuasi wa utawala bora

Huwezi kupambana na rushwa, uzembekazini, matumizi mabaya ya madaraka na uwajibikaji iwapo tu unawafunza watumishi kupindisha taratibu.

Wanaokusaidia kupindisha kanuni, ni haohao watatumia udhaifu wako kufanya yao serikalini

Majipu yanayotumbuliwa yamelishwa blue band, asali na matunda ndio yanayojaribu kukuza mengine kama haya!

Kutawaliwa si tatizo, tatizo no kuongozwa na chama kisichona mwelekeo
CCM AKA CHAMA CHA MACHAFUKO WANAZILE FIKRA MGANDO KUA NCHI HII NIYAKWAO WENYE
 
Kwa yanayotokea katika uchaguzi wa Jiji ni picha hqlisi ya ccm na demokrasia ya uongo wanashindwa kuelewa kuwa wanatendeneza hatari katika taifa na kutaka watu wafikirie tofauti.
 
Kwa yanayotokea katika uchaguzi wa Jiji ni picha hqlisi ya ccm na demokrasia ya uongo wanashindwa kuelewa kuwa wanatendeneza hatari katika taifa na kutaka watu wafikirie tofauti.
Pia tuelewa ccm walichofanya Tarehe 25/10/2015 hakikua sahihi kwao, nakubaliana na Lowassa alivyosema alipata Zaidi ya kura Millioni 10
 
Uh...inasikitisha. Dira ya taifa ya kugatua madaraka haitawezekana chini ya uongozi wa magumashi magumashi wa namna hii
 
Kama meya wa jiji LA arusha na madiwani wake wameibua ufisadi wa bil 22.2 wa kodi ya pango tu je kwa dar nahisi kutakuwa na tsunami ya ufisadi.It's very shame and bad and painful kwa ufisadi huu wa kutisha unao ibuliwa hata wazungu wanatushangaa we are least developed country but our citizen are very rich.
Niweke sawa msitari wa mwisho "our country is least developed but SOME of the citizen are VERY RICH"
 
Magufuli anaona raha watanzania kumwaga damu,

Zanzibar wanahujumiwa amekaa kimya, bado Demokrasia inabakwa anaona raha.... Huu udikteta utafika mwisho
 
It is in the nature of man to hang a small thief, and elect the great one into public office - Agrey
 
Ni ajabu Kabisa kuona viongozi kufukuza kazi Kila mtu wamepand ni njia bora zaidi ya kuweka mifumo ya kisheria itakayo Saidia kuzuhia ufisadi..Uchaguzi wa meya ni wa kisheria,Na meya Huyo ndo atasimamia mifumo mbali mbali katika kuzuhia wizi na ufisadi ili badala ya kufukuza watu ,tuzuhie watu kabla ufisadi kufanyika.Prevention is better than cure.Sasa nilitegemea serikali ya kutambua majibu haina cha kuogopa sababu Kama meya wa UKAWA wataibua majibu ,wao watatumbua make ndo kazi waliojipatia.
 
Tatizo chagadema wanalalamika mno kama watoto...wanasahau 'end justifies the means'

shauri yao endeleeni kuwapa moyo...
 
MAKUFULI alisema sheria inamzuia kuingilia zanzibar japo ni sehem ya himaya zake alizopita kuomba Kura. MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU.. Hakiyamungu walai. Haya sasa! tuone msemakweli mpenzi mungu kwenye hili la Umeya wa Dar. Sema ukweli wako ili upenzi wa mungu tuuone. Vinginevyo ni MAGUMAMSH TUPU mpenzi wa mungu hapa hayupo
 
Ni ajabu Kabisa kuona viongozi kufukuza kazi Kila mtu wamepand ni njia bora zaidi ya kuweka mifumo ya kisheria itakayo Saidia kuzuhia ufisadi..Uchaguzi wa meya ni wa kisheria,Na meya Huyo ndo atasimamia mifumo mbali mbali katika kuzuhia wizi na ufisadi ili badala ya kufukuza watu ,tuzuhie watu kabla ufisadi kufanyika.Prevention is better than cure.Sasa nilitegemea serikali ya kutambua majibu haina cha kuogopa sababu Kama meya wa UKAWA wataibua majibu ,wao watatumbua make ndo kazi waliojipatia.
Anajifanya haoni kama alivojifanya zanziber
 
Back
Top Bottom