Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

mmepita baa zote mjini?
Burn, unapiga sana mkuu

eniwei, tumeanzia mochrwari na kwa waganga maana populist ana sifa mbili kubwa, murderer and a believer of dark forces... tukitoka huko tutaenda kusali na kushukuru kwani kama unaweza kutumia billioni kumpa mwanao akatukane mwanasiasa, basi waweza kutoa roho yoyote hapa duniani
 
seriously, wangefanya kumtafuta badala ya kuanza kuendeleza propaganda kwenye maisha ya watu, yule mwandishi wa mwananchi moshi aliozea mochwari wakati ndugu zake na gazeti lake wanashabikia propaganda. Kwa akili za kawaida kama kuna mtu wa kumu eliminate CHADEMA hawezi kuwa huyo labda iwe ni mbinu zenu chafu.
 
Wakuu ni kweli huyo kijana amepotea katika mazingira ya ajabu ajabu tu na mimi nimeipata toka police osterbay. yeye alikua anajumlisha matokeo ili Chadema wawe na uhakika hasa idadi ya kura zilizoporwa alipotoka nje wakamdaka wakaondoka nae.

CCM mda wao wa kuondoka umefika na kamwe hawawezi kuzuia hilo. kwa sasa naelekea hapo police ili nipate hali nzima halafu ntawambia.

Umenikumbusha ile statement, "na wala huyo Mgaya hamtamwona", Naona hasira zinahamia kwa huyu jamaa.
 
Kwa kuanzia mngeweka picha yake na descriptions zake ili isaidie iwapo mmoja wetu atumuona,jina lake nani, anapendelea kutembelea maeneo gani, mara ya mwisho alionekana mitaa gani na alikuwa amevaa nguo gani

N.B
Hii taarifa haipo kwenye website ya CHADEMA, nilidhani kwa kuwa alikuwa mtu wa IT hapa palikuwa ni uwanja wake wa mazoezi
 
seriously, wangefanya kumtafuta badala ya kuanza kuendeleza propaganda kwenye maisha ya watu, yule mwandishi wa mwananchi moshi aliozea mochwari wakati ndugu zake na gazeti lake wanashabikia propaganda. Kwa akili za kawaida kama kuna mtu wa kumu eliminate CHADEMA hawezi kuwa huyo labda iwe ni mbinu zenu chafu.
mh... that hurts... mbinu zetu tena?? Ok hata ya balali nayo ni mbinu zetu i guess
 
mh... that hurts... mbinu zetu tena?? Ok hata ya balali nayo ni mbinu zetu i guess

bana achana na Balali, tupeni jina na picha ya ndugu yetu tukimuona tutoe taarifa kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nasi
 
bana achana na Balali, tupeni jina na picha ya ndugu yetu tukimuona tutoe taarifa kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nasi
Hivi burn upo upande upi?
Kama haupo serious na hii isue. Mara mmetafuta baa zote, mara mbinu zenu chafu. Mbon husomeki mkuu!
 
Hivi burn upo upande upi?
Kama haupo serious na hii isue. Mara mmetafuta baa zote, mara mbinu zenu chafu. Mbon husomeki mkuu!

kwenye suala linalohusu maisha ya mtanzania mwenzangu nipo upande wake, usinichukulie vibaya mkulu.
 
wewe uliyekuwa kiakili unajua yupo wapi? mimi nimetoa ushauri wa sehemu ya kumtafuta jamaa yetu aliyepotea au ulitaka nitoe speculation ndio ufurahie? haya yupo kwa mama yake Lukolo kafichwa.

:A S angry:
 
Sauti itolewe haraka na vyombo husika kama walivyokuwa tayari kujibu hoja za uchakachuaji, kwani issue hii ni pigo kwa demokrasia.
 
Who the hell is BURN? Nimeona ni mvurugaji kwenye mada nyingi, naomba tumpuuze tuzingatie mada zinazoletwa jamvini. Inaelekea ametumwa na hao wa jembe na nyundo.
 
Who the hell is BURN? Nimeona ni mvurugaji kwenye mada nyingi, naomba tumpuuze tuzingatie mada zinazoletwa jamvini. Inaelekea ametumwa na hao wa jembe na nyundo.

Huyu kijana ni mtoto wa mafisadi anayevaa heleni japokuwa ni mwanaume; ametumwa na baba zake kuja kuwatetea hapa janvini!!
 
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.

A case has been reported to Oysterbay police station.

Mwenye zaidi ajalizie

Nawakilisha

Hii ni hatari sana, vitendo hivyo vilifanyika wakati wa ujima. Kwa vile Tanzania ya leo tumeisha hama kwenye enzi za ujima nashauri washauri wa serikali na viongozi wa serikali wachukue tahadhali.
Serikali iliyoendeshwa kwa mabavu enzi hizo iliweza tu kwa vile wananchi wengi walikuwa gizani.
sasa hawapo tena gizani, mtu yeyote makini akiangalia na kusikiliza maelezo ya Lewis Makame na tume yake analojibu kwamba lipo tatizo kubwa ktk tume hiyo ambayo haiko kwa manufaa ya taifa bali kwa kulinda masilahi ya watu kadhaa. Makame anasitahili kustafishwa kwa manufaa ya nchi kwani ni vitendo vya tume yake vinavyoelekea kutuletea maafa. Tunajua si rahisi kwa Makame kuwa mkweli na muwazi kwani naye kula yake ipo hapo,lakini pamoja na kula kwake kusitusababishie balaa.

Endapo kuna mtu amechukuliwa na kufichwa na vyombo vya dola kwa vile ana siri nyeti za chama fulani yote yanasababishwa na demokrasia finyu ambayo inasababishwa na tume hiyo ambayo imefumba sauti ya watu kwa kuamua kufanya wanayoyaona. Watanzania walinyamanza na kulifumbia macho hilo la Makame sasa wasiwasi wangu ni pale vyombo vya dola vitakapo anza kuingilia wananchi kama vile ni wahaini, Ningeshauri vyombo husika kwa namna yoyote kama vina husika na kupotea kwa mtu huyo, vijue kuwa Tanzania ya sasa siyo ile ya ujima watu wanauelewa mkubwa
mabavu na vitisho visiwe sehemu ya utendaji wao kwa jamii ambayo hivi sasa imeelevuka.
Nina imani kiutendaji usalama wa taifa kwa hali na uvumba watajitahidi kujua siri zao zinavuja na kumfikia Dr.Slaa namna gani, na ikibidi watataka kujua miongoni mwao nani wanavujisha siri hizo hivyo
targets wakwanza watakuwa watu wanao kisiwa kuwa karibu na Slaa na hasa watu wa Information Technology.Lakini mimi ningeshauri endapo hilo lopo wawe makini kwani wasi waongezee wananchi vidonda ambavyo wamepewa tayari na hali ya kutoheshimu demokrasia nchini.

Nchi nyingi ambazo vurugu na maafa yametokea zimesababishwa na vyombo na serikali kuendesha nchi kimabavu hali wakisahau kuwa hata hiyo jeuri wanayotumia ni nguvu ya wananchi. Mwisho washauri na viongozi wa serikali tunawaomba kuwa makini kwani upepo umeisha badilika wajaribu kwenda na wakati.
 
Who the hell is BURN? Nimeona ni mvurugaji kwenye mada nyingi, naomba tumpuuze tuzingatie mada zinazoletwa jamvini. Inaelekea ametumwa na hao wa jembe na nyundo.
Naona wamempiga Burn Ban kwasababu kesha ji burn mwenyewe....Hata hivyo mods wa wakati huu wana huruma kidogo coz wamempa uhuru mkubwa sana wa matusi,enzi zetu tunaanza kujiunga hapa ilikuwa discipline kwa mbele,saa nyingine inabidi ujiulize mara mbili before posting....Inaonyesha tunarudi huko sasa...Heko mods licha ya kwamba mmemwacha akamwaga sumu mno.
 
hivi burn upo upande upi?
Kama haupo serious na hii isue. Mara mmetafuta baa zote, mara mbinu zenu chafu. Mbon husomeki mkuu!
atasomekaje wakati yeye sio kitabu, kwa taarifa yako burn ndiye ridhione ndo maana ye anachekerea wa tz tunapokula nyasi
 
Huyu JK si kasitiza watu waanze kutibu majeraha yaliyosababishwa na Uchaguzi. Sasa mtu anapofuatilia kupata idadi halisi ya kura walizopata CHADEMA kafanya kosa gani. Hiyo Database si wameitoa mpaka kwenye magazeti? Hofu yao nini?
CCM are Butchers!
One day they gonna pay!
Naamini Tanzania Daima wataitoa hiyo News kesho. Fromthere tutajua nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom