Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Wana CHADEMA muwe waangalifu na nyuzi zinazoanzishwa kwa uchokozi.
Huu uzi umeanzishwa kwa uchokozi, na lengo ni kumchonganisha Zitto na wanachadema.
Suala kubwa ninalojiuliza ni kuwa kwa nini wana JF wanaompinga Dr. Slaa ndio hao hao wanamtetea Zitto kwa nguvu zote? Hivi Zitto ana tofauti gani na Slaa kiitikadi? Je wanampinga Slaa kwa itikadi gani na wanamuunga mkono Zitto kwa itikadi gani tofauti? Naomba Lilambo, Simiyu yetu, mkigoma, Lizaboni, Uncle Deo, thatha, CHAMVIGA, kati kati msaidie kunijibu maswali hayo.

Last edited by a moderator: