CHADEMA yang'ara Morogoro

Kiri kutumia maneno ya msaliti wa CUF.

"NDEMBE NDEMBE, KIFO CHA MENDE, CHALIIIIIIIII. HAKIIIIII"
 
Hahahaaa pamoja na kusajili ng'ombe wenye mikia mifupi bado wamepigwa? daah ...mayooooo
 
CCM ni matuc tu hawana jipya watu wamechoka mtaani...Hapa kazi tu ni matusi
 
ccm inaishi kwa kutegemea vitisho vya mapolisi kwa wapinzani.
 
Mhh type source ya habari..msije mkawa ndio mmeanza UKUTA wenu. Uchaguzi katikati ya wiki??
 
Yanga anapanga safu ya ushindi ya Simba.
 
Yanga anapanga safu ya ushindi ya Simba.
Mm ni CHADEMA ASILI
Tulipigwa mabomu Arusha kutetea chama hiki,chama kilichokuwa kinapinga mafisadi kwa nguvu zake zote
LKN sasa hatuna tena nguvu ya kukemea ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…