PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Si wanasema kinuke sasa kifo cha mtu mmoja tu wanaripoti je kikinuka kweli hali itakuaje au ndo kina Lema na Lissu watakimbilia Canada na Belgium sisi tuendelee kuuuna
Tukifa kila upande heshima itakuwepo. Ila hii ya kufa wapinzani tu haiwezi kuleta heshima.
 
Tukifa kila upande heshima itakuwepo. Ila hii ya kufa wapinzani tu haiwezi kuleta heshima.
Kwasababu lengo ni kukinukisha akifa mtu chadema wasilete ripoti maana tayari hatua za unukishaji zimeanza
 
Halafu SATIVA akitukana matusi ya nguoni, kuna watu wanasema akosoe kwa heshima .
Matusi yanasaidia nini kwenye hii dunia.Wewe toka umeanza kusikia matusi au umetukanwa umechubuka wapi?,sana sana wakimdaka watamfinya alafu hasara inakua kwake kujiuguza.Kuna mambo hayataki mihemko kukabiliana nayo.
 
Nauliza tu hizi kashi kashi huwezi msikia Mnyika/Lema wamekamatwa
 
Hebu karudie kusoma ulikoninukuu we makalio >>Si nina ku-fi-la wewe na baba yako wote mnanigeuzia makalio ndio maana neno makalio ni jepesi sana kukutoka na kiukweli mna mi-kund mitam nyie wote wawili tena mutamu haswa
.
Acha kuongea SHOMBO
 
Malipo ya damu ya mtu iliyomwagika ni kumwagika kwa damu ya aliyeimwaga ama aliyesababisha imwagike.
 
Nimejua ni kwanini M23 hushangiliwa na nderemo kila mji wanaotia maguu huko Congo
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.

Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.

“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”

@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
R.I.P kamanda,
Chadema wamekuchochea na sasa umezimika mazima na soon wataanza unafiki na kutafuta kiki kwenye msiba wako dah.
Umeisikitisha na kufedhehesha sana familia, ndugu , jamaa na rafiki zako. Wanajiuliza ulikosa nini nyumbani kamanda hata kujitumbukiza kwenye umauti?

R.I.P once again kamanda 🐒.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.

Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.

“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”

@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
Samia ni dikteta tumkatae yeye na CCM yake.
 
Sasa najiuliza police wao waliwafata na kuwapga tu bila kosa??
Watakua walifanya ufukunyuku.
 
Alikuwa anasema huu mkono wangu wa kulia,si unaona damu onatoka?
Sitaki kusema kuna fracture,x- ray ndio itasema.
Yaani nasema,yule,hakuwa mtu wa kuambiwa ati amekufa.
Nadhani wote walioiona Ile video watakubaliana na mimi
 
Back
Top Bottom