Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Ukileta vurugu.Na wewe unashughulikiwaMwanafunzi wa Magufuli huyu bibi.
Damage aliyoleta yule mwehu itachukua muda mrefu kuja kuisha.
Ukileta vurugu.Na wewe unashughulikiwaMwanafunzi wa Magufuli huyu bibi.
Damage aliyoleta yule mwehu itachukua muda mrefu kuja kuisha.
Sawa Chief,sisi CHADEMA tunalia kwa Mungu na atatujibuMungu hashughulikii dua za wapumbavu...
Inasemekana hiyo ndio sign ya kuwa dola ipo. Yaani dola inajitambulisha uwepo wake kwa kuua waliohudhiria mahakamani!Mwenzao hawamjui jina!?..kama kweli basi rip,na si jambo zuri kuuana
Safi kabisa.Tandika nyumbu haoShetani ni wewe, ba wenzio wote mnaojifanya Nchi hii mnahaki miliki...
Aende kwao wapi, hii ni Tanzania na yeye ni Rais wa Tanzania, wewe ukiona huko kwenu sio Tanzania toka wewe ukafie mbele huko!!
Ngedere yeyote atakaye leta choko choko za kuharibu Amani yetu, atashughulikiwa...
Sisi pia mnaotufanyia vurugu watanzania tunalia kwa MunguSawa Chief,sisi CHADEMA tunalia kwa Mungu na atatujibu
Na wewe jitokeze ukatamke haya maneno liveMaza amenogewa na damu za Watanganyika.
Mamlaka zilitoa tahadhari mapemaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.
Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.
“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”
@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
Maza hawez mpinga mkuu wake mr tabasamu na lile jopo la manyuzi, riz two na rosti azizikiAnao uwezo wa kuyazuia kama akitaka, kuyakalia kimya ni kuwa anayaunga mkono.
Mltaka kutufanyia vurugu.Mungu kawawahi .Safi sanaKama kuwatupa watu Mabwepande na kuwapiga na kuwaua basi Mungu ashughulike na nafsi yako
Honestly bila wapinzani kupata silaha na kuanza mauji dhidi ya familia za polisi, wataendelea kufanywa hasusa siku zote.Wale wanaofadhiligi silaha na mafunzo wako wapi ili tujitetee juu ya hiki kinachofanywa na polisi
Sawa Chief,sisi CHADEMA tunalia kwa Mungu na atatujibu
Kosa gani walikosea?Tii sheria bila shuruti
Asante kama Mungu katuwahiMltaka kutufanyia vurugu.Mungu kawawahi .Safi sana
Umeelewa kweli?Mwenzao hawamjui jina!?..kama kweli basi rip,na si jambo zuri kuuana
Ni kweli, maana viko tayari kusubiri hisani ya ccm kwenye uchaguzi. Cdm wamekataa ujinga huo. Kama ccm wanaamini watatawala nchi hii siku zote, basi wasubiri kuona wasichotegemea.VYAMA VYENYE MAONO VIMEKUBALI KUSHIRIKI UCHAGUZI. PILITICS IS CALCULATION NOT PROVOCATION.
Samahani mkuu naomba nirekebishe hapaHili libibi linausaka urahisi kwa namna yoyote, pamoja na kwamba uwezo hana!
Piga kabisa nyumbu haoSi wanasema kinuke sasa kifo cha mtu mmoja tu wanaripoti je kikinuka kweli hali itakuaje au ndo kina Lema na Lissu watakimbilia Canada na Belgium sisi tuendelee kuuuna