CHADEMA yang'ara Morogoro

kwani aina hii ya matokeo ina tofauti yoyote na kilichotokea October 2015?

CCM haikushinda uchaguzi mkuu uliopita. FACT.
 
nashukuru kwa habari hii,maana imeusuuza moyo na kuituliza roho yangu!
Asante kamanda!
 
Yaani tatizo la Magu anadhani wananchi wataipigia CCM kura kutokana na kauli zake za kibabe na za kutozingatia sheria za nchi, kama ile aliyoitoa jana kwenye mkutano Mkuu wa CCM, aliposema kuwa kama angelikuwa yeye ndiye Mwenyekiti kipindi kile cha uchaguzi mwaka jana wakati wajumbe wa NEC walipokuwa wakiimba tuna imani na Lowassa, yeye 'angewapoteza' zaidi ya nusu ya wale wajumbe!

Kwa namna JPM anavyoendeleza vitisho na ubabe kwenye utawala wake ndivyo wananchi wanavyozidi kuwa na chuki na utawala wake kuelekea kwenye chaguzi zijazo kwa kuwa nchi haipaswi kuendeshwa kwa 'mikwara' bali inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya nchi.
 
Wataalamu wa hallucination
Naona mnaendelea na kupuliza puli kama kawaida yenu iwape stimu za kujitekenya...

Anyway.. One thing inachowasaidia ni kuwajaza matumaini hata yasiyowezekana..
 
Jana nilisema ccm ata wafanyaje kampeni pekee yao kama jana tv zote awawezi shinda ukweli umeanza kuonekana DOMA wananchi wameamua wameonyesha ukweli
 
ninacho shukuru ni kiasi gani hao wananchi wameweza kuionyesha heshima chadema kwamba bado wanawaamini pamoja na changamoto nyingi wanazo pitia.
 

nadhani huu ni ujumbe kuwa anachokifanya magufuli hakiisaidii ccm kwa lolote hasa ukizingatia kwa mujibu wa lubuva morogoro ni ngome ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…