CHADEMA yatoa tamko kali kuhusu uhuni wa kuzuia uchaguzi wa Meya DSM

Hawa watu (CCM) hawana haya wala soni,mahakamani wameweka zuio kwa sababu ipi?
 
Ni dhahiri kabisa kuwa CCM ikiongozwa na John Pombe Mtumbuamajipu haina nia ya dhati ya kumaliza ufisadi nchini.
 
Mh!. na huyu asije kuwa jipu. Movie inaendelea jambaz kagoma kufa anapigwa shaba anainuka tena anapigwa nari la shingo koromeo nje anainuka tena. Kweli watu wanamsifia paka ana roho ngumu ila hafikii mende tuendelee na movie tuone maajabu ya Karne kwa kuuwawa kwa sterling ndani ya movie.
 
mnafanya makosa makubwa sana kutegemea kwamba,Makufuli atajiingiza ili kuleta haki kati ya ccm na vyama vingine kila mara mara nawaambia sura kamili ya Makufuli mtaifahamu pale panapotakikana haki kati ya ccm na vyama vingine, kwa nini hamtaki kufahamu hilo? mnakuwa kama wana ccm
Tokea sherehe za ccm sura yake watanzania wameshaiyona mazingaombwe yanayofanyika nchi hii inawajengea Watanzania zisizokua na kifani
 
Kama meya wa jiji LA arusha na madiwani wake wameibua ufisadi wa bil 22.2 wa kodi ya pango tu je kwa dar nahisi kutakuwa na tsunami ya ufisadi.It's very shame and bad and painful kwa ufisadi huu wa kutisha unao ibuliwa hata wazungu wanatushangaa we are least developed country but our citizen are very rich.
Hapo hakuna Majipu kua Mabusha
 
Hakuna Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoketi na kuzuia uchaguzi wa Meya uliopangwa kufanyika leo 27/2/2016, Hakuna mahakama iliyowahi kuzuia uchaguzi wa tarehe tajwa hapo juu,

Jana ombi la ccm lilizuiwa, baada ya kuzuiwa, CCM kwakushirikiana na Kaimu Mkurugenzi wamekwenda ofisini ya mkurugenzi na kubeba nakala ya zuio la 05/2/2016 ambalo lilihusu uchaguzi wa 08/2/2016 ulioahirishwa wiki tatu zilizopita.

Huu ni uhalifu wa kidemorasia na ni uchochezi mkubwa wa kisiasa unaohatarisha amani ya jiji, Mh Rais ambae pia ni Waziri wa TAMISEMI hili ukilifumbia macho taswara ya nchi na utawala wako vitatetereka.
 
Hakuna Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoketi na kuzuia uchaguzi wa Meya uliopangwa kufanyika leo 27/2/2016, Hakuna mahakama iliyowahi kuzuia uchaguzi wa tarehe tajwa hapo juu,

Jana ombi la ccm lilizuiwa, baada ya kuzuiwa, CCM kwakushirikiana na Kaimu Mkurugenzi wamekwenda ofisini ya mkurugenzi na kubeba nakala ya zuio la 05/2/2016 ambalo lilihusu uchaguzi ulioahirishwa wiki tatu zilizopita.

Ccm inajivua nepi yenyewe
 
CCM ni genge la wahuni....
 
Magufuli alihamishia ofisi ya TAMISEMI ikulu ili aongoze nchi kwa matakwa yake ya ajabu ajabu!! Hilo ni jambo la kihuni lisilo kubalika!!
 
Hili la ccm kutumia hila zozote kwa kuogopa madhambi yaliyo fanywa na wakina flani kuibuliwa lipo dhahiri mno na kwasababu kama hizo kuachia madaraka kwa ccm nchi itawaliwe na upinzani itakuwa ni baada ya damu kumwagika na maisha kupotea na wengi wa wana ccm ni mashabiki tu wa udhalimu huu bila ya kujua wanacho tetea na kwanini wana tetea chama chao,Demokrasi katika Tanzania bado ni ndoto ya miaka mingi ijayo.
 
Back
Top Bottom