CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

Unafiki mwingine wa wanachadema kwenye escrow zito mlimuona shujaa leo adui shame n u waganga njaa wa ufpa


Kazi kubwa ambayo Zitto Zuberi kabwe pamoja na wajinga wachache wanaodhani kuwa yeye ndio chadema wajifunze kwa julias Malema wa ANC,

Kazi anayopaswa kujua ni kutubu,chadema inaweza kukaa kimya au ikachukua hatua,
Chadema haitahesabika kuwa inapambana na mtu,bali itaelekeza nguvu zake kupambana na taasisi iliyojaa hila,na uovu wa kila namna.
watanzania hawamuhitaji zitto,wanahitaji team ambayo imesalimisha mawazo, utashi na malengo ya mmoja mmoja kwa matashi ya watu wengi,
Chadema ndio lengo lake, ccm mtumieni Zitto kwenye propaganda sasa,asipojirekebisha akatubu,akarudi kundini kwa moyo mpya ahesabu maumivu.

Hueezi kuwa na kiongozi ambaye,hayuko tayari kukusanya nguvu,kusalimisha matakwa yake kwa matakwa ya wengi,ukataka uwe juu.
Bila Zitto chadema itasonga mbele peopleeeezzzz!
 
huyo ni mwenzio muokoe sasa!! unamkandamiza badala ya kumuokoa.. wote mpo kijiweniLUMUMBA
sasa yanini kulumbana!! lkn inaonekana anyoyasema ni sahihi maana anasema lumumba viongozi wanazozana kuhusu KUBWAGWA KWA MPAMBE KABWE. na wewe nawe ndo unalumbana na mwenzio VUTA-NIKUVUTE

Porojo hizo, viongozi wa CCM hawakai maofisini kupiga soga zisizo na mpango, saa hizi wapo kwa wananchi wanapohitajika zaidi.
 
TAARIFA JUU YA KESI YA ZITTO KUSHINDWA SIO KWELI

1.JAJI UTAMWA anayeisimamia hiyo kesi amehamishiwa kanda ya Tabora ili kesi isomwe inabidi abadilishiwe jaji

2.kwahyo yanayozushwa ni ya kuyapuuza na sio ya kweli na kesi imesogezwa mbele hadi ipangiwe jaji mwingine.

3.Wanaosambaza uzushi huo waulizeni kesi hiyo imesomwa na jaji gani?

Zinduka toka usingizini mkuu naona bado unaota hivi unamjua wakili msomi Peter kibatala?
 
Mimi Natoa wito kwa watu wa Chadema ....wafinike Kombe mwanaharam APITE ....WALIONDOLEWA kwenye hoja kwa kuanza tena kujadili .....waache yeye mwenyewe aamue future yake ....Kama kuondoka au kuomba msamaha ...Kwani hata Sasa yeye ni mtu Mzima na Ameshaelewa WANANCHI wamepokea VIPi kitendo alichofanya .....acheni amalize Ubunge ...pia Kama atataka...

KITENDO CHOCHOTE CHA KUANZA KUMJADILI ZITTO KWA SASA .....KITAMPA HOJA .....KUKAA KIMYA KUTAMPA FURSA YA KUTAFAKARI ....MWENYEWE ......JIBU ZURI ...NI KUSEMA ....KWAKUWA MMESHINDA MNAMPA MWENYEWE FURSA AAMUE HATMA YAKE
 
Kubwagwa kwa Zitto ni pigo kwa CCM mpango wao wa kubaki CHADEMA ili avuruge chama imeshindikana. Na huu wa kumuua dr. Slaa nao umeshindikana. CHADEMA ni mpango wa Mungu. Watashindana lakini hawatashinda. Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu.
 
Jihurumieni nyie CHADEMA , manake sasa safari ya ZITTO kuondoka na watu muhimu imewadia.
 
Hatukuwa na wito wa mahakamani leo. Jaji kahamishiwa Tabora. Hatuna taarifa ya Jaji Mpya. Mwanasheria wetu anafuatilia na atatoa statement. Kwa sasa naendelea na kazi zangu kama kawaida. Leo nipo na EWURA kwenye PAC. Kesho TANESCO na Alhamis Mabilioni ya Uswizi. Kwa kazi ya #TegetaEscrow ilivyokuwa ingeshangaza waathirika kukaa bila kujaribu kunivuruga. Bahati mbaya sana sivurugiki. Ni Kazi tu. , From Zitto Twitter Account

Hahahaa huyu kijana anakatabia kakuhamisha mjadala kwenda ng'ambo ya pili.

Sasa mahakama ndio imeamuru, yeye anajificha nyuma ya vita vya ESCROW??
 
Last edited by a moderator:
Hapo bado hamjashinda.

Zitto anakwenda mahakama ya juu zaidi, atawahenyesha mpaka anahakikisha muda wake bungeni umekwisha.

Au afanye makusudi kushindwa ili afukuzwe chama atoke bungeni, kwani kwa sasa kuna uchunguzi wa escrow bado unamwandama.
You are missing the point tatizo la Chadema sio ubunge wa Zitto bali ni usaliti wake kwa chama, hata angebaki na ubunge wake kwa miaka 10 ijayo provided hajihusishi na masuala ya Chadema hakuna shida.
 
Hahahaa huyu kijana anakatabia kakuhamisha mjadala kwenda ng'ambo ya pili.

Sasa mahakama ndio imeamuru, yeye anajificha nyuma ya vita vya ESCROW??

Hhahhaahahah...style ya kulilia sympathy

Unakumbuka alivyoanza kumlilia mama yake?
 
Kubwagwa kwa Zitto ni pigo kwa CCM mpango wao wa kubaki CHADEMA ili avuruge chama imeshindikana. Na huu wa kumuua dr. Slaa nao umeshindikana. CHADEMA ni mpango wa Mungu. Watashindana lakini hawatashinda. Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu.
Kwa wanaojua umuhimu wa ZITTO ndani ya CHADEMA wanasikitia sana haya maneno yako. Pigo liko CHADEMA wao walitegemea Zitto aombe msamaha na kufuta kesi mwenyewe. Subirini muone impact ya hiyo hukumu kwa CHAMA.
 
Nasi hapa Lumumba ndio tunajua,kwa kusikia na kusoma,kuwa Zitto Kabwe ameshindwa kufanikiwa kwenye pingamizi lake dhidi ya CHADEMA. Yaani,amebwagwa Mahakamani-Mahakama Kuu ya Tanzania.

Makada hapa hawali wala kunywa. Wanazozana badala ya kuambiana. Wanalaumiana kana kwamba wao au CCM ilikuwa sehemu ya kesi ya Zitto. Kazi za chama zimesimama,ya Zitto yanajadiliwa. Mchafukoge!

Tafadhalini makada wenzangu,tuachane na mambo yasiyotuhusu. Zitto ana chama chake na mambo yake. Hatuhusu. Tumpotezee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mzee CCM mliwekeza sana kwa zitto na kujiamini mia kwa mia. Mlikosea mahali pa kuwekeza kuwa zitto ni mpenda masifa. Hivi hamkujua zitto na mwenyekiti wa PAC. Anakagua kule mnakopatiaga umate mate wenu ! Sasa waambie wenzako kilichosababisha sheria kufuatwa kwa mara moja moja ni ESCROW! kile kitumbua cha majaji zitto na PAC wanaokirushia mchanga lazima kilindwe! siku nyingine tekelelezeni ahadi kwa wananchi hii habari ya hila haitawasaidia tena
 
Back
Top Bottom