CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

ccm na cuf wanampenda sababu wanajua ni pandikizi lao ndani ya cdm,na kwa sababucdm kumejaa watu wenye weledi wa kutosha mradi wake umekwama,2015 ccm watampa chuo cha kufundisha and most likely ni UDOM.Mwambie aje atuambie kwa nini alinunuliwa na barick hadi kafungwa mdomo!!!!
mtu ana utajiri wa kutisha(hummer,vogue)

Wewe sema unachuki na zitto na wivu wa kijinga ndio uliokujaa. Najiuliza kama zitto ndie ambae amejimilikisha pesa ya ruzuku ml 140 za chadema, kama ndie angeomba kulipwa milioni 11 kwa mwezi kama katibu mkuu wa chadema, kama yeye angekutwa na anamiliki kadi ya ccm huku ni kiongozi wa chadema, angetoa vyeo vya viti maalumu kwaupendeleo tena kindugu na kirafiki, angetoa siri za ofisi mtandaoni kama alivyofanya Dr.W.Slaa et al ambayo yote ni maovu confimed sijui angekuwa bado nwanachama wa cdm? Ni kwanini watu mnahoji ukaribu wake na watu wa ccm wakati Slaa anaukaribu mpaka na usalama wataifa na hili hamlihoji? Ni kwanini mnamshambulia mtuhumiwa zitto na mnamuacha mhalifu dr Slaa? Yote haya na mengine yanatupa ujasiri wa kuwa nyinyi mnalakwenu na si vingine. Zitto fate yake Mungu ndie aliyempangia na kuhangaika kwenu kwote kutaishia katika aibu kubwa. Oneday he will a big hero you are going to be a big looser! Pathetic looser.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia sikia habari za ubaguzi lakini mimi sijaona mfano halisi wa ubaguzi kwenye uzi huu wala katika uhalisia wake ndani ya chama - hebu leteni mifano hai. Tusidanganyane, mimi sitoki Arusha wala Moshi, Chadema hakuna ubaguzi, hii ni propaganda iliyokwisha kushindwa tayari.

Mwache Zitto Kabwe awavuruge hao magamba, Hawajui watoto wa mjini.
 
Kama hali ndo hiyo,chadema maji shingoni,watambaguaje legend wkt wao wamefufuka juzi juzi tu,pamoja sana zitto kama vp waachie jahaz walizamishe wenyewe
 
Zitto mwenyewe mvuto umeshaisha. Angalia kura alizopata mwaka 2005 na zile alizopata 2010. Kisha angalia asilimia za kura za ushindi kwa vipindi hivyo; na pia tofauti ya kura zake na mtu wa pili.

Na kumbuka 2010 alitumia muda mwingi kufanya kampeni jimboni!!

Jamaa kashtuka mapema; kaamua kutundika daluga.
 
Una ushahidi kuwa Slaa anabagua na anasimamia wanachadema tu?

Je una ushahidi wa hiyo chuki na kinyongo? Je una ushahidi wa wazi dhidi ya ubaguzi wa dini kabila na kanda?

Je Slaa alipokuwa mbunge bungeni, alimbagua nani? Una mifano gani ya kukosa uzalendo kwa Dr. Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA?

Umeongelea siasa za chuki. Nadhani wanasiasa wanaoeneza chuki wanajulikana. Unasemaje juu ya aina ya siasa za Shonza, Mwampamba, Nape na Mwigulu? Nassari alipigwa na nani na kwa nini wakati wa uchaguzi Mdogo wa madiwani hivi karibuni? Hizo ndizo siasa za upendo? Kesi za kubambikiziwa ambazo zinazidi kushindwa mahakamani ndizo siasa za upendo?

Unauliza ushahidi gani wewe? Humu ndani nyuzi kibao zimeletwa ushahidi umewekwa halafu unataka kunisumbua. I don have such dirtytime. If you are in need of evidence pass through different topics entitled Dr slaa you will have it. Tena akiwa amekubali kuwa ndio kafanya.
 
Wapi zito uje umalize majungu haya? Hizo habari zinazoletwa na walaaniwa ccm ni za kweli?
 
Unauliza ushahidi gani wewe? Humu ndani nyuzi kibao zimeletwa ushahidi umewekwa halafu unataka kunisumbua. I don have such dirtytime. If you are in need of evidence pass through different topics entitled Dr slaa you will have it. Tena akiwa amekubali kuwa ndio kafanya.
Nyuzi zinazoanzishwa na Hamy-d, zemarcopolo, mwanadiwani, shelui sizisomi kwa kuwa zipo kwenye ignore list yangu kwa kuwa hazina ukweli ni propaganda tupu.

Leo naomba urudie ushahidi kuwa Slaa anatumikia wana Chadema tu? Mimi naona ajenda kama za kufichua ufisadi ni kwa maslahi ya watanzania wote wanaolipa kodi. Nisaidie nijue hilo.
 
Ametengwaje? yaani ametengwa kwenye nini, hashiriki nini, eleza basi au unaongelea hisia tuu,
Kwani si alikuwa bize na kamati yake ya kibunge?
 
CDM hawana chao Mikoa mingi na kanda ya magharibi hawawezi pata kitu na wao wanajua Hilo. Nguvu zao zote wanapeleka Arusha na Moshi maana hata Mwanza hawana chao na Wenje hawezi rudi tena. Kwa hiyo ndoto zao za urais hazina mantiki na tija. Tutayaoona mengi sana come 2015. :kev::tape:
 
CDM hawana chao Mikoa mingi na kanda ya magharibi hawawezi pata kitu na wao wanajua Hilo. Nguvu zao zote wanapeleka Arusha na Moshi maana hata Mwanza hawana chao na Wenje hawezi rudi tena. Kwa hiyo ndoto zao za urais hazina mantiki na tija. Tutayaoona mengi sana come 2015. :kev::tape:
Ndio maana mnashinda mitandaoni kupambana na CDM chama mnachokiita dhaifu? Mbona hamtaji NCCR?
 
mbona hajatengwa??????????????.amejiitenga mwenyewe siku nyingi na anahisiwa anafanya kazi za umagambani.kama wanakigoma hawaamini wafanye utafiti wenyewe.baada ya utafiti ndio watajua kinachoendelea.
 
kifo cha chadema kitaendelea kutokea sehemu zote nchini yote haya mtayashuhudia kwa mda mfupi sana.
 
UBAGUZI, UBAGUZI, hili neno nimelisikia muda mrefu, labda leo niulize! ETI NI NANI ANAMBAGUA NANI? Au NANI ANABAGULIWA?
 
So simple zitto ni mtanzania mwenye uchungu na watanzania. Anasimamia watanzania wala sio wanachadema. Ni mtu asiye na chuki, kinyongo, sio mbaguzi wa dini,kabila wala kanda. Anajiweka wazi ni kiongozi wa kuwatumikia wanyonge. Siasa huwa kwake zinaishia kwenye uchaguzi after anawatumikia watanzania bila kujali chama. Anapendwa na watu wa ccm,cuf, et al kwakuwa anaweka maslahi ya taifa mbele. Sinahaja kuandika sana ila zitto ni kuwa mzalendo.
Hujajibu swali langu narudia:

Hivi Zitto ana tofauti gani na Slaa kiitikadi? Je wanampinga Slaa kwa itikadi gani na wanamuunga mkono Zitto kwa itikadi gani tofauti?

Natumaini unaelewa maana ya itikadi.
 
Zitto ndo anajitenga chadema, na ndo ameshindwa kuijenga chadema vizuri kigoma, hivi kigoma bila zitto haiendi? Chadema jengeni chama kama taasisi sio mali ya mtu binafsi! Haiwezekani chadema imtegemee mtu mmoja tu, chama ni wanachama!
 
Ndio maana mnashinda mitandaoni kupambana na CDM chama mnachokiita dhaifu? Mbona hamtaji NCCR?

wewe kwa sasa uko wapi,chadema ndiyo wako mstari wa mbele kutangaza vita na vurugu katika jamii inataka watu wapigane na watengane kwa misingi ya ukanda kwa hiyo inabidi ikemewe sana mithiri ya shetani.
 
Utakuwa ni ushadi mzuri sana kuwa Zitto kule kigoma hakutaka jenga chama ila kamchi kake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom