CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

Kwa sasa wamejirudisha wenyewe baada ya kuona hawana thamani kwa kuondoka CCM. Baada ya kutubu tumewapokea kama bwana wapotevu tena!! Ni furaha kwa mkosefu mmoja kutubu dhambi zake!!
Kwahiyo kwa sasa sio makapi tena
 
Jamani ugumu unaletwa na kumbukumbu za kukanganya watu! "Fisadi,fisadi,fisadi. Halafu inafika mahali kwamba siyo fisadi. Hakuna maelezo yoyote yamcngi kabisa yaliyotolewa kwa raia hadi leo kujenga hoja yakuridhisha kuwa Billgate wetu siyo fisadi kwa maana 1,2,3. Na yeye akasimama kutoa vielelezo 1,2,3 raia wakaelewa somo.
Kauli ya Katibu mkuu aliyejiudhuru nayo hamjaijengea mada nzuri kukanusha aliyoyasema. Sasahiv dunia ni kijiji ku-maintain propaganda yatakiwa ujuzi wa ziada,sbb habari na taarifa mbalimbali zipo wazi kwa kumbukumbu. Hivi haiwezekani kabisa safu ya uongozi wa juu iliyopo ikaachia ngazi ili kujenga demokrasia, kukiimarisha na kujijenga upya chama?
Hapo umesema kweli but hautaeleweka Kwa hao ambao che Nkapa aliwabatiza jina fulani pale desert sijui jina gani vile ..........
Labda utafsiri kwa kimachame, kibosho, kirombo,kipare nk utaeleweka kaka!
 
Hawa jipya ni wanaharakati wanaotafuna fedha za walipa kodo buree
 
Unajua maana ya "huenda"?

Wakati maccm yakiendelea kupongezana pale Makulu, hali ya mambo siyo shwari kule Mvomero, yaani nakuambia CHADEMA ni wabaya sana, hawana hata huruma wanaendelea kuisulubu ccm hivi hivi. Shikamoo wanakijiji wa Kijiji cha DOMA
 
Wakati maccm yakiendelea kupongezana pale Makulu, hali ya mambo siyo shwari kule Mvomero, yaani nakuambia CHADEMA ni wabaya sana, hawana hata huruma wanaendelea kuisulubu ccm hivi hivi. Shikamoo wanakijiji wa Kijiji cha DOMA
Nasikia ofisi za Ufipa zimefungwa tumeamia Masaki kwa Lowassa, lini mnafungua kesi yenu ya kumpeleka JK ICC?
 
Back
Top Bottom