Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Unataka unichekeshe tu shehe na mapadri wapi na wapi mkuu acha kutia aibu.
kwani kuna vita kati ya padri na shehe..hata hivyo ileweke chadema ni chama cha siasa usitake kufananisha na uislamu na hapa tunazungumzia mambo ya haki za binadamu kwanini ccm walitaka kumuua shehe ponda kama anamakosa si apelekwe mahakamani akipatikana na makosa afungwe kuliko kumuua kwa smg kama mlivyo ua soweto arusha