kaaazi kweli kweli....!
Hivi ni nani asiyejua umuhimu wa Zitto ndani ya CDM? nani asiyejua mamlaka aliyokuwa nayo zitto PAC? amebaguliwa na wewe siyo?
achaga u-mbulula, zitto kajenga sana chama na usitake leta porojo zisizo za maana hapa, kashasema yuko pamoja ktk kampeni za M4C na hata mikutano ya kupokea maoni ya wanachama kuhusu rasimu ya katiba mpya na alishindwa kuudhuria kutokana na vikao vya kamati za Bunge ambayo yeye ni mwenyekiti wa kamati hiyo ya PAC 1.
uletapo uzi humu angalieni leteni uzi za kujenga na kuelimisha taifa na si kubaguana na kupenyeza mitafaruku kwenye mshikamano.
Mbona wanaoa na kuolewa na makabila mengine. Mwongo kabisa.
wachaga ni wabaguzi wa asili, kubali au ukatae..
Source please!
Sasa kama mpendwa wako
ZITTO ameshindwa kuijenga CHADEMA mkoani kwake tu vipi angekabidhiwa
CHADEMA TAIFA? Alipotaka kugombea uenyekiti taifa ilikuwa ni mpango
wa kuisambaratisha CHADEMA bahati mbaya kwake na wapambe wake
wakashitukiwa mapema!! CHADEMA mkoani Kigoma inasambaratishwa na ZITTO
mwenyewe kwa sababu ya UJUAJI NA TAMAA ZAKE!! The guy has got self
interests na hakuna aliyemtenga bali amejitenga yeye mwenyewe!! Pamoja
na elimu yake lakini anasumbuliwa na USWAHILI!!!
Ni kipi alichofanya kuindeleza CHADEMA mkoani Kigoma na mikoa jirani?
Tueleze mafanikio yake kisiasa mkoani humo: Je tangu awe mbunge na
hizo sifa mnazompa amefanikiwa kuongeza madiwani na wabunge wangapi?
Kama wewe siyo MGANGA NJAA natumaini utakuja na majibu ya maswali
yangu!!
zitto zubeir kabwe kutogombea 2015
Kigoma ndo ngome kuu ya CHADEMA KAMA HAUJUI
Mdharau mwiba miguu huota tenda, sasa CHADEMA ubaguzi wao utawatafuna sana.
Lekatugite Ndio iliyoendelezwa Kigoma!
Mwezi Septemba mwaka
2006, Zitto Zuberi Kabwe alitangaza nia yake ya kutogombea Ubunge
mwaka 2010 na ilipofika Novemba 2009 mwaka moja kabla ya
Uchaguzi Mkuu akasisitiza tena hiyo nia yake kama ifuatavyo;
Aligombea na alipata Ubunge kupitia Chadema!
Septemba mwaka 2012, Zitto Zuberi Kabwe alitangaza nia yake ya
kutogombea Ubunge mwaka 2015 na badala yake atagombea Uraisi kupitia
Chadema;
Mmmh! ...Juzi juzi mwaka huu wa 2013, Zitto Zuberi Kabwe kaibuka
tena na kutangaza nia yake ya kutogombea Ubunge wala Uraisi mwaka
2015 na safari hii kasema hivi;
Safari hii mimi sitatia neno!
So simple zitto ni
mtanzania mwenye uchungu na watanzania. Anasimamia watanzania wala sio
wanachadema. Ni mtu asiye na chuki, kinyongo, sio mbaguzi wa dini,kabila
wala kanda. Anajiweka wazi ni kiongozi wa kuwatumikia wanyonge. Siasa
huwa kwake zinaishia kwenye uchaguzi after anawatumikia watanzania bila
kujali chama. Anapendwa na watu wa ccm,cuf, et al kwakuwa anaweka
maslahi ya taifa mbele. Sinahaja kuandika sana ila zitto ni kuwa
mzalendo.
Unauliza ushahidi gani
wewe? Humu ndani nyuzi kibao zimeletwa ushahidi umewekwa halafu unataka
kunisumbua. I don have such dirtytime. If you are in need of evidence
pass through different topics entitled Dr slaa you will have it. Tena
akiwa amekubali kuwa ndio kafanya.
Sasa kama mpendwa wako ZITTO ameshindwa kuijenga CHADEMA mkoani kwake tu vipi angekabidhiwa CHADEMA TAIFA? Alipotaka kugombea uenyekiti taifa ilikuwa ni mpango wa kuisambaratisha CHADEMA bahati mbaya kwake na wapambe wake wakashitukiwa mapema!! CHADEMA mkoani Kigoma inasambaratishwa na ZITTO mwenyewe kwa sababu ya UJUAJI NA TAMAA ZAKE!! The guy has got self interests na hakuna aliyemtenga bali amejitenga yeye mwenyewe!! Pamoja na elimu yake lakini anasumbuliwa na USWAHILI!!!
Ni kipi alichofanya kuindeleza CHADEMA mkoani Kigoma na mikoa jirani? Tueleze mafanikio yake kisiasa mkoani humo: Je tangu awe mbunge na hizo sifa mnazompa amefanikiwa kuongeza madiwani na wabunge wangapi? Kama wewe siyo MGANGA NJAA natumaini utakuja na majibu ya maswali yangu!!
umemaliza kila kitu mkuu.!
Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.!
Chama cha wachaga na watu wa Arusha Mjini na Moshi. Hawa wengine ni class Z partisans. Yaani ndani ya CDM ni full ubaguzi na ukabila. Yaani Kama wee si miongoni mwa Wachaga na Waarusha basi huna maana na umuhimu kwa CDM. Hawa ni wadini wakubwa na kwa hakika CDM wakiendelea na tabia zao za ubaguzi basi itakula Kwao na hawataweza kuongoza nchi hii hadi Masia aje!!
Wanamchukia Zitto kwa sababu kubwa mbili ya kwanza sio mchaga na ya pili ni muislam. Yaani haya yote kwa chadema ni mambo makubwa ya kuyaangalia. Ni wabaguzi sana tena waliokubuhu.
Hilo hasa ndilo linawasumbua ninyi mpaka mnaleta nyuzi kama hizi. Mara nyingi mnajaribu kufanya kwa mafumbo, lakini hapa umetokeza wazi bila aibu.Chama cha wachaga na watu wa Arusha Mjini na Moshi. Hawa wengine ni class Z partisans. Yaani ndani ya CDM ni full ubaguzi na ukabila. Yaani Kama wee si miongoni mwa Wachaga na Waarusha basi huna maana na umuhimu kwa CDM. Hawa ni wadini wakubwa na kwa hakika CDM wakiendelea na tabia zao za ubaguzi basi itakula Kwao na hawataweza kuongoza nchi hii hadi Masia aje!!
Wanamchukia Zitto kwa sababu kubwa mbili ya kwanza sio mchaga na ya pili ni muislam. Yaani haya yote kwa chadema ni mambo makubwa ya kuyaangalia. Ni wabaguzi sana tena waliokubuhu.