CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

Mkuu,

Juzi wewe na Ben Saanane mlikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Le Mutuz aliposema Ponda ni mtu hatari. Sasa leo chama chenu kimeona kuwa kumuunga mkono Ponda kuna maslahi kisiasa, mnamgeuka Le Mutuz.

Ebu chagueni upande mmoja ili msiwachanganye wanaowasoma.

Kwamba Ponda ni mtu hatari, hakutoi kibali kwa Polisi kumpiga risasi kama walivyofanya.
 
Last edited by a moderator:
Usiwe mjinga wewe...Chadema kimesimamia sheria, hawajaongelea matatizo ya ponda kwa jamii kwani ni obvious,ila Polisi walivyokwenda na walichofanya sivyo kisheria.Ktk sheria haki ni kwa wote hata mualifu.

hakuna cha kugundua, hata ulimboka,kibanda na unafiki wake, na wengine chadema kililaani na hadi leo wanasema bila woga.

Ni wewe na wengine wajinga tuu ndio mnaswing tuu ili muwe upande tofauti na cdm,ipo siku mtajikuta hakuna option.

Kwahiyo watanzania wengine wote walio rumande wametendewa haki isipokuwa Ponda tu?

Kubali tu kuwa Chadema wamemuona Ponda kama mtaji wa kisiasa, HAKUNA kingine...
 
Mkuu,

Juzi wewe na Ben Saanane mlikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Le Mutuz aliposema Ponda ni mtu hatari. Sasa leo chama chenu kimeona kuwa kumuunga mkono Ponda kuna maslahi kisiasa, mnamgeuka Le Mutuz.

Ebu chagueni upande mmoja ili msiwachanganye wanaowasoma.

Wote hao waugonjwa unaoitwa amnesia wasamehe bure lao moja
 
Last edited by a moderator:
Mbona juzi mlimuunga mkono Le Mutuz kuwa Ponda hastahili sympathy?

Ben Saanane ana uhuru wa kuwaza anavyowaza. Pamoja na yeye kuwa mwanachadema kama mimi bado tunatofautiana katika ishu ya Ponda. Kwaiyo unaweza kuona msimamo wa Ben sio msimamo wa Chama kama ambavyo msimamo wangu sio msimamo wa Chama. Sidhani pia kama msimamo wa Le mutuz ndio msimamo wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kama hawakutendewa haki unataka chadema ifanyeje? ikayabomoe au....? Kwani CDM inasimamia mahakama au utendaji wa dola au umeambiwa CDM ni wakili au jaji?

Kuweni na aibu basi, hatutaki kujua ni kiasi gani mko wa.ji.nga, mnaweza kunyamaza tu halafu hamtadaiwa chochote.

Kwahiyo watanzania wengine wote walio rumande wametendewa haki isipokuwa Ponda tu?

Kubali tu kuwa Chadema wamemuona Ponda kama mtaji wa kisiasa, HAKUNA kingine...
 
Ben Saanane ana uhuru wa kuwaza anavyowaza. Pamoja na yeye kuwa mwanachadema kama mimi bado tunatofautiana katika ishu ya Ponda. Kwaiyo unaweza kuona msimamo wa Ben sio msimamo wa Chama kama ambavyo msimamo wangu sio msimamo wa Chama. Sidhani pia kama msimamo wa Le mutuz ndio msimamo wa CCM

Ben hana msimamo, hata ishu ya Rwanda alimuunga mkono Rais, lakini Dr. Slaa alivyojitokeza kuungana na Kagame kuishambulia Tanzania, Ben naye akabadilisha direction.

Ben ni bendera fuata upepo.
 
Kwa hiyo kama hawakutendewa haki unataka chadema ifanyeje? ikayabomoe au....? Kwani CDM inasimamia mahakama au utendaji wa dola au umeambiwa CDM ni wakili au jaji?

Kuweni na aibu basi, hatutaki kujua ni kiasi gani mko wa.ji.nga, mnaweza kunyamaza tu halafu hamtadaiwa chochote.

Kama chadema inaona haihusiki si ikae kimya? Kwani kuna mtu kawaomba watoe kauli kuhusu Ponda?
 
Ben hana msimamo, hata ishu ya Rwanda alimuunga mkono Rais, lakini Dr. Slaa alivyojitokeza kuungana na Kagame kuishambulia Tanzania, Ben naye akabadilisha direction.

Ben ni bendera fuata upepo.

Sawa. Anzisha thread inayohusu misimamo ya Ben Saanane tutachangia. Saizi tunajadili Ponda kutetewa na Chadema
 
Last edited by a moderator:
Ben hana msimamo, hata ishu ya Rwanda alimuunga mkono Rais, lakini Dr. Slaa alivyojitokeza kuungana na Kagame kuishambulia Tanzania, Ben naye akabadilisha direction.

Ben ni bendera fuata upepo.

Umeona ehhh huyu jamaa ndio alivyo mawazo yake yamepigwa pingu
 
Sawa. Anzisha thread inayohusu misimamo ya Ben Saanane tutachangia. Saizi tunajadili Ponda kutetewa na Chadema

Ben ni muajiriwa rasmi wa chadema kwa mshahara wa kima cha chini. Kazi yake ni kuitetea chadema mitandaoni.

Wazazi wake wamemsomesha kwa gharama kubwa ameishia kuwa mtumwa wa Dr. Slaa.

Ben is a disappointment to his parents...
 
Na huu ndo msingi wa wapenzi, wakereketwa, wafuasi wa CDM, tunatofautiana kifikra, mawazo tofauti lakini kwenye key national interest tunapambana pamoja na kupinga dhuluma. Hili haliondoa haki ya msingi ya kila mmoja kusema au kutoa maoni yake binafsi kama raia na haimaanishi kuwa msimamo wa CDM kama chama. Hili linahitaji kufkri kidogo wala haihitaji ufahamu mkubwa saaaana!!

Ben Saanane ana uhuru wa kuwaza anavyowaza. Pamoja na yeye kuwa mwanachadema kama mimi bado tunatofautiana katika ishu ya Ponda. Kwaiyo unaweza kuona msimamo wa Ben sio msimamo wa Chama kama ambavyo msimamo wangu sio msimamo wa Chama. Sidhani pia kama msimamo wa Le mutuz ndio msimamo wa CCM
 
Ben ni muajiriwa rasmi wa chadema kwa mshahara wa kima cha chini. Kazi yake ni kuitetea chadema mitandaoni.

Wazazi wake wamemsomesha kwa gharama kubwa ameishia kuwa mtumwa wa Dr. Slaa.

Ben is a disappointment to his parents...

Tupe maoni yako kuhusiana na Tamko la Prof. Safari
 
Tamko limekaa kisiasa zaidi.

Halijielezi kwanini limetolewa juu ya Ponda wakati kuna watanzania wengine wana matatizo zaidi ya hayo.

Chadema wamechanganyikiwa na ile foleni ya hospitali ya watu walioenda kumuona Ponda...
 
I like that if it really reflects Ben!!! It is better becoming a disappointment to a family than being a total disgrace to the NATION that you are, as a matter of fact!!!!

Ben ni muajiriwa rasmi wa chadema kwa mshahara wa kima cha chini. Kazi yake ni kuitetea chadema mitandaoni.

Wazazi wake wamemsomesha kwa gharama kubwa ameishia kuwa mtumwa wa Dr. Slaa.

Ben is a disappointment to his parents...
 
Kinachofanya kazi kwa sasa ni UISLAM V/S UKRISTO. Ni kwa sababu ya udini huo, Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kutangaza kifo cha Ponda wakati hata hajazirai. Mtu anayefikiria vema ataona harufu ya udini. Na kuna uwezekano wa uchaguzi 2015, watu wakapiga kura kwa milengo ya kidini. Time will tell
 
Back
Top Bottom