Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

Hii maneno inaweza kuwa kweli jamaa anayeshughulika na masuala ya IT namfahamu sana nimejaribu kumtafuta tangu jana simpati,sasa naanza kuelewa Tanzania inakwenda wapi tuliwacheka Kenya tukadhani sisi tuna akili sana kumbe wapi ?????????.
 
hebu jaribu kutafuta watu wake wakaribu ilitujue kama ni kweli...
 
jamani tupeni full story ili tuelewe ishu ilivyokuwa, ya nini kuficha mambo wakati huu
 
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.

A case has been reported to Oysterbay police station.

Mwenye zaidi ajalizie

Nawakilisha

Daaaaah Ngoja nikafuatilie......manake huyu mkwere sasa anavuka mipaka
 
Hii maneno inaweza kuwa kweli jamaa anayeshughulika na masuala ya IT namfahamu sana nimejaribu kumtafuta tangu jana simpati,sasa naanza kuelewa Tanzania inakwenda wapi tuliwacheka Kenya tukadhani sisi tuna akili sana kumbe wapi ?????????.

Mkuu Ngongo,

Tanzania ilibadilika tangu JK aingie madarakani, huyu ni populist na hulka ya watu wa aina hii ni udikteta. Siku zote uhakikisha umaarufu wao haushuki, hivyo wako tayari kufanya lolote. Uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na uozo mwingi uliolenga kulinda umaarufu wa JK. Tatizo kwake sio ushindi tu, bali ni ushindi wa kiwango gani, maandalizi yote ilikuwa kuhakikisha sio tu kuwa anashinda bali kwa kura nyingi ili kulinda umaarufu wake.

JK hana tofauti na kina Hitler na Iddi Amin, hawa wote walingia madarakani kwa umaarufu, ulipoanza kuporomoka wakaulinda kwa gharama kubwa, wakageuka kuwa madikteta. Kwa hiyo sito shangaa hii taarifa kuwa ya kweli kwani kazi alokuwa akiifanya huyo kijana inahatarisha umaarufu wake, inamuumbua kwa kufichua uchakachuaji matokeo.
 
Mheshimiwa;

Umeongea jambo kubwa....hapa!!

Its full of sense!
 
He he he makubwa hayo!!

Mh nasikitika,

Ametekwa na hiyo database???

Au anaweza kuaccess hiyo database??
 
Kidogo kidogo sura halisi ya udictator wa jk na serikali yake unaanza kujidhihirisha. Tunaomba wadau mtupatie vielelezo zaidi na hata jina la mlengwa ili watu wavuvuzele peupe. Maana hakuna kitu mwizi asichopenda kama kujulikana kwa jamii inayomzunguka kuwa mwizi.

Sidhani kama serikali ya JK na JK mwenyewe wana hata tone la hiyo aibu. Hata kama vyombo vyote vya habari vitaamua kutangaza kwamba JK amefanya huo ufirauni, hakuna chochote kitakachobadilika. Mbona watu wote wanajua kwamba Rostamu Azizi ni fisadi mkubwa lakini JK kaamua kulifumbia macho?
 
Nafikiri unatakiwa kukua kiakili na kimwili, ili uweze kutoa mchango wa maana. Si kila jambo ni la kufanyia mzaha!

wewe uliyekuwa kiakili unajua yupo wapi? mimi nimetoa ushauri wa sehemu ya kumtafuta jamaa yetu aliyepotea au ulitaka nitoe speculation ndio ufurahie? haya yupo kwa mama yake Lukolo kafichwa.
 
Jamani suala hilo ni kweli dakika kama tano nimeongea na mnyika naye amenidhibitishia kuwa ni kweli ila hawawezi li associatte jambo hilo na matokeo ya uchaguzi bado wanafanya follow up

mzee gomezi

jamani mlioko huko dar au mnaoweza kupata ukweli ,tafuteni ilitujue ukweli ni nini,hiki kizazi sio cha kupelekwa pelekwa.Itafahamika tu.
 
Wana mageuzi,

Kusema kweli sitashanga kwani nimekuwa nasikia vitisho kutoka kwa viongozi wa juu wa CCM ambao nimepata privilege ya kufaamiana nao kwa karibu.

Maneno wanayoniambia ni kwamba utaona CCM haitanyamaza kimya na tena hao viongozi wenu tutawashughulikia. Wananieleza hivi huku wakinionya mimi niwe makini yasije yakanikuta yakunikuta.

Inaelekea serekali ya CCM inamipango ya dahati ya kumaliza upinzani kwa kuwapaka viongozi wake na kuugandamiza upinzani.
 
HII HABARI INA UHUSIANO NA KUVUNJWA KWA MKUTANO WA Dr SLAA NA WAANDISHI WA HABARI ULIOPANGWA KUWA LEO?
 
Wana mageuzi,

Kusema kweli sitashanga kwani nimekuwa nasikia vitisho kutoka kwa viongozi wa juu wa CCM ambao nimepata privilege ya kufaamiana nao kwa karibu.

Maneno wanayoniambia ni kwamba utaona CCM haitanyamaza kimya na tena hao viongozi wenu tutawashughulikia. Wananieleza hivi huku wakinionya mimi niwe makini yasije yakanikuta yakunikuta.

Inaelekea serekali ya CCM inamipango ya dahati ya kumaliza upinzani kwa kuwapaka viongozi wake na kuugandamiza upinzani.

mtu mzima hatishiwi nyau,ingekuwa hivo yesu mwenyewe asinge kubali kufa kwaajili yetu.hayo nimambo ya kawaida sana katika harakati za kimapindizi na tambua kwamba mapinduzi yoyote yana gharama zake,go back to the history: kuanzia Tanu, na hata kule zanzibar waliopigania mabadiliko wangeogopa sisitungeuwa wapi leo hii.kama mababu zetu wangeogopa kuwafukuza waoloni kwa kuogopa kufa au vitisho kama hivyo,mimi na wewe tunge kuwa wapi leo,kuna mifano kibao, angalia historia ya mabadilik ambayo marekani imeyapitia hadikufikia hapo kwa obama ,you it all.sasa wewe usitishwe na ccm .
 
Kuna haja ya kuwajulisha CNN, BBC, SKY na vyombo vingine vya habari juu ya kuanza kupotea kwa watu wa Upinzani.

Kama hii habari ni kweli basi tunakokwenda ni kubaya sana maana hii teka nyara ilikuwa style ya Idd Amin.

Wasijisahau tu kuwa siku hizi, habari zinakwenda kwa speed ya Mkonga na hawawezi kuficha.

Wamuachie tu haraka sana vinginevyo itabidi kufanya maandamano ya kushinikiza jamaa aachiwe na UWT.

Nategemea jamaa atarudi salama na Mzima wa afya. Tunaenda kubaya na watu wanaweza kuishia Hague.
 
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.

A case has been reported to Oysterbay police station.

Mwenye zaidi ajalizie

Nawakilisha

bado ujapata update mkuu, ebu tujuze
 
Back
Top Bottom