Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Mimi na ndugu zangu wote CCM, lakini kitendo cha kupiga bomu pale soweto , wote tulikubaliana tukaiadhibu CCM kwa kuipa kura CDM
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Udhauri ni nini?...
kutokujiandikisha kuoiga kura ni upumbavu,kujiandikisha alafu usipige kura ni upumvavu zaidi.viongozi wabovu huchaguliwa na watu wasiopiga kura.JK nyerere.
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri

Kuna factor moja ambayo inaweza kuwa sababu kubwa na ya msingi ya kwa nini turn out ya watu ilikuwa ndogo.
Tume ya taifa ya Uchaguzi ilichukua jukumu la kuhakikisha watu wanahabarishwa siku ya kwenda kupiga kura. Ukumbuke kuwa vyama vyama vya siasa vilizuiwa kufanya kampeni wala kufanya mikutano.
Katika hali ya kawaida, vyama hufanya kazi ya kufanya mikutano yao ya mwisho kufungu kampeni. Lakini kutokana na tukio la bomu na vurugu za polisi kupiga raia, tume ilikataza kampeni, badala yake waliahidi kuwatangazia wananchi kwa gari ya kipaza sauti.
Tume hawakutangaza mkutano kama ilivyoahidi.
Factor ya Pili inaweza kuwa vitisho vya polisi na green guard, kitendo cha kamata kamata ya vijana nayo inaweza kuwa tatizo japo siyo sana, kwa kuwa vijana wa Arusha siyo waoga.
Inasemekana ccm ilinunua kadi nyingi sana za wapiga kura, lengo likiwa ni kupunguza kura za vijana, huku wakijiaminisha kuwa akina mama wa arusha ni mtaji wao.
Mbaya kwa ccm, ni kwamba katika uchaguzi wa jana, kati ya watu waliopiga kura, wamama walikuwa 70%.
Akina mama ambao wamekuwa mtaji wa ccm kwa miaka yote ndiyo walioihukumu CCM.
Umenena vyema na wala mimi sina tatizo na hilo la wanaccm kuwaadhibu wakwao mimi tatizo langu ni hiyo people's power ambayo haina hata ujasiri wa kutoka ndani kukiwa kumetulia je kungekuwa kunarushwa mabomu kwa kwenda mbele ndio wangetoka? people's power gani ya watu waoga wa kirejareja namna hii? au people's power gani inayoweza kununuliwa? je ukiona hayo si dalili kwamba upepo wa nguvu ya mageuzi haujapamba moto? yani wasaa wa mabadiliko ni bado au kwa maneno mengine hali si mbaya kiasi cha kuiendea people's power? hiyo ni nguvu inayotumika pale mtu anapokuwa hana cha kupoteza sasa kama mtu kajificha ndani si anaona atapoteza kitu flani labla uhai wake, kiungo cha mwili au shughuli yake ya kipato. Jamani hatujafika huko bado na hali si mbaya kiasi hicho na upinzani ujipange upya na usiote kwenda ikulu katika mazingira haya kwa miaka kumi hadi kumi na tano ijayo.
Salaaleh! Mkuu wewe hapo hujaiona people's power? Kufuatana na urguement zako inashahidia kuwa wapiga kura WOTE wa Arusha ni CHADEMA. Je wangejitokeza wote ingekuwaje? Kwa nini wa CCM hawakutoka kukishindisha CHAMA?
Aliyelala usimwamshe kwa hiyo people's power hawaelewi nini kinaendelea ndani ya nchi yao mpaka wabebewe bango? ni aibu sanaIshu siyo peoples power.............. ishu ni mkutano haujatangazwa.
Kama kichwa chako siyo kopo utakuwa umenielewa. Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa watu wa Arusha siyo waoga.
Hongera wewe maana umekuwa wakwanza kufufuka baada ya jana kuzirai! Wenzio bado wako dunia nyingine. Ndo maana umeamka na ndoto ambayo hata mwenzio Magimbi kabla hazazirahi aliiota na tukamjibu hivi:
Mods: Moderator na Paw uzi huu hauna tofauti na huu Ninachojifunza uchaguzi wa Arusha kwa faida ya walioshindwa
Hiyo udhauri inapatikana wapi?
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri
Hapana uzi huu unahoji people's power inayonunulika na ile ya kiwogawoga
Mbona haukuuliza uchaguzi wa rais 2010 kwani 34% tu ndo waliopiga kura na kura zjlizomuweka JK madarakani zilitoka humo humo.