CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Wakuu wote mnaoshiriki mjadala huu inabidi mumsikilize Mtanzania na Richard wapo UK miaka mingi.

Mimi nimekuwa nikipiga kura nchini UK kabla ya kuhamia nchi ingine ya EU.Lakini sijawahi kuchukuaa pasi ya nchi yoyote ile ya EU.

Raia yoyote wa kigeni anaeishi UK, wa kutoka jumuia ya Madola anaruhusiwa kupiga kura katika eneo analoishi kuchagua wabunge au madiwani na jina huorodheshwa kwenye daftari la wapiga kura au laitwa electoral Regiter.

Kuna aina mbili za daftari hili yaani daftari la kudumu na lile ambalo huwa linakuwa linafanyiwa mabadiliko ya kila mara yaani edited regiter.

Kwahio kwa mfano unaishi eneo la Newham na unahamia eneo la Enfield, basi pale Enfield inabidi wakusajili upya na watawaambia watu wa Newham kwamba Richard sasa anaishi Enfield na sio Newham.

Daftari la wapigakura ni document muhimu sana nchi za Ulaya kwa sababu linaonyesha nani anaishi wapi na kwamba ni rahisi kumpata.

Pia taasisi za fedha kama benki na makampuni mbalimbali ya biashara huwa hununua hio edited register ili kufanya masuala ya marketing.

Ila kwa miaka mingi ambayo mimi nimeishi pale UK ni kwamba niligundua kwamba kuna watanzania kadhaa ambao wanatumia pasi ya kusafiria ya UK, huku wakiwa wanahodhi pasi ya Tanzania.

Pasi ya kusafiria ya UK ni rahisi kuipata ukitimiza masharti mbalimbali ya ukaazi nchini humo na nafikiri bwana mdogo Mgimwa yeye alipata pasi hiyo baada ya kutimiza masharti hayo.

Lakini kwa kuwa anataka kurudi nyumbani Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM na njia ya Kalenga, basi huo ni uamuzi wa pupa na mbovu kabisa kuwahi kutokea.

Hiyo tu kutokuweza kuishi jimboni Kalenga achilia mbali nchini Tanzania kama inavodaiwa basi ni ujinga huo.

Asante kwa ufafanuzi mkuu...

Swali moja la nyongeza. Huko kuishi kuko defined? Ninachomaanisha ni kuwa kama upo Uingereza kwa student visa, tourist visa, visiting visa nk... je unaweza kuqualify katika kupiga kura au ni lazima uwe na residence? Na je hapo kwenye residence, ni lazima iwe permanent?

Asante..
 
Wakuu wote mnaoshiriki mjadala huu inabidi mumsikilize Mtanzania na Richard wapo UK miaka mingi.

Mimi nimekuwa nikipiga kura nchini UK kabla ya kuhamia nchi ingine ya EU.Lakini sijawahi kuchukuaa pasi ya nchi yoyote ile ya EU.

Raia yoyote wa kigeni anaeishi UK, wa kutoka jumuia ya Madola anaruhusiwa kupiga kura katika eneo analoishi kuchagua wabunge au madiwani na jina huorodheshwa kwenye daftari la wapiga kura au laitwa electoral Regiter.

Kuna aina mbili za daftari hili yaani daftari la kudumu na lile ambalo huwa linakuwa linafanyiwa mabadiliko ya kila mara yaani edited regiter.

Kwahio kwa mfano unaishi eneo la Newham na unahamia eneo la Enfield, basi pale Enfield inabidi wakusajili upya na watawaambia watu wa Newham kwamba Richard sasa anaishi Enfield na sio Newham.

Daftari la wapigakura ni document muhimu sana nchi za Ulaya kwa sababu linaonyesha nani anaishi wapi na kwamba ni rahisi kumpata.

Pia taasisi za fedha kama benki na makampuni mbalimbali ya biashara huwa hununua hio edited register ili kufanya masuala ya marketing.

Ila kwa miaka mingi ambayo mimi nimeishi pale UK ni kwamba niligundua kwamba kuna watanzania kadhaa ambao wanatumia pasi ya kusafiria ya UK, huku wakiwa wanahodhi pasi ya Tanzania.

Pasi ya kusafiria ya UK ni rahisi kuipata ukitimiza masharti mbalimbali ya ukaazi nchini humo na nafikiri bwana mdogo Mgimwa yeye alipata pasi hiyo baada ya kutimiza masharti hayo.

Lakini kwa kuwa anataka kurudi nyumbani Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM na njia ya Kalenga, basi huo ni uamuzi wa pupa na mbovu kabisa kuwahi kutokea.

Hiyo tu kutokuweza kuishi jimboni Kalenga achilia mbali nchini Tanzania kama inavodaiwa basi ni ujinga huo.

NImeishi Uk,,,, kuwa muwazi zaidi sio kila mtu... ni lazma awe na priviledges za kupata public funds etc na awe na permanent resident au raia kamili

Je, what does PERMANENT RESIDENT mean?
 
Wewe kaa kimya una hata moja unalolijua Blair kawafuata watoto wake na mke ambao walikuwa wacatholic wakati kaishamaliza uwaziri mkuu 2007 kauzu wewe.

Kama viza anatoa Dr.Slaa sawa.

Inafurahisha kuwa mapema kabisa mmeshawekwa katika defensive position. Ina maana siku ya ufunguzi mtakuwa na kazi kubwa ya kupangua hoja, kabla hamjaanza kujenga hoja.
Iwe kweli jamaa ana uraia au hana (najua kwa vyovyote tume haiwezi kumuengua), lakini itawagharimu sana kutegua kombora hilo...

Unakumbuka Matilda Buriani alivyowekwa kwenye defensive position na Lema 2010?
 
Taarifa Nilizozipata Kutoka kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga na Kwa Baadhi ya Makada wa CHADEMA ni kwamba CHADEMA kimeweka Pingamizi kwa Mgombea wa CCM.

Ni pingamizi gani naendelea kufuatilia nikipata nitawajuza.

Mfa maji haachi kutapa tapa, waacheni tu watape tape
 
Kalenga hawatachagua ccm labda ccm waibe kura ndiyo watashinda la sivyo cdm imeshapeta tayari.
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Siku hizi kuuthibitisha uraia wa mtu ni mama yake tu akubali. Si uhamiaji wa maccm uweze kumdhuru ccm. Bashe alikubaliwa baada ya uchaguzi. Mpaka leo Bashe ni msom-tanza. Kabila jipya sana Tanzania.
Ukitaka maisha saafi Tanzania, jiunge na ccm.
Kitambulisho ni shati la kijani tu.

maisha safi? Hembu tuambie ulicho nacho hadi sasa ivi tofauti na wengine kama c umburukenge
 
Hii imekula kwao, wana Kalenga msikubali luongozwa na Mwingereza
 
sasa kama anaishi uingereza,matatizo ya wana kalenga kayajulia wap? nadhan huyu ni sioi wa 2..hafai kuwa mbunge wa kalenga wakat yy anaish uingereza.

Wamemkagua vizuri masikio yote mawili HAYAJAPEKECHWA..!??
 
Inafurahisha kuwa mapema kabisa mmeshawekwa katika defensive position. Ina maana siku ya ufunguzi mtakuwa na kazi kubwa ya kupangua hoja, kabla hamjaanza kujenga hoja.
Iwe kweli jamaa ana uraia au hana (najua kwa vyovyote tume haiwezi kumuengua), lakini itawagharimu sana kutegua kombora hilo...

Unakumbuka Matilda Buriani alivyowekwa kwenye defensive position na Lema 2010?

Hadi sasa ball possession ni 96 kwa 4 na tunachezea kwenye penalty box ya mizigo, hadi wanapata kichefuchefu..
 
Mmhh mimi ni mwanachadema lkn kwa hilo namba moja nakukatalia sio kweli!watt wote wa mgimwa wamezaliwa hapa Tz.mimi nimekua nao walikuwa majirani zetu na pia family friend hukooo mkoani nyanda za juu kusini!kama kweli hilo mmelipeleka mahakamani basi mtashindwaaa

CHADEMA hakuna wapumbavu kama nyie, kama unaona unachokisema ni ukweli peleka ushahidi sasa
 
Majunguz.com Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Unaongelea CCM ipi? Hii hii iliyomteua Timothy Bandora kuwa balozi Nigeria only kuutengua uteuzi wake baada ya kugundua kuwa ni Raia wa Rwanda? Maudeline Castico aliyekuwa MNEC kumbe raia wa Zambia?
 
Acheni ujinga wenu unafikiri hadi chama kinaongoza serikali toka uhuru hakina akili kama chadema!?ninachojua ccm ipo makini sana sio kama mnavyofikiria,acheni majungu yenu suluhu ni sanduku la kura tu.acheni kutapatapa tuta watia akiri mwaka huu.

Mwenye picha ya passport ya uraia wake wenye mashaka atuwekee....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mwenye picha ya passport ya uraia wake wenye mashaka atuwekee....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

May be the British high commission in Tanzania will help to resolve this saga
 
Back
Top Bottom