Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hivi mmewahi kukemea wanaojinadi makanisani kwa ajili ya kubembeleza kura za wakristo kama huy hapa Edward Lowassa?
Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa
Filikunjombe, Ligola wajitosa kambi ya Lowassa, wamnadi kanisani Iringa. | Dullonet Tanzania
Mzee wa Mshitu: Lowassa ashiriki harambee ya kanisa Akyeri Meru
Mbeya Yetu: LOWASSA ACHANGIA MILIONI 10 KANISA LA EAGT TUNDUMA MBEYA
Lowassa ajiweka mbali na kampeni Arumeru,ajikita kanisani..
Msamaa.
LOWASSA AMWAGIA FEDHA KANISANI ~ Mwanafasihi Mahiri
Lowassa kuongoza Harambee ya Kanisa Nyakato Mwanza | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
MH. LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA KUNUNUA BASI LA KWAYA LA KANISA LA KKKT,MSASANI JIJINI DAR ~ Father Kidevu
WAZIRI MKUU AWAMU YA NNE ACHANGISHA SH100 KANISANI DAR ES SALAAM. ~ JUMA MTANDA
habarimpya.com - Kanisa lazidi kumtumia Lowassa katika harambee
Lowassa aendesha harambee Kanisa la Moravian Mbezi Beach Dar | Blog ya habari Tanzania | Online Newspaper | Thehabari.com
Au ukiwa CCM uko juu ya sheria? Kwa nini wana CCM mna double standards?

Kuna kipindi niliwahi kutabiri yafuatayo
1. Si muda mrefu Zk ataachana na CDM
2. Na akiachana na chadema yafuatayo yanaweza kujitokeza ama kusemwa naye au na watu wengine wa karibu;
(a) kuna ubaguzi sana CDM
(b) CDM ni chama cha wachaga
(c) CDM ni chama cha kidini
(d) CDM cha kaskazini
(e) Wamemtenga kwa sababu ya DINI yake!
(f) Kuna watu wachache wamefanya CDM kama NGO yao
(G) CDM ni chama cha fujo( h) CDM haifai kabisa katika nchi
(I) BORA TAWALA kuliko CDM
3. Kakika nasema ipo siku anaweza kurudi TAWALA!
4. Na Akirudi TAWALA wanampa cheo!
5. Kuna ushawishi utafanyika kuwaondoa wananchama wengi wa CDM ama warudi TAWALA au waende hata SISIR mageuzia.
HAYA yatatokea natabiri tena