Wewe sema unachuki na zitto na wivu wa kijinga ndio uliokujaa. Najiuliza kama zitto ndie ambae amejimilikisha pesa ya ruzuku ml 140 za chadema, kama ndie angeomba kulipwa milioni 11 kwa mwezi kama katibu mkuu wa chadema, kama yeye angekutwa na anamiliki kadi ya ccm huku ni kiongozi wa chadema, angetoa vyeo vya viti maalumu kwaupendeleo tena kindugu na kirafiki, angetoa siri za ofisi mtandaoni kama alivyofanya
Dr.W.Slaa et al ambayo yote ni maovu confimed sijui angekuwa bado nwanachama wa cdm? Ni kwanini watu mnahoji ukaribu wake na watu wa ccm wakati Slaa anaukaribu mpaka na usalama wataifa na hili hamlihoji? Ni kwanini mnamshambulia mtuhumiwa zitto na mnamuacha mhalifu dr Slaa? Yote haya na mengine yanatupa ujasiri wa kuwa nyinyi mnalakwenu na si vingine. Zitto fate yake Mungu ndie aliyempangia na kuhangaika kwenu kwote kutaishia katika aibu kubwa. Oneday he will a big hero you are going to be a big looser! Pathetic looser.