PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.

Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.

“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”

@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
Kila ubaya utalipwa
 
Yule mwehu ndio mwalimu wa huyu kaburu mwanamke.

Na tutaendelea kushangilia vizuri hata huyu mwanafunzi wake atakapomfuata huko aliko.
Hahaha na sisi tunashangilia kazi anayofanya mama ni nzuri sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanganyika like where ?? So tukio limewapata wazanzibar huko. Au na kule ni Tanganyika kwa katiba ya Chadema mzee ???

Though yanayoendelea so mazuri Ila punguzeni kuongopa bas.
Ona jinga hili mabwepande iko Zanzibar?
 
Huyu mama ni shetani kubwa, ni aheri arudi kwao.
Shetani ni wewe, ba wenzio wote mnaojifanya Nchi hii mnahaki miliki...

Aende kwao wapi, hii ni Tanzania na yeye ni Rais wa Tanzania, wewe ukiona huko kwenu sio Tanzania toka wewe ukafie mbele huko!!

Ngedere yeyote atakaye leta choko choko za kuharibu Amani yetu, atashughulikiwa...
 
Back
Top Bottom