Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

Wadau,

Jamani kuna mtu yoyote amepata jina au taarifa zozote kuhusu huyo kijana, bado tunasubiria, tujuzeni tafadhali...!

images
 
hatuko mbali sana na DRC. ccm wanadai chadema wanahubiri kumwaga damu, Dr Slaa aliwajibu kwa kuhubiri amani katika kampeni yake nzima lakini akasema ccm na serikali ndio wanaohatarisha amani. vizruri kuanza kutafakari mbinu na kauli za kampeni
 
Wao wana hela sisi tuna mungu... Yote haya yatapita tuu...

Na ukweli utajulikana....
 
Hii ni nuksi lakini mie sishangai udikiteta ulianza siku nyingi this time itakuwa mara mbili -ni bora tuanike uozo wote dr slaa come out man talk to us we are ready
 
Back
Top Bottom