CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

Hakika CHADEMA ni chama makini sana tunasubiri maazimio ya Kamati Kuu ya Chadema mpaka sasa wanaendelea kupanga mikakati makini ya kukijenga chama zaidi
 
Umeshaanza umbea wako
Mleta habari mwenyewe hana uhakika na kikao hicho walichojifungia anasema "huenda"

"huenda yakatoa mwelekeo mpya wa siasa za nchi hususan katika kipindi hiki ambacho inaonekana demokrasia kukandamizwa."

Daah!!
 
Anataka kufurahisha kijiwe tu.
 
Natumai katika hilo la kipaumbele cha kuongeza idadi ya wanachama, hili la katiba mpya ya rasimu ya Tume ya Warioba watalipa kipaumbele kikubwa. Kwa sababu bila katiba mpya ya rasimu ya Warioba Tume ya MACCM ya wizi wa kura na chaguzi itaendelea kufanya uovu wake kwa miaka chungu nzima ijayo.
 
Mpe salamu Mwenyekiti mpya....

Mwambie Moro mambo sio shwari, yani na hotuba ndefu aliyoitoa Jana pale Chimwaga bado wapogoro wametuchinjia baharini.

Mwambie atoe singo mpya kwani ile ya "Majipu" wananchi huku mitaa wameichoka na kiuweli hailpi tens inaboa.

Hizo nisalamu zetu ccm morogoro
 
akili za kushikiwa hizi htr!! et unaomba ruhusa usimsalimie jirani ako hata hilo mbaka mbowe akuruhusu unyumbu Wa hali ya juu!!
ukivuta huyo ndo atabeba majembe mbowe yupo batan
Bora wajisajiri Brera, maana hii ni kampuni ya biashara siyo chama cha siasa
 
Mleta habari mwenyewe hana uhakika na kikao hicho walichojifungia anasema "huenda"

"huenda yakatoa mwelekeo mpya wa siasa za nchi hususan katika kipindi hiki ambacho inaonekana demokrasia kukandamizwa."

Daah!!
Mchezo huu hauitaji hasira mbona unahasirasana
 
Ushauri wa bure!! mungeachana na siasa mkafanye komedi..
Maana mmekaa kimaigizo maigizo..
Jukwaa la kaole linawahusu zaidi kuliko ulingo wa siasa..
huko kaole magufuli na group lake wa igizaji hawajakuona?
 
Wajinga pekee wanaoamini Lowasa na Sumaye wana jipya kwa sasa katika Siasa za Tanzania hasa za upinzani, huko walikotoka walikuwa na kila kitu wakashindwa waje waweze kwenu?

Mda wanaoupeteza Chadema na hao failure wa kisiasa watakuja kuukumbuka wakiwa wameshachelewa.
 
Back
Top Bottom