PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dawa pekee ya kuwalinda chadema ni kukimbilia kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.

Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.

“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”

@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES

Polisi Wanayo haki ya kufanya Siasa, lakini siyo kufanya Siasa chafu na za hatari za kuua Watu wasio na hatia kiholela. Hili halikubaliki kamwe.
Mambo haya yanasababisha ghadhabu kubwa Sana katika jamii, yanaleta chuki kubwa na kusababisha Watu kuwa na kiu kubwa ya kutaka Kulipa Visasi.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.

Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.

“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”

@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
Hii hadi lini??
 
Tulikuwa tunahangaika buree kuwajua watekaji na wasiojulikana kumbe ni hawa tunaowapa mishahara.
Ndio mana ripoti ya mzee kibao mpaka sasa haijakamilika.
Shameful
 
Screenshot_20250425-041449~2.png
 
Back
Top Bottom