CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

ah ah ah mkuu ivi uwa mko serious na rambi rambi au uwa mna ka utani flan na member mwenzetu jf? kila mara mara huu msemo uwa hamuuachi na sasa ushafanana na ukweli!

ninawasiliana na INTERPOL kuhusiana na sakata hilo , lazima mjane apate haki yake .
 
ah ah ah mkuu ivi uwa mko serious na rambi rambi au uwa mna ka utani flan na member mwenzetu jf? kila mara mara huu msemo uwa hamuuachi na sasa ushafanana na ukweli!

Mkuu wangu hakuna Laana mbaya kama kutafuna hela ya Marehemu.

Huyu Jamaa alikwapua rambirambi alizopewa ampelekee mjane wa Mwangosi.
 
Alisha ukana uraia wa Tanzania? Kama haja ukana basi ni Raia wa Tanzania,huyo manzi wa chadema ameanza kutapa tapa sasa!

"Wana CCM acheni Unyonge"-Kikwete
 
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.

Tena hana hata kadi ya kupigia kura
 
Vyovyote itavyo kuwa Salaam hapa Kalenga itakuwa hivi"GODFREIIII......SHOGA LONDONIIIII"KAMA SIOIIIIIIIII.

Hahaaaaa huyu jamaa anategemea jina la Marehemu Baba yake limbebe kisiasa,jahui kuongea jukwaani subiri uone huyu si SIOI Na.2
 
Tena mnooo
Hata kama maCCM yakifanya yao still akagombea nadhani ataishia kuaibika tu Jukwaani maana ni matusi na dharau ya juu kuwaletea mtu asiyejua mazingira yao

Hata hii tabia ya kutaka kuifanya Kalenga ni ufalme wa ukoo wa Mgimwa katu haitakubalika.Kwa maana wanataka kuleta ujinga wa Arumeru ambao kamwe wana Kalenga wameapa hawatakubali.
 
ah ah ah mkuu ivi uwa mko serious na rambi rambi au uwa mna ka utani flan na member mwenzetu jf? kila mara mara huu msemo uwa hamuuachi na sasa ushafanana na ukweli!

mimi pia uwa najiuliza ni kweli au la! Maana jamaa akinusa tu hapa,anaambiwe apeleke rambirambi. Kama ni kweli namshauri abadili ID.
 
Hahaaaaa huyu jamaa anategemea jina la Marehemu Baba yake limbebe kisiasa,jahui kuongea jukwaani subiri uone huyu si SIOI Na.2

Kichekesho kingine hathubutu hata kutizama mtu usoni anapoongea.Akihojiwa na waandishi muda wote anaangalia chini kwa Aibu.

Wana Kalenga hawataki mtu wa aina hii.
 
Hata mimi nikikusoma popote nakumbuka siku wewe na Mbunge wako mnapigwa 0713.........Pale A Town!!

Jukwaa la siasa siku hizi limekuwa sehem ya wahuni kuleta matusi yao, hamna tena mabishano ya hoja. Hata facebook imekuwa bora kuliko hili jukwaa.
 
Ndomana hata makagame ni mengi tena yana wadhifa mkubwa hii nchi shidaaaa.
 
Kumbe ndiyo maana wamependekeza Dual Citizenship kwenye KATIBA hii mpya, kumbe wanajua vijana wao wengi wanauraia zaidi ya mmoja. Itabidi waipitishe KATIBA harakaharaka ili waokoe huu msala.....
 
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.
Acheni ujinga wenu unafikiri hadi chama kinaongoza serikali toka uhuru hakina akili kama chadema!?ninachojua ccm ipo makini sana sio kama mnavyofikiria,acheni majungu yenu suluhu ni sanduku la kura tu.acheni kutapatapa tuta watia akiri mwaka huu.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Wewe huna hadhi ya kuchangia hapa hadi urudishe kwanza rambirambi, mnafanya ufisadi hadi kwa wajane...!!!
 
Back
Top Bottom