Haya ni maalumu kwenu nyie wanafiki. Ambao maisha ya PONDA yanatakiwa kutetewa na WAISLAMU? HALAFU WATU WAKUBWA NA AKILI ZENU mpo mnashangilia mitandaoni?Hayo maswali yako muhimu hebu jiulize mwenyewe kuhusu Chadema.
Haya ni maalumu kwenu nyie wanafiki. Ambao maisha ya PONDA yanatakiwa kutetewa na WAISLAMU? HALAFU WATU WAKUBWA NA AKILI ZENU mpo mnashangilia mitandaoni?Hayo maswali yako muhimu hebu jiulize mwenyewe kuhusu Chadema.
Haya wewe umebatizwa? Mbona uko CCM ambacho ni chama cha wakatoliki. Utahamia LINI CUF ambacho ni chama kinajulikana?Povu la nini? Haujaiweka Chadema kwa sababu unajua ni chama cha Wakirsto.
Hizo ni fikra zako, na Chadema ni chama cha Wakirsto sababu viongozi wake ni Wakirsto? Au sababu kuna wachungaji na mapdri?Kwa hiyo mnaigeuza CCM kuwa CHAMA CHA WAISLAMU kwakuwa tu mkuu ni mwislamu?
Hayo maswali yako muhimu hebu jiulize mwenyewe kuhusu Chadema.
PONDA ni binadamu ambaye hakustahili kupigwa RISASI. Yule si jambazi. Hana silaha. Hakukaidi lolote. Je, unahitaji kuwa mwislamu kutembua haya kama siyo unafiki?Povu la nini? Haujaiweka Chadema kwa sababu unajua ni chama cha Wakirsto.
CCM haina Shehe hata mmoja, lakini imejaa wachungaji na mapadri mnafuata nini kama nyie siyo wanafiki?Hizo ni fikra zako, na Chadema ni chama cha Wakirsto sababu viongozi wake ni Wakirsto? Au sababu kuna wachungaji na mapdri?
Kamanda mbona unakwepa kuizungumzia Chadema na udini.Haya wewe umebatizwa? Mbona uko CCM ambacho ni chama cha wakatoliki. Utahamia LINI CUF ambacho ni chama kinajulikana?
Hayo maswali yako muhimu hebu jiulize mwenyewe kuhusu Chadema.
Povu la nini? Haujaiweka Chadema kwa sababu unajua ni chama cha Wakirsto.
Haya 2015 iwapo CCM haitapata mwislamu wa kugombea mtaendelea kutoa povu kuitetea CCM?Hizo ni fikra zako, na Chadema ni chama cha Wakirsto sababu viongozi wake ni Wakirsto? Au sababu kuna wachungaji na mapdri?
Teh teh teh leo hii?PONDA ni binadamu ambaye hakustahili kupigwa RISASI. Yule si jambazi. Hana silaha. Hakukaidi lolote. Je, unahitaji kuwa mwislamu kutembua haya kama siyo unafiki?
CHADEMA kuna wachungaji, CCM kuna wachungaji, CCM inakuwaje chama cha waislamu? ACHA unafiki wewe!!!...Kamanda mbona unakwepa kuizungumzia Chadema na udini.
Ngoja nikusaidie CUF chama cha Waislam, Chadema chama cha Wakirsto.
CCM chama cha Watanzania wapenda amani na wazalendo.
Tuendelee la mjadala.
pamoja na hayo uliyosema haialalishi polis kuua au kujeruhi sheikh ponda!
CCM walienda nao hospitalini?
Kamanda hebu twende taratibu nitajie hao mapadri na wachungaji wa CCM kisha na mie nifunguke kidogo kuhusu chama chako.CCM haina Shehe hata mmoja, lakini imejaa wachungaji na mapadri mnafuata nini kama nyie siyo wanafiki?
CCM ni chama cha kitafa yoyote atakayechaguliwa poa tu, wewe hapo Chadema mpaka kuweka mgombea Muislam ni miujiza.Haya 2015 iwapo CCM haitapata mwisdlamu wa kugombea mtaendelea kutoa povu kuitetea CCM?
Sheikh Ponda anasema serikali hii inaongozwa kwa mfumo kristo! Swali kwa Chadema ni nini kauli yao kwa mahubiri haya Sheikh Ponda kabla ya kuanza kumtetea,Chadema inasemaje juu ya MoU kati ya kanisa na Serikali???? Haya ndio mambo ya kuwekewa msimamo na Chadema kabla ya kugeuza jambo hili kwa siasa nyepesi nyepesi!
Kamanda hebu twende taratibu nitajie hao mapadri na wachungaji wa CCM kisha na mie nifunguke kidogo kuhusu chama chako.
[Msome kipanya
Wataje wote kamanda au ni huyo tu?Mama Lwakatale
Kamanda hebu twende taratibu nitajie hao mapadri na wachungaji wa CCM kisha na mie nifunguke kidogo kuhusu chama chako.
Mkuu wangu nimecheka Chadema leo wapo na Sheikh Ponda, Tanzania kuna vituko.
Siku ile Le Mutuz alikuwa anamtukana Sheikh Ponda mpaka anamuita Mende, Pro-Chadema walikuwa wanaungana naye siku ile walimpa Like zaidi ya 70.
Ngoja taweka mabandiko ya hao pro-Chadema walivyokuwa wanamshambulia Sheikh Ponda, wengine walikuwa wanamuita gaidi anatakiwa kukatwa shingo.