CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

Chadema wamtetea Sheikh Ponda, teh teh teh...
 
Halloo! Get off the hook...!! Waislamu ni watanzania kama wengine ---- no more no less! Period.

Kama Chadema haitaji kura za Waislama hata Waislam pia hawana cha kuitaji kutoka kwa Chadema.

Bora wewe umefunguka vizuri na Waislam wamelijua mapema.

Shukrani sana kamanda kwa maneno yako ya ujenzi.
 
The unlawful act and disrespect to human rights and not Ponda as a person men! Wake up!! Regardless of Ponda's accusations, the law and human rights must be followed and respected! Period.

Chadema wamtetea Sheikh Ponda, teh teh teh...
 
Kweli tumepoteza mwelekeo,
Ni kwamba tumekosa saut moja ya kuweza kusemeka na kusikika kwenye jamii juu ya yanayotusibu,wanasiasa wanapotokea kuzungumza kwa kuguswa na haya masahibu lazima wataangaliwa kwa tafsiri mbali mbali,ya kwamba wanafanya na kuyasema hayo kwa sura ya utaifa na uzalendo au kwa sura ya kutafuta sympathy ya kisiasa?

Yote haya yameletwa na serikali kwa mgongo wa bakwata,ila hakuna marefu yasiyo na ncha,siku moja bakwata itarud inakostahili kuwepo,
kama waliosisi leo hawapo juu ya mgongo wa ardhi hii sembuse hii?
 
Chadema wanatafuta sympathy vote za waislam kujifanya wanamtetea Ponda ni unafiki

Issue ni kama wamestuka!Wamegundua issue ya udini imeshalipasua taifa,hivo wameshausoma mchezo ,nao wameona waucheze hivyo hivyo!
Naona vyama vya siasa hivi sasa vinafata ile SLOGAN ya kwamba "DAWA ya UDINI ni kuwa MDINI zaidi Yao" which is complitely not my favourite ideology!
This is not right!We can't do this just because we need Ponda supporters votes!?
 
Sheikh Ponda anasema serikali hii inaongozwa kwa mfumo kristo! Swali kwa Chadema ni nini kauli yao kwa mahubiri haya Sheikh Ponda kabla ya kuanza kumtetea,Chadema inasemaje juu ya MoU kati ya kanisa na Serikali???? Haya ndio mambo ya kuwekewa msimamo na Chadema kabla ya kugeuza jambo hili kwa siasa nyepesi nyepesi!
je kwakusema kwake amevunja sheria gani ya nchi? wewe pia kama ponda una uhuru wa mawazo...je kwa maoni uliyotoa hapa jf nawe upgwe risasi? mbona wananchi wakitia moto wezi mtaani serikali inalalama? je wananchi sasa wasemeje? kuwa serikali ipo juu ya sheria?
 
Sheikh Ponda anasema serikali hii inaongozwa kwa mfumo kristo! Swali kwa Chadema ni nini kauli yao kwa mahubiri haya Sheikh Ponda kabla ya kuanza kumtetea,Chadema inasemaje juu ya MoU kati ya kanisa na Serikali???? Haya ndio mambo ya kuwekewa msimamo na Chadema kabla ya kugeuza jambo hili kwa siasa nyepesi nyepesi!

eti "haya ndio mambo ya kuyawekea msimamo"!
- kwa hivyo kwako uhai wa Sheikh Ponda ni jambo la ziada mno lisilohitaji umuhimu wa kwanza?!
... makubwa!
 
Kweli tumepoteza mwelekeo,
Ni kwamba tumekosa saut moja ya kuweza kusemeka na kusikika kwenye jamii juu ya yanayotusibu,wanasiasa wanapotokea kuzungumza kwa kuguswa na haya masahibu lazima wataangaliwa kwa tafsiri mbali mbali,ya kwamba wanafanya na kuyasema hayo kwa sura ya utaifa na uzalendo au kwa sura ya kutafuta sympathy ya kisiasa?

Yote haya yameletwa na serikali kwa mgongo wa bakwata,ila hakuna marefu yasiyo na ncha,siku moja bakwata itarud inakostahili kuwepo,
kama waliosisi leo hawapo juu ya mgongo wa ardhi hii sembuse hii?
Nimekuelewa sana mkuu, watu wako too subjective. Ila to be honest, tatizo hili linakuzwa na pro-ccm na pro-chadema, si watanzania. Watanzania siku zote utawaona wakitoa comments zao unbiased and direct to the national interests. Ni jambo litakalochelewesha sana kupata watu watakaosimamia haki na maendeleo kwa vile tunwajaji sana kwa majina yao kutokana na propaganda iliyopandikizwa na makundi-maslahi.
 
Chadema hata mazishi ya yule kijana aliyepigwa na kitu kizito Morogoro kwenye maandamano yao haramu hawakuhudhuria. Lakini ishu ya Ponda ambayo haiwahusu kabisa wanaikumbatia kisiasa baada ya kuona umati umejazana kumtembelea hospitali!

Cheap politics...
 
See more at: Raia Mwema - CHADEMA yajitosa kwa Sheikh Ponda

Sheikh Ponda anasema serikali hii inaongozwa kwa mfumo kristo! Swali kwa Chadema ni nini kauli yao kwa mahubiri haya Sheikh Ponda kabla ya kuanza kumtetea,Chadema inasemaje juu ya MoU kati ya kanisa na Serikali???? Haya ndio mambo ya kuwekewa msimamo na Chadema kabla ya kugeuza jambo hili kwa siasa nyepesi nyepesi!

Chadema wanatafuta sympathy vote za waislam kujifanya wanamtetea Ponda ni unafiki

Chadema ni chama kinachofuata upepo tu.Wameona msururu wa watu wameenda kumuona Ponda hospitali wakagundua kumbe Ponda anaweza kuwa mtaji kwao kisiasa. Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya kilaghai...
MASWALI MUHIMU: Kwa hiyo CCM ni chama cha waislamu kwakuwa kinaongozwa na mwislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Kwa hiyo CCM inatumia Uislamu kama ngazi ya kujijenga kisiasa tangu ilipodanganya waislamu kuwa itawapa mahakama ya kadhi? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu? Hivi nyie Kikwete akimaliza muda wake na nafasi yake kuchukuliwa na mkatoliki au mluteli mtaendelea kuwa CCM?
 
Profesa Safari Msemaji wa Chadema masuala yanayo husu Mambo ya Waislamu!
Ukitaka kujua kama usanii ndiyo maana Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu, wamekaa pembeni.

Kwenye suala la Mwangosi na Ulimboka mapovu yanawatoka mpaka leo.

Jamaa wanafiki sana.
 
Chadema wanatafuta sympathy vote za waislam kujifanya wanamtetea Ponda ni unafiki

Chadema hata mazishi ya yule kijana aliyepigwa na kitu kizito Morogoro kwenye maandamano yao haramu hawakuhudhuria. Lakini ishu ya Ponda ambayo haiwahusu kabisa wanaikumbatia kisiasa baada ya kuona umati umejazana kumtembelea hospitali! Cheap politics...
Kwa hiyo CCM ni chama cha waislamu kwakuwa kinaongozwa na mwislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Suala la Ponda linakuwaje la CUF au CCM?
 
Ukitaka kujua kama usanii ndiyo maana Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundu Lissu, wamekaa pembeni.

Kwenye suala la Mwangosi na Ulimboka mapovu yanawatoka mpaka leo.

Jamaa wanafiki sana.
MASWALI MUHIMU: Kwa hiyo wewe umebatizwa au mmesilimisha wakristo? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu?
 
Issue ni kama wamestuka!Wamegundua issue ya udini imeshalipasua taifa,hivo wameshausoma mchezo ,nao wameona waucheze hivyo hivyo!
Naona vyama vya siasa hivi sasa vinafata ile SLOGAN ya kwamba "DAWA ya UDINI ni kuwa MDINI zaidi Yao" which is complitely not my favourite ideology!
This is not right!We can't do this just because we need Ponda supporters votes!?
MASWALI MUHIMU: Kwa hiyo CCM ni chama cha waislamu kwakuwa kinaongozwa na mwislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Kwa hiyo CCM inatumia Uislamu kama ngazi ya kujijenga kisiasa tangu ilipodanganya waislamu kuwa itawapa mahakama ya kadhi? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu? Hivi nyie Kikwete akimaliza muda wake na nafasi yake kuchukuliwa na mkatoliki au mluteli mtaendelea kuwa CCM?
 
Kweli tumepoteza mwelekeo,
Ni kwamba tumekosa saut moja ya kuweza kusemeka na kusikika kwenye jamii juu ya yanayotusibu,wanasiasa wanapotokea kuzungumza kwa kuguswa na haya masahibu lazima wataangaliwa kwa tafsiri mbali mbali,ya kwamba wanafanya na kuyasema hayo kwa sura ya utaifa na uzalendo au kwa sura ya kutafuta sympathy ya kisiasa?

Yote haya yameletwa na serikali kwa mgongo wa bakwata,ila hakuna marefu yasiyo na ncha,siku moja bakwata itarud inakostahili kuwepo,
kama waliosisi leo hawapo juu ya mgongo wa ardhi hii sembuse hii?
Toka lini Prof Safari hakawa msemaji wa Chadema, kina Mohamedi Mtoi, ndiyo muda wao wa kutumika.

Vipi Tumaini Makene, hayupo.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wamtetea Sheikh Ponda, teh teh teh...
Kwa hiyo CCM na CUF wanatakiwa wamtetee PONDA kwakuwa ni vyama vya waislamu kwakuwa vinaongozwa na waislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Kwa hiyo CCM inatumia Uislamu kama ngazi ya kujijenga kisiasa tangu ilipodanganya waislamu kuwa itawapa mahakama ya kadhi? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu? Hivi nyie Kikwete akimaliza muda wake na nafasi yake kuchukuliwa na mkatoliki au mluteli mtaendelea kuwa CCM?
 
MASWALI MUHIMU: Kwa hiyo CCM ni chama cha waislamu kwakuwa kinaongozwa na mwislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Kwa hiyo CCM inatumia Uislamu kama ngazi ya kujijenga kisiasa tangu ilipodanganya waislamu kuwa itawapa mahakama ya kadhi? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu? Hivi nyie Kikwete akimaliza muda wake na nafasi yake kuchukuliwa na mkatoliki au mluteli mtaendelea kuwa CCM?
Hayo maswali yako muhimu hebu jiulize mwenyewe kuhusu Chadema.
 
Kwa hiyo CCM na CUF wanatakiwa wamtetee PONDA kwakuwa ni vyama vya waislamu kwakuwa vinaongozwa na waislamu na kuwa na safu za watu wa dini ya mkuu? Kwa hiyo CCM inatumia Uislamu kama ngazi ya kujijenga kisiasa tangu ilipodanganya waislamu kuwa itawapa mahakama ya kadhi? CCM ilipoongozwa na mkapa mliita CATHOLIC CHURCH MOVEMENT, vipi leo mmewasilimisha wakristo na kukiteka kuwa chama cha waislamu? Hivi nyie Kikwete akimaliza muda wake na nafasi yake kuchukuliwa na mkatoliki au mluteli mtaendelea kuwa CCM?
Povu la nini? Haujaiweka Chadema kwa sababu unajua ni chama cha Wakirsto.
 
Back
Top Bottom