Asante kwa ufafanuzi mkuu...
Swali moja la nyongeza. Huko kuishi kuko defined? Ninachomaanisha ni kuwa kama upo Uingereza kwa student visa, tourist visa, visiting visa nk... je unaweza kuqualify katika kupiga kura au ni lazima uwe na residence? Na je hapo kwenye residence, ni lazima iwe permanent?
Asante..
NImeishi Uk,,,, kuwa muwazi zaidi sio kila mtu... ni lazma awe na priviledges za kupata public funds etc na awe na permanent resident au raia kamili
Je, what does PERMANENT RESIDENT mean?
Mwenye details zaidi amwage hapa kuliko hizo hadithi ndogondogo weka details kama huyo Mgimwa Jr
1. Alizaliwa wapi
2. Elimu yake, amesoma kitu gani hadi level gani
3. Amefanya kazi wapi
4. Hadi anachukua fomu ya kugombea ubunge alikuwa anaishi wapi na alikuwa akifanya nini
Naomba mwenye majibu haya tafadhari
Sidhani kama linaweza kufanya kazi.All animals have equal rights but some animals have more rights than others!
NImeishi Uk,,,, kuwa muwazi zaidi sio kila mtu... ni lazma awe na priviledges za kupata public funds etc na awe na permanent resident au raia kamili
Je, what does PERMANENT RESIDENT mean?
Mkuu, taratibu mkuu wewe humfahamu Mtanzania yupo UK miaka nenda rudi.
Nami pia nipo UK miaka mingi tu na anachokiongea anafahamu.
Wewe muulize tu akufafanulie kwa kina ila tumia busara.
Thank you.... This is helpfulIf you have unlimited leave to remain in the UK and you are free from immigration control than you are known as permanent resident of the United Kingdom.
For foreign nationals to become UK permanent resident they need to apply for permission to settle in the UK also known as indefinite leave to remain (ILR). A person who has indefinite leave to remain, visa status will be known as settled person.
Settled status is the most usual route to naturalisation or to become a British citizen. Settled status or Indefinite Leave to Remain (ILR) is also important where a child of non-British citizen parents is born in the UK, as unless at least one parent has settled status the child will not automatically be a British citizen.
Benefits of been a permanent resident
Indefinite Leave to Remain (ILR) gives the freedom to live and work in the UK without any restriction. Unlike people with Limited Leave to Remain (LTR) in United Kingdom, Indefinite Leave to Remain (ILR) holders do have access to public funds. The wordings "No recourse to public funds" is not written in ILR holders' visas. As a result, they are able to claim job seekers allowances and other benefits which are usually available to UK citizens.
ILR holders also pay Home Student (i.e. UK citizens) rates on educational institutions in UK. That is, they are not charged as international students like LTR visa holders - if they want to study courses in any UK institutions however, to be considered for home student fee; the individual most have lived in the UK above three years as a settled person or free from immigration control.
Aina ingine yoyote ya ukaazi yenye masharti basi huwezi kupata hayo ya hapo juu.
kwahiyo foreigners wanapiga kura kilaini tu uk bila hata vitambulisho vya aina fulani sio?Timing,
Sio kweli labda uliishi bila kujua sheria za nchi hii.
Public fund na right ya kupiga kura ni vitu viwili tofauti kabisa.
Public fund inatakiwa uwe na permanent residence au hati ya kuwa mkimbizi. Kupiga kura Kwa jumuia za madola requirement ni moja tu uwe ndani ya eneo husika na uwe umejiandikisha
Hiyo siyo njia sahihi hata kidogo, mnamdhalilisha na kumsononesha. It definitely childish.Tunapigania haki yake kwa njia hii, manake huku ndiko tunakokutana na mwizi wake. Tunaomba atusamehe kama tumemkwaza, lakini aturuhusu kuipigania haki yake bila kuchoka. Kris lukosi aone aibu.
kwahiyo foreigners wanapiga kura kilaini tu uk bila hata vitambulisho vya aina fulani sio?
Nimeisoma hiyo habari toka gazeti la Mwananchi, sababu ya kuwekewa pingamizi ni pamoja na mashaka juu ya Uraia wake, Kuto kutimiza mashariti katika ujazaji wa fomu, nasikia mgombea huyo amewachukua baadhi ya wadhamini kutoka nje ya jimbo husika, pia baadhi ya maelezo hayakuandikwa vizuri katika ujazaji wa fomu.
Mimi hapo naona kosa si la mgombea peke yake pia uongozi wa jimbo CCM kutakuwa na uzembe mkubwa, kwa nini hawakupata muda wa kuipitia fomu hiyo kabla haijarudishwa ? Ngoja tusubiri