CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

Kwahiyo watanzania wengine wote walio rumande wametendewa haki isipokuwa Ponda tu?

Kubali tu kuwa Chadema wamemuona Ponda kama mtaji wa kisiasa, HAKUNA kingine...

Ponda anakuwaje mtaji? Na wewe unaamini kuwa Ponda ni mtaji? Acha kumdhalilisha sheikh wako
 
Chadema wanatafuta sympathy vote za waislam kujifanya wanamtetea Ponda ni unafiki
nijuavyo mimi chadema haihitaji kura za waislamu achilia mbali za huruma.chadema inahitaji kura za watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema hilo tu! siku chadema ikianza kutafuta kura za waislamu, wakristo,wahindu au wapagani narudisha kadi
 
Chadema wameshituka, wameona hatari iliyoko mbele,walimwona mjinga Prof Lipumba kutoa pole kwa Sheikh Ponda na kuilaani polisi kwa kumpiga risasi. Leo wao wamekuja,mngekaa kimpya basi muone cha moto,si hamtaki kula za waislam?
?
 
I like that if it really reflects Ben!!! It is better becoming a disappointment to a family than being a total disgrace to the NATION that you are, as a matter of fact!!!!

Family comes FIRST. Everything else follows...
 
Du!! Haya umeyatoa wapi wewe SHWEITANI mkubwa!!!!

Chadema wameshituka, wameona hatari iliyoko mbele,walimwona mjinga Prof Lipumba kutoa pole kwa Sheikh Ponda na kuilaani polisi kwa kumpiga risasi. Leo wao wamekuja,mngekaa kimpya basi muone cha moto,si hamtaki kula za waislam?
?
 
Chadema wameshituka, wameona hatari iliyoko mbele,walimwona mjinga Prof Lipumba kutoa pole kwa Sheikh Ponda na kuilaani polisi kwa kumpiga risasi. Leo wao wamekuja,mngekaa kimpya basi muone cha moto,si hamtaki kula za waislam?
?
Tamko hili lilitolewa zamani si leo. Hapa JF limeletwa leo.
 
nijuavyo mimi chadema haihitaji kura za waislamu achilia mbali za huruma.chadema inahitaji kura za watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema hilo tu! siku chadema ikianza kutafuta kura za waislamu, wakristo,wahindu au wapagani narudisha kadi

nimekugongea like .
 
Chadema ni chama kinachofuata upepo tu.

Wameona msururu wa watu wameenda kumuona Ponda hospitali wakagundua kumbe Ponda anaweza kuwa mtaji kwao kisiasa.

Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya kilaghai...

Kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema wameshituka, wameona hatari iliyoko mbele,walimwona mjinga Prof Lipumba kutoa pole kwa Sheikh Ponda na kuilaani polisi kwa kumpiga risasi. Leo wao wamekuja,mngekaa kimpya basi muone cha moto,si hamtaki kula za waislam?
?

Sheikh wangu???
alisisitiza Profesa Safari. Mbali na CHADEMA, Chama cha Wananchi (CUF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba kimelaani tukio hilo na kutaka kuitishwa kwa uchunguzi huru. Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) pia ni miongoni mwa taasisi zilizolaani tukio hilo na kumtaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile kujiuzulu ili kupisha uchunguzi huru wa tukio hilo - See more at: Raia Mwema - CHADEMA yajitosa kwa Sheikh Ponda

Acheni kudanganya watu Raia Mwema inatoka jumatano, leo ni jumamosi kwenda jumapili. Tamko hili limepitwa na wakati si la leo wala jana.
 
Chadema wameshituka, wameona hatari iliyoko mbele,walimwona mjinga Prof Lipumba kutoa pole kwa Sheikh Ponda na kuilaani polisi kwa kumpiga risasi. Leo wao wamekuja,mngekaa kimpya basi muone cha moto,si hamtaki kula za waislam?
?

unaambiwa cdm inazitaka kura za watanzania wote na wala siyo waislamu , wahindu , mabohola au walokole .
 
Mkuu,

Juzi wewe na Ben Saanane mlikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Le Mutuz aliposema Ponda ni mtu hatari. Sasa leo chama chenu kimeona kuwa kumuunga mkono Ponda kuna maslahi kisiasa, mnamgeuka Le Mutuz.

Ebu chagueni upande mmoja ili msiwachanganye wanaowasoma.
Mkuu wangu nimecheka Chadema leo wapo na Sheikh Ponda, Tanzania kuna vituko.

Siku ile Le Mutuz alikuwa anamtukana Sheikh Ponda mpaka anamuita Mende, Pro-Chadema walikuwa wanaungana naye siku ile walimpa Like zaidi ya 70.

Ngoja taweka mabandiko ya hao pro-Chadema walivyokuwa wanamshambulia Sheikh Ponda, wengine walikuwa wanamuita gaidi anatakiwa kukatwa shingo.
 
Last edited by a moderator:
nijuavyo mimi chadema haihitaji kura za waislamu achilia mbali za huruma.chadema inahitaji kura za watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema hilo tu! siku chadema ikianza kutafuta kura za waislamu, wakristo,wahindu au wapagani narudisha kadi
Kama Chadema haitaji kura za Waislama hata Waislam pia hawana cha kuitaji kutoka kwa Chadema.

Bora wewe umefunguka vizuri na Waislam wamelijua mapema.

Shukrani sana kamanda kwa maneno yako ya ujenzi.
 
Tamko hili lilitolewa zamani si leo. Hapa JF limeletwa leo.
Sio kweli,tungesikia,mbona Lipumba alipotoa tamko tulisikia? Sema chadema walikuwa wanaangalia kwanza upepo,Ponda anamvuto na ushawishi gani kwa waislam,kwetu Sheikh Ponda ni kila kitu,magamba wenyewe mnamgwaya,haongwi wala hanunuliki,pia ni muwazi wala siyo mnafiki,pia ni mkweli sio mwoga,huyo ndiyo Sheikh Ponda Issa Ponda.
 
Ni kweli mnachosha kwa ujuha lakini hatutachoka kuwaelimisha, you are getting the concept all wrong....!! Ishu sio Ponda bali kilichotendwa na serikali/dola dhidi yake bila kujali misimamo na hoja za Ponda, hilo ni swala jingine bro.

Kya
icon1.png
Re: CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

It is not about a person......rather it is about the "ACT" that was executed upon the person. It does not become right simply b'se some CDM follower are or are not supporting that person's ideology. The ACT done on Ponda is inhuman and unlawful...!!!! Period!! It does not matter which political side you are or which belief you have or your religion or tribe etc....IT DOES NOT MATTER!

Think a bit my dear!!

quote_icon.png
By rais mpya
Chadema wanatania au wanamaanisha mbona majanga ,

leo chadema inamtetea shehe ponda kweli siasa sanaa t

​
Mkuu wangu nimecheka Chadema leo wapo na Sheikh Ponda, Tanzania kuna vituko.

Siku ile Le Mutuz alikuwa anamtukana Sheikh Ponda mpaka anamuita Mende, Pro-Chadema walikuwa wanaungana naye siku ile walimpa Like zaidi ya 70.

Ngoja taweka mabandiko ya hao pro-Chadema walivyokuwa wanamshambulia Sheikh Ponda, wengine walikuwa wanamuita gaidi anatakiwa kukatwa shingo.
 
Acheni kudanganya watu Raia Mwema inatoka jumatano, leo ni jumamosi kwenda jumapili. Tamko hili limepitwa na wakati si la leo wala jana.
Unasema limepitwa na wakati,kwani hilo tamko lilitolewa mafichoni mbona magazeti ukiacha Raia mwema hayakulipa kipaumbele tamko hilo la chadema?
 
Back
Top Bottom