CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

Ritz; CHADEMA ni chama cha Waislamu,Wakristo,Wapagani na hata wasio na dini ndiyo chama kinatetea watu wote kama mada inavyoandikwa hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Kama Chadema haitaji kura za Waislama hata Waislam pia hawana cha kuitaji kutoka kwa Chadema.

Bora wewe umefunguka vizuri na Waislam wamelijua mapema.

Shukrani sana kamanda kwa maneno yako ya ujenzi.

Acha kutumia kiungo kingine kufikiri,hiyo kazi yake ni kutoa taka mwili:thumbup:😕:thumbup:
 
Tunakujua,

Ukiingia na I'D hii lengo lako huwa kuchafua hali ya hewa ili thread ifungwe.
From my side consider yourself IGNORED...

Mnanijua kama ninayowajua. Fine uniweke katika IGNORE list lakini nitaendelea kuelimisha umma wa watanzania bila kukosea kanuni za JF wala kwenda kinyume na taratibu na sheria za nchi yangu. Siwezi kuuacha unafiki mnaouleta. Kama nyie kweli ni mashabiki wa Ponda mbona analaumiwa kuipinga CCM mnayoishabikia? Anapinga uswahiba wa CCM na BAKWATA mbona nyie hampingi?
 
CCM ni chama cha kitafa yoyote atakayechaguliwa poa tu, wewe hapo Chadema mpaka kuweka mgombea Muislam ni miujiza.

CCM haina muislamu wa kusimama kama mgombea URAIS 2015.. Ushindani ni wa wakristo wachache. Asipopita Lowasa ni Membe; kama si Magufuli ni Mwakyembe; Kama si Pinda ni SUMAYE; kama siyo SITA ni Mary Nagu... Wapi watampata? Watampigia magoti Shein Au Salimu? Au utagombea WEWE (Ritz) au Marcopolo?
 
Mkuu,
usinielewe vibaya. Sijakuweka kwenye ignore list na siwezi kufanya hivyo kwa mdau kama wewe. Ninachokifanya kwa leo ni kuignore comments zako za udini kwenye hii thread kwa sababu nikizientertain thread itafungwa mara moja.

Samahani kama umenielewa vibaya mkuu. Nakuheshimu sana mkuu wangu siwezi kukuweka kwenye ignore list.

Samahani sana...
 
Poa!.. Mimi sina udini. Ila sikubaliani nanyi mnapoibeba propaganda ya UDINI ya CCM ili kudhoofisha vyama vya upinzani. Sera ya kikoloni ya DIVIDE and rule inatumiwa leo na CCM tuliambiwa na tena tunazidi kuambiwa ''CUF NI CHAMA CHA WAISLAMU'' na ''CHADEMA ni CHAMA CHA WAKRISTO'' Sasa CCM kina watu wa IMANI GANI?.. Ninawaona waislamu wachache mmejitolea kukisafisha na kashfa hii kwenye mitandao ya kijamii. Sasa hili la Ponda - ni CHAMA gani kimetoa maagizo ya kumdhuru SHEHE ambaye hakuwa hata na jiwe la kuulia sisimizi?
 
Kamanda hebu twende taratibu nitajie hao mapadri na wachungaji wa CCM kisha na mie nifunguke kidogo kuhusu chama chako.

Mchungaji Rwakatare, Mchungaji Mwanjale, Mzee wa kanisa SITTA, n.k.
 
Poa!.. Mimi sina udini. Ila sikubaliani nanyi mnapoibeba propaganda ya UDINI ya CCM ili kudhoofisha vyama vya upinzani. Sera ya kikoloni ya DIVIDE and rule inatumiwa leo na CCM tuliambiwa na tena tunazidi kuambiwa ''CUF NI CHAMA CHA WAISLAMU'' na ''CHADEMA ni CHAMA CHA WAKRISTO'' Sasa CCM kina watu wa IMANI GANI?.. Ninawaona waislamu wachache mmejitolea kukisafisha na kashfa hii kwenye mitandao ya kijamii. Sasa hili la Ponda - ni CHAMA gani kimetoa maagizo ya kumdhuru SHEHE ambaye hakuwa hata na jiwe la kuulia sisimizi?

UDINI ni primitive behavior.

Tusiruhusu udini utugawanye...
 
Mlengo wa kati, nadhani jambo la muhimu kwa sasa ni hilo walilolifanya CHADEMA.
Hayo mengine sio muktadha wake...wahenga walisema 'tenda wema uende zako usingoje shukurani'
nawapongeza chadema kwa hatua hiyo na endeleeni kuwatetea wanyonge - ili wale wanao'wazushia' kwamba nyie ni hivi au vile waumbuke mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
UDINI ni primitive behavior.

Tusiruhusu udini utugawanye...

Hivi ndivyo tunaweza kwenda vizuri. Iwapo nyie mkiamua kuangamiza CHADEMA na CUF kwa UDINI na UKABILA mjue ni njia hiyo hiyo itatumika kuimaliza CCM.
 
CCM ni chama cha kitafa yoyote atakayechaguliwa poa tu, wewe hapo Chadema mpaka kuweka mgombea Muislam ni miujiza.

Ninawaona waislamu wachache mmejitolea kukisafisha na kashfa hii kwenye mitandao ya kijamii. Sasa hili la Ponda - ni CHAMA gani kimetoa maagizo ya kumdhuru SHEHE ambaye hakuwa hata na jiwe la kuulia sisimizi?
 
TAYADI, tuendelee na mjadala.

Hivi Prof. Safari ndiyo msemaji wa Chadema siku hizi?

Siyo msemaji ila ni kiongozi wa ngazi ya juu. Yeye ni Mwenyekiti wa kanda ya Pwani.. Kazi hii ya kutoa matamko ya CHAMA yeye si wa kwanza kutoa.. TUNDU LISU alipofanya hivyo hukulalamika... Mnyika alipofanya hivyo hukulalamika.. Slaa alipofanya hivyo hukulalanika na Bensoni kigaila alipotoa tamko hukulalamika.. Lakini huyu kwakuwa ni mwislamu midomo juu.
 
Mchungaji Rwakatare, Mchungaji Mwanjale, Mzee wa kanisa SITTA, n.k.
Mchungaji Peter Msigwa, mbunge wa Iringa Mjini.

Mchungaji Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini.

Mchungaji Israel Natse Mbunge wa Karatu.

Padri Dr Slaa huyu anasema kastaafu lakini hata siku moja hauwezi kustaafu kazi bwana.
 
CCM haina muislamu wa kusimama kama mgombea URAIS 2015.. Ushindani ni wa wakristo wachache. Asipopita Lowasa ni Membe; kama si Magufuli ni Mwakyembe; Kama si Pinda ni SUMAYE; kama siyo SITA ni Mary Nagu... Wapi watampata? Watampigia magoti Shein Au Salimu? Au utagombea WEWE (Ritz) au Marcopolo?
Mbona yupo Ustadhi Abdalah A.K.A Lowassa huyu ndiyo rais wetu.
 
Mtamsilimisha lini huyu MLUTERI? Nawasubiri 2015.. NINAUHAKIKA akimaliza JK muda wake nyie si CCM tena!...
 
Mchungaji Peter Msigwa, mbunge wa Iringa Mjini.

Mchungaji Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini.

Mchungaji Israel Natse Mbunge wa Karatu.

Padri Dr Slaa huyu anasema kastaafu lakini hata siku moja hauwezi kustaafu kazi bwana.

Umesahau kumuongezea na MCHUNGAJI RITZ aliyebatizwa leo kwa GWAJIMA.

Siyo msemaji ila ni kiongozi wa ngazi ya juu. Yeye ni Mwenyekiti wa kanda ya Pwani.. Kazi hii ya kutoa matamko ya CHAMA yeye si wa kwanza kutoa.. TUNDU LISU alipofanya hivyo hukulalamika... Mnyika alipofanya hivyo hukulalamika.. Slaa alipofanya hivyo hukulalanika na Bensoni kigaila alipotoa tamko hukulalamika.. Lakini huyu kwakuwa ni mwislamu midomo juu.
Huyu siyo mara kwanza kutoa matamko ya Waislam Chadema.

Hata suala la kadhi huyu ndiyo alikuwa msemaji.

Kama yeye ni mwenyekiti wa kanda ya Pwani mbona kwenye kuchangia pesa kwenye M4C anakaa mbali na zoezi linasimamiwa na Lema.
 
Back
Top Bottom